Kuna mdogo wangu amejiunga na BSc Petroleum Chemistry UDSM, mwaka huu, kila siku amekua akini pigia simu kuwa anataka kuacha kusoma hiyo kozi, apply kozi nyingine mwakani. Wadau nyie mnashauri...
Mimi ni mwanafunzi hapo UDSM mwaka wa kwanza kwa bahati mbaya matokeo yangu hayakua mazuri kwa sababu mbalimbali kwaiyo nimedsco. Nilikua naomba msaada wa mawazo wanabodi...
1. Je...
Habarini za muda huu wanajukwaa
Kwa wanaosoma chuo kikuu cha kilimo cha sokoine kuna tatizo gani kuhusu bima ya afya?
Mimi ni mfanyabiashara mdogo ila nasomesha mdogo wangu SUA ambaye pia ni...
Wakuu Ila Mfumo wa nchii hii wa kutumia kiingereza kama Lugha ya kufundishia Mashuleni Kwa Maana ya Shule Ya Msingi Na Secondary umepitwa na wakati.
......
Ni sawa na kama uko Arusha unataka...
Je, wewe ni mwanafunzi unayetamani kujifunza elimu ya biblia?
Je, umekuwa na hamu ya kujifunza elimu ya biblia lkn hujui vyuo vinavyofundisha?
Au je, unajua vyuo vinavyofundisha lakini unakosa...
Na Thadei Mushi
#Darasa la Sita somo la Uraia lina mada inayohusu vielelezo vya Taifa la Tanzania. Mojawapo ya vielelezo vinavyolitambulisha taifa la Tanzania ni wimbo wa Taifa letu ambao ni...
Hawa bodi ya mikopo hawaeleweki aseh,hivi inakuaje upate mkopo tena first batch na allocation itumwe chuo husika, ila kwenye sheet ya kusaini eti jina lako halipo,hapo loan officer atume tena jina...
Ndugu zangu, habarini za mihangaiko. Mm nina maswali mengi sana kuhusu hela/pesa. Nimekuwa nikijiuliza sjapata majibu.
1. Hivi hela zinatengenezwa na na material gan?
2. Na je ni kweli pesa...
Inasemekana HESLB waliamua kureset passwords za accounts za wanafunzi walioomba mikopo na kukosa mikopo kwa awamu ya kwanza mpaka ya nne ili kufanya zoezi la kukata rufaa kushindikana kwa mwaka wa...
Sipendi kusoma bongo bongo wanasoma wazee wa karai
Sasa mzee ameniambia mwaka huu nile bata tu atanipeleka chuo mamtoni mwakani nikakutane na classic baby sio bongo tudemu vinanuka jasho tu aya...
Msaada ndugu zangu nmejaribu mara nyingi kupita kwenye website yao nione masters programmes wanazotoa lakini sijafanikiwa kuona yaan hamna kitu, please nisaidieni wapendwa mwenye kujua zaidi...
Shuleni tulipata kusoma ya kuwa
Maada ni kitu chochote chenye uzito na kinachochukua nafasi.
Katika yale makundi mtatu ya maada yaani Kimiminika, yabisi na gesi.
Jee? Moshi tunaweka katika kundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.