Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
A customer returns good to a bussiness which source document issued by? This is question no 1 question no 2 customer returns faulty good to supplier which source of document will supplier make to...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
salaam wakuu mimi ni graphic designer nnayehitaji kuongeza ujuzi wangu kwa kujifunza motion graphics naomba mtu anayefahamu chuo gani naweza kusoma course ya muda mfupi tafadhali nisaidie...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ASBN ni nini? Umuhimu wa ISBN kwenye kitabu ni zipi? Kuna ulazima wa kuweka ISBN kwenye kitabu hususani vitabu vya shule ? Gharama ya ISBN ni shilling ngap za kitanzania? Muhusika mkuu wa kumilik...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanajukwaa naomba kuuliza kama kuna anayefahamu namna ya kusoma coz nipate chet cha TFDA nataka kufungua duka la dawa mimi nimkemia nahitaj kuuliza namna ambayo naeza soma hyo kozi na kupata chet...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Poleni sana kwa majukumu ndugu zanguni, Jaman nina mdogo wng ndio kamaliza form 4 mwaka jana sasa yeye ana ndoto za kusomea bio medical equipments engineering,sasa yeye anauliza kuwa akimaliza...
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Hii ni aibu kwa chuo hiki kikongwe, kutawaliwa na siasa hats kwenye maswala nyeti kama PhD. Najiuliza , ivi watu wanajisikiaje wakijua udsm ndio imewatunuku PHD ? Hata kama mnashinikizwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wale wanaopenda kujiunga na Postgraduate studies UDSM, tangazo lishatoka.... check pdf attachment au visit kwenye website ya udsm.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenye namba ya simu ya mkononi ya waziri was elimu prf. Ndalichako au naibu wake naomba anisaidie Mimi Nina kilio Changu Cha kumueleza ambacho ni siri
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Habari za kazi walimu. Poleni na kazi hii ngumu ya kutuelimisha. Niende moja kwa moja kwenye mada. Walimu nawaombeni mnisaidie pre mock papers (soft copy) za mwaka 2018 au 2019. Naombeni masomo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wasalaam wakuu....Natumai mko salama,Nilikua naomba mnisaidie Eti kwanini wanahabari wanaipinga sheria ya Magazeti ya Mwaka 1976 na hii mpya ya vyombo vya habari ya mwaka 2016??Nimeitafuta hasa...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Habari, Rejea kichwa cha ujumbe. Condition: Used Uses: PCM,PCB,PGM,EGM,CBG,HGE (yaani both Pure and Bam) Location : Mwanza town Price: 15,000ths Reason for selling: Owner is about to...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ipi faida ya transfer of technology kwenye sekta yetu ya kilimo nchini Tanzania?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naombeni Sana mnipe points juu ya faida na hasara kwa kumpeleka mtoto chini ya miaka 14 elimu ya msingi asomee boarding yaani mbali na nyumbani mpaka likizo.Nijue Kama faida Ni nyingi kuliko...
1 Reactions
36 Replies
16K Views
Wana jamvi naomba msaada ikiwa kuna yeyote aliyeomba hizi scholarship za Turkey. Tatizo langu ni katika kipengele cha education information ambapo nimejaza kila kitu lakini system inaniambia...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Ngugu naombeni aliye na vitabu vya kiingereza soft copy vya o level anisaidie please. Kikiwemo the black hermit. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
[emoji625] HOSPITAL YA MAWENZI IMETANGAZA NAFASI KIBAO ZA KAZI WANAHITAJIKA WAFUATAO [emoji818]Maafisa Lishe [emoji818]Watunza kumbukumbu [emoji818]MaFundi vifaa Tiba [emoji818]Wateknolojia...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Za kushinda wapendwa Moja kwa moja kwenye maada. Leo nipo bar na nimewaona walimu wengi sana hapa Ambao tunafahamiana . My take nini kimetokea kwa walimu wetu wapendwa and way wafanye kama...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
naam poleni na shamla shamla za jana siku ya wafanyakazi.. naitaji kujua taratibu za kufata kwa aliedisco chuo kikuu anataka kuomba diploma je afate utaratibu upi?? ahsanteni
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Jaman ningependa kusaidiwa, Kama umeshalipa pesa kwa ajili ya mtihani wa TAIFA kwa ngazi ya CHETI bahati mbaya ukateleza na visupplementary eti Kuna kulipa tena fedha ili ufanye upya mtihani au so...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau.. Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha sita mwaka huu. Ufaulu wake ni kama inavyoonekana hapo chini.. Physics - C Chemistry - C Adv/Mathematics - A Ni kozi gani hasa za Engineering...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Back
Top Bottom