Habari wakuu!
Katika ajira mbadala za WAALIMU, zilizo toka 27/4/2019.
Nime bahatika, baada ya KUSOTA Sana, na kwa mbinde SAAANA!
Yaani acha tu, mengine si ya kuweka online!
Naomba anaye...
Jamn naombeni kuuliza hiv nacte wanaanza lini udahil kwa vyuo vya diploma na certificate kwa mwaka huu 2019. Pia je ni vigezo gani vya ufaulu kujiunga na course ya clinical medicine dplma
Kwa wale wazoefu waliowahi kuishi hostel na kisha kupanga getto mtaani, wapi panafaa zaidi kwa kupunguza cost za maisha?
Kuna faida gani kukaa getto especially kwa maisha ya Dar es Salaam...
MED GADGETS_TZ: IPO CHINI YA WANAFUNZI WA UDAKTARI CHUO KIKUU MUHIMBILI: Tunahusika na uuzaji wa vifaa muhimu vya mafunzo kwa wanafunzi wanaojiunga Kozi za afya katika vyuo Vya afya Tanzania...
Habari zenu Wana JF.
Heri ya Mwaka Mpya wote.
Ni matumaini yangu wengi wetu hatujambo na tunaendelea kusherehekea vizuri mwaka mpya, na wale ambao kwa namna moja au nyingine hawako salama. Mungu...
2+5=7. 6+1=7. 3+4=7. 7-0=7
7+0=7. 9-2=7. 8-1=7. 11-4=7
15-8=7 14/2=7. 21/3=7. 70/10=7
7x1=7
*[emoji871]What is my point??*
*[emoji871]My point is that there are so many ways of getting to your...
Mambo vp brothers & sisters...!!
Ni mimi hapa mdogo wenu Falih kutoka pande za mbagala, leo nipo humu ndani kuomba ushauri wenu wadau wa ELIMU juu ya wazo langu katika safari hii ya elimu yenye...
The Pan African University is an initiative of the Heads of State and Government of the African Union. It is a Premier continental university network whose mission is to provide quality...
Habari za saa hivi wapendwa wanajamii forum natumai wengi wetu ni wazima wa Afya
Niende moja kwa moja kwenye mada husika, siku za hivi karibuni nimetoka kufungua account bank ya crdb na...
habari zenu wana jf
ndugu naombeni ushauri.Nataka niapply chuo intake ya September diploma ya pharmaceutical science nikitegemea kuajiliwa je ajila zake vp sabab sina pesa za kutosha kujiajil...
Wana jforum naomba kufahamishwa km foundation course inatumima miaka hii ya sasa na huwa inakuwaje kuwaje.??
NB jukwaa la elimu usijibu kidaku mbona majukwaa ya udaku yapo tu hujui kitu kaa pita...
Asalaam aleykum!
Wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi nililipia hela ya mitihani mitatu pamoja na hela ya usajiri mwaka jana lengo likiwa mwaka huu mwezi wa kumi na moja nifanye...
Nimesikia eti alama za ufaulu ni kama zifuatazo by Ndalichako Bungeni.
A: 85-100
B: 75-84
C: 70-74
D: 61-69
E: 51-60
S: 35-50
F: 0-34
Tusubiri kama ni kweli. Kuna kutu kimejificha ...
wapendwa mlio na uzoefu wa kazi ya ualimu, mimi nimemaliza chuo mwaka 2016, lakini toka mwaka huo nimekua nikifanya mambo yangu (teaching private schools) toka mwaka huo hadi sasa ambapo...
Selection kwa gov schools ni muhimu kwa sababu kama mtoto atapata shule kama Ilboru, Kibaha, Mzumbe, Kilakala and the like, sina haja ya kulipa milioni 9 Feza au milioni 4 Marian. Please do it so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.