Habari za muda huu members jf-elimu!nikiri kuwa ni Mara yangu ya kwanza kupost humu jf-elimu.Ninaomba ushauri,mdogo wangu amemaliza kidato cha NNE kama private candidate na amepata div.four ya...
Wana jamnvi leo nimeshangaa sana na kusikitika kusikia wapo form 4 ambao walikuwa na div 4 na walijiunga na vyuo vya ualimu, kwa sasa wanafunzi hao waliachishwa kusoma na kuambiwa warudie hadi...
Ndugu wanajamvi taarifa zinazoenea kwa kasi kwa sasa katika chuo kikuu dodoma ni mpango wa mgomo na maandamano yanayo ratibia na wanafunzi wenyewe kwenda kwa waziri mkuu kwake kufikisha kilio...
*MKAPA AONYA:* MAAGIZO, AMRI ZA VIONGOZI
ZITAUA ELIMU.
Dodoma. Wakati Serikali ikiendelea na mkakati wa kubadilisha mfumo wa elimu, Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa amesema maagizo na...
Bodi ya mikopo ya elimu leo imekana taarifa kwamba itatoa mikopo kwa wanafunzi waloobaki yaani 5000. Kutokana na ukata unaiokabili kutokana serikali kushindwa kupeleka fedha kwa ajili ya upangaji...
Katika kuhakikisha kuwa walimu wanaingia darasani kumeandaliwa utaratibu wa kuwapa tablet walimu wakuu na wakuu wa shule ili kumpiga picha kila mwalimu pindi anapoingia darasani ili kuthibitisha...
jamani naombeni msaada nimesoma chuo cha Kampala ngazi ya certificate in public administration nikaomba nacte niendelee na diploma ya kitu kingine yani diploma ya community development Ila...
Jamani naomba kufahamu kuhusu mikopo ya elimu ya juu kwa wale waliotoka makazini ipo kweli mana kuna blogger mmoja hivi ka post kudai mwaka uu au wale continues wanaweza wakasitishiwa mikopo...
Nimepata taarifa zisizo rasmi,kama mdau wa elimu Tanzania,kuwa kuna mabadiliko makubwa katika elimu ya msingi yatafanyika hivi karibuni. Mabadiliko hayo yatahusu mitaala,masomo husika na muda wa...
Kwa wale wote mliojaza chuo cha arusha technical college selection zmeshatoka na majina yapo nje
Hata kama profile yako imeandka wait for selection jarb kuangalia Website ya atc
Www. Atc. ac. Tz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.