Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
naomba kuuliza kuhusu wale wanaorisit kama private candidate, nao wanapangwa form five na serikali kama watainiwa wa school candidate wanavyopangwa na serikali? na je, post zao zinarushwa mtandaoni?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kilwa secondary kuna michepuo ipi na ipi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
*HESLB MAOMBI YA MIKOPO 2019* *[emoji599]HESLB BREAKING NEWS: BODI YA MIKOPO YATANGAZA RASMI MUONGOZO MPYA WA MAOMBI YA MKOPO KWA MWAKA 2019* *▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬* *[ Download PDF File] -MUONGOZO...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada kwa anaeijua shule hiyo, nataka nijue mazingira,trending ya ufaulu ya hii shule, mdogo wangu kachaguliwa apo
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habar zenu wana jf mdogo wangu kachaguliwa runzewe high school PCB Naomb mwenye kuhifaham hii shule anipe more details Asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sasa kama muislamu uko North pole unafanya research na jua halizami kwa Ramadhan yote utafanyaje hapa? BBC News - Dubai Burj Khalifa: Ramadan fast 'lasts longer high up' A drawback of the...
0 Reactions
234 Replies
11K Views
Bodi ya Mikopo ya WanafunzI wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza mwongozo wa utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2019/2020 ikiwa ni maandalizi ya kukaribisha maombi ya mikopo kwa mwaka ujao...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari gani wakuu, nimehitimu kidato Cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu ni Kama hiv; Chem=C, Bios=C, Geog=C, Engl=D. Maths=D, Hist=C, phsics sikusoma ila Cha ajabu ni kuwa nimechaguliwa HKL ilhali...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kwenu wadau; Nimehakiki cheti changu cha kuzaliwa RITA kwa ajili ya mkopo 2019/2020 na majibu yamerudi na cheti kimeshapigwa muhuri. Lakini nimegundua kuwa jina langu ninalolitumia katka vyeti vya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nilichagua mzumbe sec wamenipereka kashishi msituni dah!!
0 Reactions
2 Replies
607 Views
Habari za jioni wandugu? natumai mu wa zima wa afya, naomba kusaidiwa mawazo yenu, napenda nisome degree ya ustawi wa jamii kwa sasa nina diploma ya utawala katika serikali za mitaa, kwa wale...
0 Reactions
6 Replies
929 Views
Wakuu habarini za muda huu... samahanini naomba kuifahamu shule ya secondary Nangwa, kwanza location ya shule, hali ya hewa mazingira ya kujifunza na kujisomea kwa mchepuo wa PCB pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mdogo wangu ni miongo mwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga vyuo vya ufundi na biashara! Kinachotatiza, dogo hakusoma commerce wala bookkeeping,alisoma masomo ya Sanaa but tunashangaa kachaguliwa...
0 Reactions
3 Replies
785 Views
Naomba mwenye uelewa wa haya anipe ABC's za kuomba transfer kutoka shule niliyopangwa kwenda kwinginwe.Thank in advance
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mpya leo 03-05-2019: Hakuna kubadilisha tahasusi mpaka baada ya kumaliza muhula wa kwanza na tena nafasi ikiwepo ! Updates ni PDF ya majina yote hii...
1 Reactions
25 Replies
26K Views
DIRISHA LA MAOMBI KUFUNGULIWA RASMI 15 JUNE - 15 AUGUST 2019. Kwa maelezo zaidi kwa mwombaji pitia mwongozo hapa chini MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA 2019/2020 Bodi ya Mikopo ya WanafunzI wa...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Miaka ya nyuma walikua wanapewa muda wa kuomba ila mpaka sasa HELSB wametulia na mwisho wa kuripoti makambini ni ijumaa.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
hello wanabodiii Kuna dogo kahitimu kidato cha nne last year kachaguliwa kujiunga Tanzania institute of accountancy (TIA) mtwara cumpus kusomea basic technician certificate in procurement in...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
habari ndugu zangu, kama kichwa kinavyosomeka tafadhari kwa yeyote mwenye uelewa juu ya hili. Mwaka 2017 nilichaguliwa course Fulani pale Mzumbe university but unfortunately nlipata matatizo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
English Swahili Dictionary Part I a : no indefinite article in Swahili a few = -chache a little = kidogo a lot = -ingi, -engi a lot of = -ingi, -engi abandon [vt] = kuacha abbreviate [vt] =...
2 Reactions
11 Replies
139K Views
Back
Top Bottom