Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hivi huu utaratibu wa mtu kusoma mfano Education (bila tourism hadi Masters) halafu afanye ka research ka Tourism apewe PHD Eti kuanzia hapo atambulike kuwa amesoma Tourism hadi kupewa PHD naona...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wasalaam wanajamvi, Mimi ni mdau wa elimu nchini nikiwa ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani ila nimekulia Mkoa wa Mara. Kwa kipindi chote nilichokaa Mkoa wa Mara na hasa halmashauri ya Bunda mji...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, baada ya kuweka Uzi hapa Jana juu ya project proposal yangu, Jana usiku wakuu wa shule tatu walinitafuta(mmoja ni WA shule ya public , wengine wa wa wili wa private school)na directors...
2 Reactions
0 Replies
299 Views
Habari wadau wa jf, nimemaliza six mwaka jana mwezi wa 5 mchepuo wa HGE nina ka one ya 9 with c flat. lakini nilishindwa kujiunga chuo mwaka huo kutokana na kushughulikia masuala yangu ya kiafya ...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwenye kitabu cha mwongozo, DUCE wana kozi mbili za Master zifundishwazo kwa mfumo wa online, nazo ni - Master of Education in Educational Leadership and Policy Studies. & - Master of Education in...
0 Reactions
1 Replies
513 Views
Habari wakuu, Wakuu Mimi ni Kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 23 hivi sasa, pia mwanafunzi wa moja ya Chuo kikuu hapa jijini na chukua shahada ya kwanza ualimu sayansi yaani bachelor of...
1 Reactions
7 Replies
605 Views
Wakuu kama heading inavyosomeka, Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako. Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Jamani nahitaji kujua chuo kilichopo Tanzania kinachotoa master degree in electrical engineering by coursework and dissertation
0 Reactions
0 Replies
336 Views
Hello ndugu zangu , katka kurudisha fadhila kwa jamii nimepata wazo LA kupost basic mathematics series na advanced mathematics series kila siku ya jumamosi. Wanafunzi katka vidato husika endapo...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari WanajamiiForums, Naombeni mnisaidie kwa wale ambao wanafuatilia vizuri masula ya kujiendeleza kielimu hivi ni vyuo gani vizuri vinavyotoa distance learning? Iwe kwa hapa nchini au njee...
0 Reactions
1 Replies
271 Views
Ni sahihi kwa serikali kuanzisha shule zake za English medium?Kigezo gani kitatumika kupata wanafunzi wanaotakiwa kwenda kwenye hizo shule? Kuanzisha shule hizi kunaendana na wazazi kugharimia...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Vigezo vya kusoma CO
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Wakuu kuna mwenye details za chuo cha vignan? Kipo mbez beach? Namaanisha can you recommend for your young bro/sister to go? Shukrani.
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Mimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2020 kwa tahasusi ya CBG lakin malengo yangu ilikua PCB au PCM na ufaulu wangu ilikua hivi: CHEMISTRY C PHISCS D BIOLOGY C GEOGRAPHY...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Shule private zinamfanya mtoto kuwa zombie mlegevu mlegevu hata kazi za nyumbani hawezi kufanya kutwa kulala tu. Kwenye mitihani makaratasi et mara 100 ya masomo ya ajabuajabu tu afu kichwani...
2 Reactions
28 Replies
907 Views
RAIS shikamoo, Pole na Hongera sana kwa majukumu mazito ya kusukuma gurudumu la taifa letu. Mheshimiwa RAIS naandika BARUA hii nikiwa na majonzi mazito sana moyoni mwangu. Mheshimiwa RAIS...
0 Reactions
1 Replies
708 Views
Nina kero kadhaa kuhusu Shule ya Msingi Kiswahilini inayopatikana Wilaya ya Sikonge, Kata Igigwa, Kijiji cha Tumbili, Kitongoji cha Kiswahilini yenye Wanafunzi 300 ina changamoto kadhaa 1. Mbali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna jamaa yangu yupo Dodoma alikuwa na mtoto Marangu sekondari Moshi sasa akapata changamoto ya ada baada ya mwanae mwingine kuugua mpaka kufanyiwa upasuaji. Huyu Dogo mwanafunzi...
1 Reactions
5 Replies
652 Views
Salamu wakuu, Kama mada inavyosema hapo juu nina shauku ya kujua mahali ambapo kuna madhehebu au sehemu ambayo kuna watu wanatoa elimu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu nahitaji kujua maana nina...
2 Reactions
23 Replies
689 Views
Nilivyoolewa na mwanaume shoga. Mwandishi ni Juma hiza.
0 Reactions
32 Replies
916 Views
Back
Top Bottom