Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
wadau ninaomba kufahamu ni kiwango gani cha ufaulu wa mtihani wa kidato cha nne unaokuwezesha kupata cheti cha baraza la mitihani. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Matokeo ya Kidato cha Nne (CSEE) na maarifa (QT) 2O17 Yametangazwa na Baraza la Mtihani la Taifa NECTA. Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2008 Matokeo ya form four 2008 Matokeo Kidato...
10 Reactions
354 Replies
233K Views
Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Charles Msonde amesema watahiniwa 381 wa Shule za sekondari za St Mathew na St Marks wamesitishiwa matokeo yao kupisha uchunguzi kutokana na tuhuma za kufanya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu na jamaa zangu polen na kazi naomba,samahan juuzi nikitumiwa sms na kampuni ya voda kuwa nimepewa ofa ya kutumia vufurushi vya chuo nikiwa sehem yoyote japokuwa sijajisajili na hiyo huduma...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
*KENYA REVOLUTIONALISES ITS EDUCATION SYSTEM* THE NEW CURRICULUM 2-6-3-3-3 Education system The new 2-6-3-3-3 Education System was proposed by a task force headed by Former Moi University Vice...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda, Kuna project inatakiwa kufanyika ambayo inaweza kutufanya tukaishi mjini na kuajiri vijana. Kwa Walimu ambao hawana kazi na ambao wamesomea masomo yafuatayo: Physics Biology...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau kuna mtu anaomba msaada Anasema anakatwa na bodi ya mikopo elimu ya juu HESLB ili kulipia mkopo ilihali yeye hujawahi soma hiyo elimu ya juu ameishia diploma.. Yeye ni mtumishi wa Serekali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu, poleni na majukumu ya kila siku..! Nimekuja kwenu kuwaomba kama kuna mtu yeyote ambae anafaham kwa sasa kua kuna shule inayohitaji mwalim wa masomo tajwa hapo juu tafadhari naomba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waziri wa elimu pamoja na bosi wake bwana PM walichofanya sikubaliani nao. Kitendo cha kuchukuwa mwalimu wa sekondari kumpeleka primary siyo kizuri kwanza hawa watu wamesoma mtaala tofauti...
15 Reactions
141 Replies
18K Views
Maisha yanaenda kwa kasi sana, tumetoka mbali na moja ya historia ambazo tutabaki kua nazo, basi n historia ya maisha ya shule haijalish mazngra au umeshia level gani. Basi naamin Kama unaweza...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Swali ni kutaka kujua kuwa uandishi wa essay mzuri ni upi kwani essay huwa na introduction,mainbody na conclusion sasa swali langu nihivi baada ya introduction unaanza kuandika points za swali...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Wakuu salaam ,, nimemaliza kidato cha sita 2012 nikipata divisio 3 point 16 E ,D,na F Nimemaliza diploma ya elimu 2014 , (chemistry &Biology) GPA ya 3.0. Ningependa kujiunga na masomo ya degree...
0 Reactions
2 Replies
729 Views
Hii habari ni ya kusikitishaaa nilikuwa maeneo ya mnazi mmoja kuna ndugu yangu alimaliza chuo mwaka diploma ya electrical engineering ila GPA ana 2.9 ila kilichonisikitisha ni kwamba hawezi tena...
3 Reactions
53 Replies
28K Views
Kwa Matokeo haya History E Geography S English D Naweza kusoma diploma in ICT, IT au CS
0 Reactions
17 Replies
3K Views
WAKUU KWA YEYOTE MWENYE TAARIFA JUU YA SHULE INAYOHITAJI MWALIMU WA PHYSICS PLEASE TUTAARIFIANE WAKUU
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Poleni kwa majukumu watanzania wenzangu, Naandika uzi huu kama mtanzania niliyeguswa na hali mbovu ya kiusalama katika shule hiyo hapo juu ambayo iko Tanga mjini karibu na soko la samaki la deep...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ndugu wana jukwaa; Naomba kujua website ya wizara ya elimu. Naomba mnaojua mtupia hapa tafadhari.
0 Reactions
4 Replies
767 Views
Habari wadau nauliza sehemu ambapo wanauza chanjo/vaccines za wanyama wakufugwa kwa dar es salaam. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Habari wanajukwaa. Nataka nijifunze namna ya kufanya data analysis, kwa data za research. Ni fursa niliwahi kukutana nayo, kwamba wanachuo wengi muda wa research wanakuwa bize sana, na data...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Sidhani kama wana wakufunzi wa kutoa elimu inayotegemewa. Kuna chuo wanafunzi wanaingia mwaka wa pili wanajifunza siasa za udaktari/utabibu; akuna Pharmacology, wala internal medicine, pathology...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom