Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Follow this link to join my WhatsApp group: NIT
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu , Kijana wenu ningependa kuomba msaada kwa yeyote ambaye anafahamu application za simu au computer (pc) zenye uwezo wa kuonyesha NOTES ZA ELIMU YA VYUO VIKUU TANZANIA 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Are you a researcher or a scholar and you are going through some difficulties in accomplishing your research? Please!contact us for the following help:- Concept papers Spss training Data...
1 Reactions
2 Replies
524 Views
Wakuu mwenye kujua anisaidie niko bachelor in library and information studies .nahitaji kupata maarifa mengi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
```FAIDA ZA KUPATA SAP KWA MWANAFUNZI WA CHUO``` 1. *Inafanya kichwa kisiwe kitupu (idle).* Chuo hufungwa katikati ya July mpaka Nov mda huo wote mwanafunzi anakuwa mbali na vitabu, madaftali...
5 Reactions
36 Replies
11K Views
Msaada wa maelezo. Nimechaguliwa chuo kikuu Dodoma kwa kuchukua Bachelor of science with education. Sasa sielewi baada ya kuhitimu nitakua mwalimu (pure teacher) au kuna sehemu nyingine nitafit...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Waziri wa elimu,tunaomba mwongozo wa upewaji vyeti,inachukua muda gani kwani? tusaidieni kupunguza garama za nauli
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa mawazo. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wakwanza wa chuo kikuu Dodoma (UDOM). Nilichaguliwa chuoni hapa kusoma BACHELOR OF SCIENCE WITH EDUCATION bahati mbaya sikufanikiwa kupata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo sema, nahitaji nipate mawazo chanya kwa atakaekua anafaham. Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha sita mwaka 2016. Alijiunga na masomo ya elimu ya juu ktk chuo cha...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Habarini wana jf. namdogo wangu anasoma form five anataka akasome tution mchikichini.mwwnye ratiba ya vipindi kwa mgote na mandia anipatie.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msaada jamani kwa yeyote anayefahamu mahala zipatikanapo ofisi za kaumu ya Al Hassan Mwinyi Foundation...chonde chonde naomba anijuze ama la naomba nisaidie rununu zao ili nipate kufanya nao...
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Nimesikia kwamba watoto wanaotakiwa kuanza shule ya msingi mwakani wameanza kuandikishwa. Naomba kwa mwenye ufahamu anitajie walau vitu vinavyohitajika ili mtoto aandikishwe na tarehe ya mwisho...
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Wana JF habari za majukumu. NIMESAJILI huduma ya salary slip portal kupitia MOF. Hatua zote za mwanzo huduma ina kamilika, tatizo napofikia hatua ya kujaza mwaka ninaohitaji slip. Hapo niki click...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Habari...naomba kusaidiwa chuo ambacho ntapata cheti cha computer kwa uharaka zaidi nahitaji kwa haraka hata kwa kusoma wiki 1 tu nipate cheti ni muhimu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana Bodi. Naomba kukiri kuwa Mimi ni mwanaume wa mkoani Lakini tangu nikiwa mdogo nilipenda kufika dar es salaam kutoka na watu wengi kutoa story nyingi kuhusu huo mkoa wa Dar. Shauku ilizidi...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Habarini wana JF Naomba mnisaidie jinsi ya kuandika resume kwaajili ya kuombea kazi Hata kama kuna mtu ana sample anaomba anitumie Maana sielewi tofaut ya resume na CV na inahitajika resume...
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Wakuu naomba msaada mnirodheshee shule zilizofanya vizuri katika masomo ya sanaa kidato cha sita mwaka 2017 na au 2018 Naombeni msaada tafafhali. Masomo hayo ni History, Geography, English...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
..........
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Using four missing features list the primitives features of mesozoans interm of body organization
0 Reactions
3 Replies
670 Views
Nimemaliza four 2015 nikafanikiwa kupata matokeo kama ifuatavyo Physics -C Chemistry-C Biology-B Mathematics-C English-C Literature-C Kiswahili-C History-C Geography-C Civics-C Nikawa na div 2...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom