Nakumbuka enzi hizo ugali tuliita ngunga(gima) wali uliitwa bee. Ugali ulikuwa ukilala kesho take unakuwa mweusi kama udongo was mbuga. Maharage yenye funza weupe na weusi yalinogesha mlo...
Short Courses
Long course
Welding and Fabrication level I and II
Auto Electric level I and II
Motor Vehicle Mechanics level I and II
Truck Mechanics
Plant Mechanics
Short...
Hapa kuna mazoea na vidokezo 20 vya kujisomea vinavyoweza kukusaidia kuzingatia masomo yako:
1. Unda ratiba ya kusomea na jishikilie nayo.
2. Tafuta eneo tulivu lisilo na vikwazo vya kusumbua.
3...
Jamani naombeni munisaidie ushauri mwanangu amemaliza form four na amepata division two ya kumi Na nane masomo ya science.
Je, nimpeleke chuo Moja kwa moja au aendele na form five.
Mimi ni kijana wa kiume miaka 27 'nilimaliza Form 4 2013 nikapata division 3 lakini nikakosa nafasi form 5
Since day one ndoto yangu ilikuwa ni kuwa DAKTARI +Business man 2014 nikachomoka Moshi...
Habari wakuu!!
Hadi Sasa nimejaribu Sana kuapply NACTE lakini nimeshindwa,
Naomba msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia au amefanikiwa kumaliza kuapply NACTE!!
Mpaka Sasa nimejisajili na...
Binti ana Four ya 28 (arts pure) sasa anataka kujua anachoweza kusomea
>>>Ameambiwa aingie humu achague kozi zinazoendana na ufaulu wake>>>
NIT
DIT
NACTE
Kumekuwepo na malalamiko mengi juu ya utitiri wa adhabu za viboko shuleni.
Watoto wanaogopa kwenda shuleni kisa adhabu za viboko ni kali na pia namna ya utoaji wa adhabu hiyo umepelekea wanafunzi...
Ukisoma fani ya 'Marketing', moja kwa moja wewe unakuwa umejiondoa kwenye kazi za kukaa ofisini na kupulizwa na kiyoyozi; kazi zako wewe ni za kwenda 'field' kwenye kutafuta wateja kwa kutuma...
Chuo Kikuu cha Iringa kina ubabaishaji, hawajali afya za Wateja wao (Wanafunzi) haiwezekani mwanafunzi kafanya usajili kuanzia Novemba mpaka Desemba, lakini bima yake haijawa activated.
Mnufaika...
Kila nikimkumbuka mwalimu wangu wa Hisabati Mwalimu Msiagi alivyokuwa akitujengea confidence katika somo la Hisabati zikiwemo test za asubuhi pamoja na kuielewa table na kuiweka kichwani hakika...
Wealth creation is not a matter of luck it is the result of applying an appropriate strategy. Although myself I am not Wealth, but I would like to get there. Here are seven wealth building secrets...
Call it a clan, call it a network, call it a tribe, call it a family. Whatever you call it, whoever you are, you need one." - Jane Howard
Many Tanzanians works for so many years before they...
We as human beings are always dreaming what we want to make true. But for some of us no matter how much you try it seems that you do not reach your goals. What is happening? Why are you having so...
Hello wanachama wenzangu habari za leo,
Kijana wangu anapenda kusomea Aircraft Eng au U pilot, kwa sasa sina hakika na suala la ajira kwa hapa nyumbani na kuna mtu ameniambia hata nje ya nchi...
Habari za wakati huu wakuu, naomba mwenye kampuni yeyote ya clearing and forwarding au anayeweza kunipa connection ya wanafunzi zaidi ya 10 kupata field ndani ya dar es salaam ani PM.
Weka bei...
Karibu tukupe mfumo mzuri wa kuchakata matokeo kwa shule zote nchini hata zile za mitaala mpya tunazo. zipo kuanzia primary hadi vyuo vya ufundi. nipigie 0682744740 tujadiliane!
tembelea pia...
Hili suala la cut point za kuingia chuo kikuu zilipandishwa na waziri wa Elimu kipindi hicho (Ndalichako) kiliwaumiza wengi wengi sana hasa watumishi wa umma wenye kutaka kujiendeleza kielimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.