Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ivi wakuu unaweza kujisajili kama private candidate kwa combination ya ECA hata kama hukusoma Commerce na bookkeeping o'level au nijisajili tu EGM? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Mwenye soft copy za notes za ngaiza series naomba tusaidiane kwa namna yeyote ile asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
17K Views
Jamaani hii ni shule kongwe na kubwa sana imesomesha watu wakubwa kuanzia mango mkuu na wadau wenge wa siasa...inapatikana Kilimanjaro old moshi mashariki tsuduni...shule hiii imefungwa kwa mda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pokea hili kuna shele ya msingi inaitwa king'ongo primary iko GobaMatosa . Hi shule inahitaji jicho lko kwa ukaribu sana kuna mambo ynaendelea huku ya ajabu walimu wana kaz zao binafc kuendesha...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Je wewe ni binti,mama unamtoto yupo tu nyumbani hana ajira,umesoma shule na hujafanikiwa kupata kazi,hujasoma kabisa na hujui nini cha kufanya Kwa kozi ya miezi mitatu tu,na ada nafuu kabisaa...
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Habarini wanajukwaa..!! Kwa jina naitwa HUSSEIN FALIH ni mzaliwa na mkazi wa jiji la DSM na pia no mwanafunzi wa kidato cha 5 mchepuo CBG katika shule ya sekondari CHAMWINO ambayo ni shule ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mambo vipi wakuu? Nina mambo kadhaa ningependa kupata kutoka kwenu! Nina mpango next month kuanza kujiandaa na mtihani wa PMP unaotolewa na Project Management Institute (PMI). Maandalizi yangu...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Nimekuwa nikipitia mijadala ya wenzetu walioendelea kuna vitu vizuri nimeona na nimekuwa nikijiuliza kwa nini kwetu iko tofauti. Baadhi ya hivyo ni 1. Uwezo wengi kusimulia au kuelezea. Katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Great Thinkers, Najiandaa kufanya Certification ya PMP based on PMBOOK 5th Edition. Kwa mwenye interest naomba tuwasiliane. Na kama kuna mtu ana vitabu vifuatavyo pia naomba tuwasiliane: Head...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Usipmbe udisco chuo hasa kama wewe ndio kiongozi wa familia Kiufupi sijawahi kua na historia ya kufeli toka primary ila kufaulu tena kwa daraja la kwanza O level&A level.Baada ya kujiunga chuo...
15 Reactions
31 Replies
8K Views
Wanabod Mimi ni mwalimu niliyekuwa nafundisha advanced level mwaka jana nilipitiwaga na sakata LA uhamisho wa kwenda kufundisha primary Ki ukweli mambo huku ni magumu yaan madogo hawanielew kbsaa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Heshima kwenu mabibi na mabwana ndani ya JF! Tafadhali naomba kujuzwa na yeyote ajuaye, chuo bora kinachotoa short course za mafunzo ya upambaji wa kumbi za sherehe pamoja na nursery teaching...
0 Reactions
6 Replies
12K Views
Wakuu kuna dogo mmoja kahitimu 2013 ana four ya 32 katika performance zifuatazo Chemistry C Kiswahili C English C Biology D Physics D Marthe E Geography E Civics D Je anaweza kwenda advance private?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana jamvi nakuja kwenu kwa mara nyingine tena kuomba msaada wa hali na mali. Ndoto zangu ni kusoma walau niwe na PHD ya taaluma yangu katika elimu ila kwa sasa bado nina shahada moja...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari za saa hizi jamani Nina ndugu yangu yupo mwaka wa tatu ,huyu ndingu yangu ujuzi wake zaidi ni katika water supply project, water treatment, waste water treatment , sanitation projects ...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Financial management Principles of management Principles of Marketing Information system managent Na human resources management
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MAANA YA UTAFITI AND AINA ZA UTAFITI Wataalam wengi wametafsiri neno research/utafiri katika mirengo tofauti. Kiujuumla Research/Utafiti ni ni uchunguzi wa asili wenye mpangilio unaofanywa ili...
3 Reactions
6 Replies
10K Views
Wakuu habari yenu, Nimejaribu njia zote za kupata uhamisho wa mke wangu aje Dar es Salaam lakini sijafanikiwa kabisa, Niliambiwa anatakiwa amalize miaka miwili kazini..kamaliza zamani sana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimesoma vyuo tofauti lakini sijawahi kuona chuo kigumu ndugu zanguni Kama open university.......... Yaani nimeshidwa kuamini baada ya kujiunga chuo nimeambiwa hakuna kuingia darasani , Hakuna...
2 Reactions
37 Replies
8K Views
Back
Top Bottom