Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wale kabla ya 1964 tulisoma hiki kitabu Middle School. Kilipigwa marufuku na Baba wa Taifa
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Nmeomba result transcript nacte sasa nataka ni login ili kupata kujua process inaendeleaje
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba maana na matumizi ya maneno haya 1. Bwenyenye 2. Bazazi 3. Bepari uchwara 4. Mbenzi 5. Mbangaizaji 6. Mlalaheri 7. Mlalahoi 8. Gabachori 9. Wavuja jasho 10. Wafuta jasho 11. Makabwela 12...
0 Reactions
13 Replies
43K Views
Ndug zangu kam kuna mtu anaye ijua taasisi au shirika au kampuni yoyote inayotoa msaada wa kuwasomesha wanafunzi wa elimu ya juu naomba tujuzane ili walengwa waweze kupata huo msaada asanteni.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
nataka kuandaa project chuoni inayohusiana na program za hydrology na meteorology.mpaka Sasa Nina title kadhaa nimeziandaa Kama vile "assessment of human impacts to river msimbazi", sio vibaya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha muswada kufanya Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru, kiwe taasisi inayojitegemea. Na katika mapendekezo ya muswada, wanasema wana mpango...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Tarehe 14/11/2018 Mwenyekiti wa Tahliso ndg George Mnali akiambatana na kamishna idara ya mikopo na udahili Tahliso ndg Leckton Moris walifanya ziara ya kutembelea bodi ya mikopo na kuweza...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Vitabu vya kusoma kwa kijana Kwenye uwekezaji the intelligent investor buffetology richest man in babylon rich dad poor dad Kwenye uongozi how to win friends and influence people 7 habits of...
11 Reactions
87 Replies
10K Views
Havari wakuu Je ukipata mkopo ukiwa mwaka wa pili na ulishajilipia Ada tangu mwaka wa Kwanza. Je una haki ya kurudishiwa gharama ulizotumia mwaka wa Kwanza na wapili?
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wanajamii, wakati nikiwa nafanya usajili hapa chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM) na nikiwa tayari nishachukua admission letter pamoja na kupata picha ya ID nikapotelewa na vyeti vyangu...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Mdogo wangu aling'ang'ania anunuliwe Laptop nikamnunulia, sio kwasababu ya ujinga, hapana.ilikuwa kumridhisha na kwasababu ilikuwa ndani ya uwezo wangu. Lakini nimekuwa nikimuuliza...
3 Reactions
43 Replies
7K Views
What are the weaknesses of Tanzania constitution of 1977(the current constitution)
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wadau, wakurugenzi na school managers, nina jamaa yangu from Rwanda anataman aje Tanzania kufundisha lugha ya kifaransa kwa shule za secondary Tanzania. kwa atakaye hitaji tuwasiliane ili...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Sabalkheri wanajamvi, Naona vijana wanahamu na koz za afya na mim ningependa kushare na nyinyi uzoefu wangu.. TWENDE KAZI.. Pale NACTE wamesema kwa Diploma unahitaji uwe na C ya Bio na C ya...
0 Reactions
36 Replies
95K Views
Naombeni kuuliza ndg zangu, serikali imekua ikitangaza nafas za ajira kwa walimu wa shule za msingi na secondary karibu kila mwaka. Je fani ya ualimu ktk elimu ya awali ktk ngaz zote, (mean...
1 Reactions
0 Replies
623 Views
Naombeni kuuliza ndg zangu, serikali imekua ikitangaza nafas za ajira kwa walimu wa shule za msingi na secondary karibu kila mwaka. Je fani ya ualimu ktk elimu ya awali ktk ngaz zote, (mean...
1 Reactions
0 Replies
505 Views
Msaada wana Jf mdogo wangu nilimwombea Chuo lakini mpaka leo status inasoma PROVISIONAL ADMISSION na inagoma kucomfirm nafanyaje apo
0 Reactions
0 Replies
482 Views
Wanafunzi wapatao 2,397 wamepangiwa mikopo katika awamu ya pili ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019. Idadi hiyo inafanya jumla ya Wanafunzi wa elimu ya juu wapatao 27,929 kati ya wanafunzi...
3 Reactions
111 Replies
34K Views
Msaada nataka kujua utofauti kwa ngazi ya diploma
1 Reactions
16 Replies
11K Views
ENGLISH CONVERSATION kwa wale wote ambao wana shida katika kubonga kizungu tukutane hapo ndani kwa kubonya hio link hapo juu. *unapaswa kukamilisha usajili wako ili kujua uwezo wako ulio nao...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Back
Top Bottom