kama upo dar au Zanzibar na unaitaji kujifunza kuogelea private ni raisi ndani ya mda mchache utakua mpiga mbizi hodari, kila MTU anajua umhimu wa kuogelea book now 0763906638 bei chee
Sent using...
Yaani account yangu siwezi kucoment na kuna sehemu siruhusiw kuandika chochote naambiwa account yangu iko pending lini nitaruhusiwa Sasa account isiwe pending nachokaa et
Sent using Jamii Forums...
Kuna jambo nimelishangaa kiasi hasa hili la matokeo ya kidato cha pili( FTNA) kutangazwa kwa watahiniwa walioko shuleni tu na kuyaacha matokeo ya watahiniwa binafsi wa kidato cha pili(QT)...
Wakuu poleni na majukumu
Katika taarifa ya baraza la mitihani NECTA, mkoa wa kwanza kitaifa ni Kilimanjaro ambapo umepanda katika matokeo ya 2016/17 ilikuwa ya 5 kitaifa
Mkoa wa Kagera...
Natumai mu wazima wa afya. Naomba kujulishwa site ambazo ninaeza either ku apply direct for scholarship au kupata information kuhusiana na scholarships, nje ya nchi. Natanguliza shukrani zangu za...
Question tags are very common in spoken language or colloquial languages( informal language) and are added to the end of statements in order to form questions.
They are used to express a weak form...
kumekuapo na tetesi kati ya wanavyuo mbalimbali wakidai bodi ya mikopo imeongezea pesa kwa wanufaika wa awali pesa za field shilingi elfu 60 kwa kila mnufaika wa awali.. huku wengine wakidai ni...
Habari za majukumu wakuu nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka huu ana division point 28,kwa masomo ya arts je??naweza kumpeleka veta asome kozi gani ambayo anaweza pata ajira serikalini...
Wakuu naomba msaada wa mawazo yenu. Nataka kuachana na kazi ya ualimu wa serikali. Hivi sasa nafundisha sekondari ya serikali kwa mwaka mmoja sasa. Awali nilikuwa nafanya kazi katk sekondari ya...
Mwl wa kufundisha Awali English medium anahitajika haraka,Mwl wa kike hasa wa kanda ya ziwa atapata kipaumbele,
Tuwaailiane 0755098159
Sent using Jamii Forums mobile app
Hey guyss:
Za mida jamani
Samahan naomba msaada orodha ya vyuo vya afya vya private kwa mkoa wa DODOMA na DAR ambavyo nitaweza kusoma course zifuatazo;
1. ORDINARY DIPLOMA IN PHARMACETICAL...
Habarini za muda huu wadau...ni matumaini yangu kuwa mpo poa...
Nimekwama kidogo nahitaji msaada wenu wadau...mimi ni mwl ajira mpya nilipangiwa kituo mwaka jana mwezi wa 11....nikaripoti tar...
Kwa taarifa tu ni kwamba waseminari zaidi ya ishirini wamefanya mtihani wa kuongea (oral examination) leo katika seminari kuu ya mt Paulo, Kipalapala. Wamehitimisha mtihani wa baccalaureate...
Habari.mimi ni kijana wa kawaida nimemaliza form 4 miaka zaidi ya 7 huko nyuma,nimetanua weeee mtaani,ila sasa nimeona nijiendeleze kielimu lakini watu walionizunguka naona hawafiti kunishauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.