Salaam, Mimi ni mnufaika wa mkopo wa masomo kwa asilimia 50%. Nimekuta kwenye mfumo wameniandikia deni la 575,690,250.00.
Nimeshituka kwani nasoma miaka mi3 masomo ya ya ualimu na kwasasa nipo...
Wakuu habari za majukumu.
Naomba kuuliza kama Kuna ulazima wa kuanza na certificate kwa mtu mwenye matokeo ya o level Physics-C, Chemistry B na biology-B na anataka kusoma diploma in...
If you master writing skills
You become
Expert on
1. Writing proposal
2. Writing articles
3. Writing cover letter
4. Writing social media posts
5. Writing WhatsApp status
6. Writing threads
7...
Shule nyingi mpya za serikali zinazoanzishwa na zile za vijijini hazifundishi masomo ya biashara hususan Commerce, Bookkeeping na Economics? .
Mfano hivi karibuni serikali ilifungua shule mpya...
Matokeo ya mtihani baada ya kutangazwa nimejaribu kufatilia matokeo shule Kwa shule nimekuja kubaini matokeo hayajabadilika sana na miaka yote lakini zero zimejaa tu kwenye shule zetu za umma hasa...
Miaka ya hivi karibuni shule za high school za serikali katika mitihani ya necta zina piku za private hasa kwenye masomo ya sayansi, kwa mfano mwaka hu shule nyingi za umma hazina div 4 au 0 wengi...
Naomba msaada, naishi na kijana Ambaye Hana baba Wala mama. Nimemlea tangu darasa la kwanza. Uwezo aloo nao ni mkubwa amefauli vizuri darasa la saba Kwa wastani wa A. Natamani apate shule nzuri...
Habari!
Nilikuwa naulizia utaratibu wa kumhamisha kijana kutoka Private schools kwenda Governament. Kijana alikuwa anasoma Pwani Shule ya Waamuzi Sec sasa kutokana na changamoto za aliyekuwa...
Habari za muda huu ndugu zangu,
Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye connection ya kupata vyuo Uganda au hata mashirika ya kusaidia kupata chuo huko. Mfano niliongeaga na education link...
Nawasalimu nyote!
Mada hapo juu yahusika!
Kwa kufahamu kuwa wapo waalimu wa vyuo vya Kati humu ndani, ambao awali walikuwa wanafundisha shule za Sekondari, nimeona nilete ombi hili la kuwasihi...
Kuna ndugu yangu ni mtumishi wa serikali anataka kwenda kujiendeleza/kuongeza maarifa mengine anaomba msaada wa mawazo je ni kozi gani akasome kati ya hizo?
NB: Ana vigezo vya kusoma hizo kozi...
Profesa Esther William Dungumaro ni Mkuu (Principal) wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Mkwawa (MUCE). Kwa namna anavyoendesha chuo hiki cha umma, inaleta mashaka juu ya uadilifu wa uongozi wake katika...
Kuna binti mmoja mtoto wa dada yangu amehitimu kidato cha nne kwa matokeo yafuatayo;
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D' na anapenda kusoma...
Heshima kwenu wakuu.
Naomba kuuliza kuhusu haya Matokeo ya huyu dogo ataweza kuchaguliwa Form 5 wadau...?
Civics D
History D
Geography C
Kiswahili C
English D
Physics F
Chemistry D
Biology C...
Habari za majukumu ndugu wanajamvi,
Naomba kufahamu mwanachama wa mfuko wa pensheni kwa Watumishi wa Umma anaweza kupata mkopo kupitia mfuko huo akitimiza miaka 10 kazini au mpaka atimize miaka...
Kuna kero kubwa tunaipata Wazazi dhidi ya Shule ya Msingi Nyabulugoya iliyopo Nyegezi Jijini Mwanza, tunaomba tupazie sauti ili wenye nafasi zao wapate ujumbe huu.
Kila Jumamosi Wanafunzi...
The African Economic Research Consortium (AERC) was established in 1988 as a public not-for-profit organization devoted to the advancement of economic policy research and training in Africa. The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.