Wadau habarini, naomba msaada kwa yeyote mwenye utaalamu wa ku download vitabu vile vya kulipia na kuvidownload freekuna kitabu (novel) base on true story kinaitwa impossible odds the kidnapping...
Habarini za muda huu wana jf,
Kama una ndoto ya kusoma IcT na ungependa kupata ushauri mbalimbali kulingana na COURSE izo za ICT
Nakukaribisha ewe mzazi au kijana
Karibu kwenye group la...
Naomba kuuliza swali wakuu.Mtu mwenye diploma ya ualimu wa shule ya msingi Ana sifa ya kusoma degree ya ualimu kwa kutumia matokeo yake ya diploma.
Ahsante
Sent from my TECNO F1 using Tapatalk
Wana jamii naomba msaada mwenye kujuwa vigezo vya kujiunga na certificate of computer sience pale Coict(ya wanachukua wastani gani wa 4m4)
Natanguliza shuklani
Masiya fungi@kat.ph
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2018 kwa mara nyingine yameshuhudia shule binafsi zikitamba kwa ufaulu.
Katika matokeo hayo yaliyotangazwa wiki iliyopita na Baraza la Mitihani Tanzania...
ARUSHA INSTITUTE OF TRAVEL AND TOUR MANAGEMENT.
Nimeambiwa kipo Arusha kwa anayekifahamu anisaidie kama kweli kipo na utoaji wake wa mafunzo upo vizurii au laa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar wana jf. Lengo la uzi huu ni kupeana taarifa kuhusu utolewaji wa vyeti vya udsm batch 2 ambayo itakuwa ni kwaajili ya wale tuliopata supp third year na wale ambao hatukuwa tukitumia majina...
Wadau Habari yenu!
Kuna kijana anatafutiwa pahala pa kuresit ili atafute Credit ya somo moja Tu.
Ningependa kuuliza kwa wale wenyeni wa Mkoani Iringa. Je kuna Kituo gani au Shule zipi zinatoa...
Nasubiri kuona wapinzani wasiopinga kila jambo hata jema .....wakitoa hongera za kweli kwa matokeo ya kidato cha 4 mwaka 2018.Ninaposoma Gazeti la Mwananchi,Tarehe 25/01/2019 ukurasa wa...
Dini ni kitu kizuri cha kuwarithisha watoto ila sijapata jibu kwa nini serikali haijaweka somo hili lifundishwe tangu ngazi za chini kabisa ili mtoto awe mwenye maadili ya kiuungu.
Ukizingatia...
Wadau mimi nina material ya chemistry na biology natafuta mwenye material ya Physics A level hasa ya MGOTE na O level pia ya mwandishi yeyote tu badilishane kwa chemistry na biology hata kama...
Bodi ya vyuo vikuu nchini Tanzania kupitia tangazo lake imepunguza vigezo vya kujiunga na vyuo vikuu kwa mwaka wa masomo 2016/2017.
Hapo mwanzo waombaji wa diploma kuingia chuo kikuu ni lazima...
Nilikuwa napenda kujua kama Kuna uwezano wa mtu kuhama chuo cha private kwenda chuo cha serikali kwa ngazi ya cheti kada ya afya.naomba usaidizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku moja nimeenda kibanda cha chips
MIMI:Mtaalam nifanyie chips kavu
MPISHI:Subiri kidogo ziko jikoni
MIMI:si unipe hizo za kwenye kabati hapo? Nataka kuwahi.
MPISHI:Hio zimepoa,subiri hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.