Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ndugu zangu wana jamvi ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima mnaendelea na shuguli zenu kama kawaida. ninaomba leo wale wataalam wa mambo ya elimu wanisaidia sababu ambazo zinafanya idadi ya...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu naomba kuuliza Kati ya Information system na software engineering ipi ina market Ipi unaweza kujiajiri haraka?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watahiniwa 427,181 wa kidato cha nne katika shule za Sekondari 4,873 Tanzania bara na Zanzibar wanatarajiwa kufanya mitihani yao ya kumaliza kidato cha nne kuanzia kesho Novemba 5 hadi Novemba 23...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Kwa wale waliomba bodi ya mikopo iwasomeshe mkae tayari kwani majina ya waliopata mkopo yanaachiwa muda wowote so stay turned
2 Reactions
74 Replies
15K Views
Kwa yeyote Afisa tabibu aliyeko jiji la Mwanza (Halmashauri yoyote) na anahitaji kubadilisha kituo na yuko tayari kuja MANISPAA YA MUSOMA(Musoma mjini) tuwasiliane kwa namba 0719090269
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajk kwa mwanafunzi ambaye amechaguliwa chuo cha institute of social work ngazi ya cheti na anahitaji chumba cha kukaa awasiliane na mimi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hbr wapendwa.Natumaini mko salama na wagonjwa Mungu awape wepesi na mpone haraka. Niende kwenye Mada.... Kuna rafiki yangu alichaguliwa UDOM mwaka kozi BED IN ADMINISTRATION AND MANAGEMENT...
6 Reactions
182 Replies
17K Views
habari wanajf naomba msaada wa ada. nimepata nafasi ya kusoma university of dar es salaam COICT, Diploma in Computer science. ada ni milioni mbili kwa miaka miwili yote, but semister ya kwanza...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Pamoja na mambo yote yanayofanywa na serikali za africa hususani Tanzania bado umasiki upo kwa kiwango kikubwa.. Katika uzi huu nitaizungumzia Tanzania sana... Ili umasikini uweze kupungua ni...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Bhh
1 Reactions
7 Replies
1K Views
IT
HabariJf,naombeni vitabu vizuri vya kusoma katika kozi ya IT
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Tunda hili lina faida nyingi pamoja na kuwa ni chanzo kikuu cha Protini, Mafuta, Nyuzinyuzi, Wanga,Calcium, Phosphorus, Chuma,Vitamin A,B6,C. Potasium, Magnesium, Carotene, anthocyanins na...
5 Reactions
16 Replies
11K Views
Eti mtu anakuambia kuna pembe tatu ambayo hapo hapo ni duara? Kwani hazipo pembe tatu duara au ni kujitoa ufahamu tuu wakuu. Ipo pembe tatu duara. Kama ambavyo naamini yupo mtu ambae ni mfupi...
3 Reactions
100 Replies
48K Views
Habar zenu humu,kama kuna mtu ana joining instruction ya udsm anitumie,kwenye site yao sioni mahali pa kudownload pia kwenye account yangu siwezi kuingia
0 Reactions
1 Replies
718 Views
Habari Jf,kuna kitu nime sikia kwa baazi ya watu wangu wa karibu wakilia kuhusu izo allocation za mikopo,katika batch ya kwanza walio otoa wali toa na idadi ya watu watakao pata io mikopo lakini...
1 Reactions
62 Replies
8K Views
Hatima ya bachelor of arts in library and information studies
1 Reactions
4 Replies
562 Views
Kama ww ulisoma shule za tech mf. Iyunga tech, ifunda tech, Tanga tech, Mtwara Tech Na shule Nyingine kama hizo njoo hapa na useme ulisoma ufundi gani na umekusaidia nini hadi leo hii. Pia toa na...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Yani SUA ni chuo bora wanafunzi hawajafanikiwa kufanya registration lakini wamepewa malazi tena kwa ubora Viva SUA viva Let others learn how to work for their people
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Nichukue nafasi hii kuwatakia kila la kheri wanafunzi wote wa kidato cha nne. Ambao kesho tarehe 5 November 2018 watakaa kwa ajili ya mithiani yao ya mwisho.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nguvu ingeanza kuelekezwa kutafuta wafadhili na kuwa na mashindano ya some la hesabu na sayansi kuanzia O level mpaka A level. Washindi wa watatu wana pata nafasi ya kwenda kuongeza vipaji...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom