Habari ndugu zangu kwanza nipende kuwashukuru tangu natuma maombi ya chuo mlikuwa na mimi mdogo wenu kwa sasa nasoma ifm nachukua it mwaka wa kwanza napenda kupata ushauri kutoka kwenu kuhusu...
Samahani wanajukwaa.
Naomba mwenye vitabu au kitabu mojawapo kati ya tajwa hapo juu ashee hapa au anielekeze jinsi ambacho naweza kuvipata, soft copies. Imekuwa challenge sana kupata vitabu hivyo...
Habari wakuu niende kwenye mada moja kwa moja sijaona umuhimu wa mtu kumaliza kidato cha nne na kwenda kidato cha tano na sita kupoteza muda kwanini isiwe mtu akimaliza kidato cha nne asiende VETA...
Wakuu ninataka nianze mafunzo ya driving ( usafiri wa kawaida, sio mabasi wala magari makubwa) hapo VETA chang'ombe mwezi wa saba mwishoni, je gharama zake zikoje na muda mpaka kuhitimu? Na je...
Nini sababu ya mtu aliyepata divisheni ziro kutopewa cheti cha kidato cha nne au cha sita? Si ni matokeo aliyoyapata baada ya kushiriki mitihani? Kitamsaidiaje, hiyo si ni yeye mwenyewe atajua...
Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa wakazi wa maeneo mbalimbali wanaoishi maisha marefu zaidi duniani kama vile Japani, Italia na Marekani, pamoja na mambo mengine, wanajiepusha na matumizi ya vileo...
Nini sababu ya mtu aliyepata divisheni ziro kutopewa cheti cha kidato cha nne au cha sita? Si ni matokeo aliyoyapata baada ya kushiriki mitihani? Kitamsaidiaje, hiyo ni yeye mwenyewe atajua...
Nataka kufanya tour na wanafunzi wangu huko kwenye Makumbusho ya Isimila Iringa. Wiki ya Pili Sasa nahangaika kupata mawasiliano yao lakini hola. Nasearch website yao siipati. Lengo niweze kutoa...
Kwa wale wahitimu wa darasa la 7, kidato cha NNE na Sita
Mkuu wa chuo cha BRIGHT SMART STAR VOCATIONAL TRAINING CENTER kilichosajiliwa na VETA kwa namba VETA/MC/RC/110/82 kilichopo jijini Mwanza...
Nimefikilia sana kuhusu suala la kusomea cousre mbalimbali lakini nimeona bado zinachangamoto za ajira hivyo nikaona bora nichague course za veta ili niweze kujiajiri mwenyewe au kuajiriwa hivyo...
2005 wakat naenda form one niliambiwa Boys ni shule ya kijeshi..
Kidogo nigome kwenda, nafika naambiwa jeshi lilishaondolewa tangu 1997 (jaman wale mliobahatika kulikuta jeshi, maisha...
Kipindi cha serikali ya awamu ya nne,serikali ilitilia mkazo wa kuandaa walimu wa sayansi,baada ya kuona walimu wa Physics,Chemistry, Biology na mathematics kuna upungufu mkubwa mashuleni.Moja ya...
Hello wana jamvi Good morning
Kwanza kabisa nafurahi kuona matokeo NBAA yametoka vizuri, kwa wale ndugu zangu ambao mmefanikiwa kuvuka Module E na kuingia Module F nimewaandalia kitu kizuri...
Kwa Callender ya Nacte Siku ya tarehe 15 may 2019 ni ufunguzi wa Udahili. Majira ya saa sita usiku 15 may 2019 nilifata utaratibu wote wa Application na kukamilisha nikachagua vyuo vitano...
[emoji95]only for great thinkers[emoji95]
Fikra pevu forum: Ni jukwaa linalohusu mijadala muhimu kama:-
1)Habari za kielimu: University and scholarship application etc.
2)Fursa za kijamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.