Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Haya wadau mkoa wa pwani unawanafunzi zaidi ya elfu 18 wa shule ya msingi na sekondary wa kidato cha 3,hawajui kusoma na kuandika je nani wakulaumiwa hapo? kwa upande wangu mimi nailaumu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Habari wapendwa wa jukwaa hili pendwa LA elimu ikiwa ndo wiki ya kwanza kabisa baada ya kukaa mtaani muda mrefu sasa hatimae sasa vyuo vimefunguliwa nikiwa ndo first year ambaye Niko college ya...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Wasalaam Wanajamvi. Bila shaka leo ni mara yangu ya kwanza kuweka uzi hapa Jamvi la GTs. Tanzania ya miaka hii imekosa wasomi wenye uwezo wa kutumia Elimu yao kwa manufaa mapana ya taasisi...
3 Reactions
25 Replies
9K Views
Karibu RAHMA ISLAMIC PRE AND PRIMARY SCHOOL Dodoma Tanzania Kwa maeleza zaidi tazama picha hapo chini
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WAKUU NAJUAJE KIASI CHA MKOPO NILICHOPANGIWA YANI (ASILIMIA) MSAADA KWA ANAYEFAHAMU
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimechaguliwa chuo kikuu cha Stella maris mtwara university coz ya bachelor of philosophy with political science Nawaombeni msaada juu ya hii coz ikovip na ajira zake zikoje msaada wakubwa
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Heslb wanapanga mikopo lakini mchanganuo unabaki siri mpaka utakapofika chuoni, kwa hiyo unakuwa huna maandaliziyoyote ikitokea umepata mkopo kiduchu. Kuna wanafunzi wamepata mshtukomkubwa baada...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jaman bodi majin lin kuna w2 awajalipoti chuo mpaka sasa na nyie mpo kimya mwenye taarifa yoyote atujuze
1 Reactions
57 Replies
7K Views
Wanabodi, Naombeni msaada nahitaji anaejua hili. Kuna wakati nakumbuka wizara ya elimu ilitoa mwongozo kwa shule zote hasa shule binafsi kwa vile mtindo huu ulikuwa shule binafsi zaidi. Ya kuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari wanajk kuna watu wameapply na wanavigezo lakini awajachaguliwa hadi sasa wafanye nini?
0 Reactions
2 Replies
891 Views
samahann wana jf hv bsc of information management ni nzur kwa kusoma na ajira zke ni zpi ? na inalipa vzur?
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Habarini za asubuhi wana JMF wenzangu natumai tumeamka salama Niende moja kwa moja kwenye point nahitaji app nzuri ya kujifunza kiingereza na kifaransa kwa wanaozijua app nzuri iwe za online au...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji first year kama 10-20 waliokosa mkopo. Vigezo uwe umepata division 1 or 2 at advanced level. Vyeti vyako viwe certified , uwe na admission letter. N.B sitaki rushwa wala hongo yoyote...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
CPA
Naomba kufahamu CPA(Certified Public Accountant) ni level gani ya elimu? Baada ya kuhitimu unahesabika una Master's au Bachelor?
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Wale wadau wa DIT,CBE Dar campus,IFM,Tumaini Dar campus na TEKU Dar campus, Hostel nzuri na ya kisasa ipo maeneo ya Lumumba, special kwa wanaume pekee, maji na umeme wa uhakika, ulinzi wa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana jamii forums, naomba mwenye shule nzuri za primary za english medium maeneo ya kigamboni naomba mnijulishe kwani ivi karibuni ntahamia huko kwa sasa naishi mtongani naombeni na...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Kama heading inavyo sema wadau naomba kujua kiundani kuhusu hiyo coz pleas
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Jamani kuna mtu ashajua loan breakdown na % kwa waliochaguliwa udsm
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom