Habari,
Naomba kwa yeyote anaejua kampuni au sehem nyingine ambapo wanapokea wanafunzi wa field kwa kozi ya degree of marketing and public relations mkoa wa Mbeya.
Kwa wewe mwalimu wa shule ya msingi mwenye uhitaji wa andalio la somo shule ya msingi kwa mwaka mzima mada zote, zipo tayari na unaweza kuzipata popote ulipo Tanzania.
Uaminifu kipao mbele na...
Baadhi ya shule za sekondari wilaya Mbinga zimeanzisha hostel bubu ambazo hazifai kwa matumizi ya wanafunzi hususan wa kike hasa madarasa ya mitihani na hata zile shule zenye hostel za wasichana...
Salaam wakuu.
Naombeni ushauri ni ufundi gani upo vizuri kwenye Kipato kati ya kuwa fundi wa kutengeneza magari upande wa umeme wa magari na uchomeleaji(welding)?.
Habari ndugu zangu kuna tatizo kubwa katika hili suala nililowasilisha hapo juu. Shule nyingi kuanzia chekechea hadi kidato cha sita zina matatizo makubwa haswa zile zinazotoa ufaulu wa kiwango...
Habarini WanaJF,
Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Ualimu shule za msingi mwaka 2019...nikiwa na GPA ya 4.0
Naombwa kufahamishwa kama inawezekana kwangu kuweza kusoma Bachelor of Education in...
Wakuu mimi ni 26 Me, mzaliwa wa kanda ya ziwa, taaluma yangu Medical doctor degree, nimeletwa na mambo mawili;
Kwanza
Naota nakula sana mara nyingi ni wali na matunda na muda mwingine unajaribu...
Habari wanaJF.
Kama kichwa kinavyosema, huwa naona ukitaka kwenda masters au postgraduate diploma ni lazima uwe na degree? Ukiangalia qualification za kujiunga zinafanana, ukiangalia namna ya...
Kuongeza uwajibikaji na juhudi, kuongeza thamani ya Elimu, kuondoa uzembe na udanganyifu maana supplement hufanyika ikiwa mwanafunzi yupo nje ya program ya mafunzo, kuondoa Rushwa ya Hela na...
Eti jaman chuo gani cha private chenye ada nafuu na bora kwa upande wa diploma ya medical laboratory . Ambacho mtu anaweza kumalizia diploma bila shida.
Wandugu wasalam,
Naomba kuuliza kwa wale waelewa wa mambo ya vyuo nchini Canada.
Ni vyuo gani kwa majina ni rahisi kupata admission for international students hawahitaji IELTS na pia tuition fee...
Enyi wana jf elimu ni kazi kama kazi nyingine, kijana anapo hitimu chuo ni haki yake sasa kupata nafasi ya ajira ili elimu yake imlipe kwa kutoa huduma kutokana na alicho somea.
Sasa unakuta...
Naomba kutanguliza shukrani za dhati kwenu.
Je, mnajua kwamba Pharmacy ndo kozi ngumu pia ndiyo inayoongoza kwa michongo ya kujiajiri na kuajiriwa bongo.
Cheti cha pharmacy kinaweza kukuingiza...
Hbari waja-Jamii Forum,
Nakuja kwenu kuomba msaada wa uzoefu kwa wale ambao tayari wamepita huko, kupata VISA ya US hususani kwa mtu anae kwenda kusoma nje (USA), Nachotaka kufahamu ni challenge...
Top 5 Degree programs kwa Mchanganuo ufuatao wa masomo
Waliosoma Physics na Mathematics(PCM,PGM)
1.Electrical Engineering
2.Civil and Irrigation Engineering
3.Mechanical Engineering
4.Chemical...
Wadau salaam!
Naombeni mnitajie shule za binafsi zinazofanya vizuri katika mchepuo wa EGM. Ziwe katika mikoa ya Tanga, Arusha au Kilimanjaro
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.