Habar ndug zang naombbkufaha kwa wale mlioomb mkopo je account zenu zinafunguka make account yangu aifunguki na wala cjapata mkopo ci kwambnmesahau password wala na je bach bado zna endelea
Habari za leo wanajamvi. Naomba kuju kama kuna yeyote ambaye jina lake lilitoka batch 1 lakini allocation haikupelekwa chuoni mwanzoni ila kwa sasa tayari amepata.
Nimejaribu kufanya appeal ya kuomba mkopo heslb lakin Leo siku ya Pili nikiangalia status naambiwa IN PROGRESS. Mwenye welewa anisaidie nimefanya sahihi au kuna makosa nimekosea kwenye application.
Wakuu habarini na poleni na majukumu..
Wakuu naomba msaada kujua majina ya shule binafsi zilizopo dar es salaam maana mie nazijua chache...
Lengo la kuzijua nataka nikajaribu kupeleka barua ya...
Wanatoa tangazo la kusponsor wanafunzi katika vyuo vya kilimo
lakini ukifuatilia kiundani huwezi kumpata mwanafunzi aliyepata sponsorship hata mmoja
Pia ukijaribu kuomba sponsorship hupati...
habari..?
naomba kuelimishwa kuhusu hii kozi kwa ujumla wa ngazi zote yani cheti, diploma, degree n.k
kuhusu ajira, chuo kizuri kinachotoa kozi hiyo, watu waliofanikiwa kupitia kozi hiyo n.k
Courses kama LLB, PSPA,journalism na B.A economics hazifai kabisa unaweza kupigwa risasi mda wowote.
Mana ukisoma course hizo lazima uwe mbishi na unabishana na serikali au kila mtu la sivyo...
Nasubiri maswali.
machache juu ya saut mwanza, first year hakikisha unatunza tiketi yako, maana kigezo cha kupata hostel unanyesha tiketi yako, hii itathibitisha umetoka nje ya mwanza. na lazima...
Wadau Habari za muda huu, mimi ni graduates wa chuo na ni Mwl wa Sekondari katika wilaya moja hapa Tanzania.
Nimekuwa interested kutatua matatizo ya jamii inayonizunguka kuliko kuendelea kuisubiri...
Mzuqa
Dogo bin Salman MBS kapatikana hana Hatia vishen 2030 ipo palepale.
Tofauti na Iran ambapo kuna makanisa lukuki Saudi Arabia hamna kanisa hata moja ingawa kuna wakristo million moja na...
Habari za kazi , samahani ninauliza kuwa ukipata carry over chuoni, ndo chanzo cha boom kuanza kusumbua Kwa mwanachuo? Naomba mnijuze maana maisha ni magumu chuoni , maana jina langu sikuliona...
Habari ndugu, ktk batch zote zilizotoka hakuna 2nd or 3rd year aliyepata mkopo, je kunabatch it a kayo walenga wao tu au ndo bas tena[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mimi ni kijana ambae namshukuru mungu nika kibarua cha kupata chochote mwisho wa mwezi,samahani nilikuwa naomba msaada wa mawazo kuwa mm mwakani ninampango nijisajiri kufanya mtihani wa kidato cha...
Kumekuwepo na tatizo linalosababishwa na uongozi wa baadhi ya vyuo nchini kugoma kutoa fedha za kujikimu kwa baadhi ya wanafunzi mpaka wa ingie MIKATABA kandamizi(Ni singependa kuweka wazi hapa)...
Napenda kuwa muandaaji wa sinema . naitaji kujua ni chuo Gani kinatoa mafunzo Na jinsi ya kuandaaa sinema .
Pia nisome nini ? naitaji kujua chuo pia Na gharama zake
Asanteni
Wananchi wenzangu,poleni na Majukumu....
Naomba msaada Wa kujulishwa je ni Bank gani inafadhili ELIMU ya juu ya watumishi Wa serikali hasa walimu kwani mishahara imebaki kidogo baada ya kujenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.