Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Je vyuo vya kati unaweza kufundisha kama hukufanikisha kufikisha GPA ya 3.5 msaada wa kimawazo ukiwa na hiyo masters nina hoja nisikilizwe [emoji1][emoji1]
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Nina 3 ya 22 math-F Bio-D Civi-D Comm-C B/Keeping-C Geo-C Hist-C Kisw-C Eng-C Je naweza kwenda combination za biashara naombeni ushauri wenu wadau
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Habari wana jamvi, Serikali ya Marekani kwa mara nyingine tena imetoa fursa kwa watanzania kwenda kufundisha lugha ya kiswahili nchini Marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja, ukipata nafasi hii...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari ya muda huu Wana JF, Nimemaliza kozi ya utabibu NTA level 5 mwaka 2023, sasa nilikuwa kwenye process za kuomba leseni kupitia MCT, kwenye mfumo inagoma, nikitaka ku submit information...
2 Reactions
1 Replies
365 Views
Hello Friend, You can now start using our numeracy materials to help your kids learn in a funny, entertaining, attractive, and interactive approach. To access materials, Log in here with the...
2 Reactions
4 Replies
543 Views
Ningependa kupata nakala ya kitabu hiki lakini sijui kinapatikana wapi. Wadau, naomba msaada... ni pm kama unafahamu wanapokiuza na bei yake
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani mkwe wa samia emu fanya makeke kama uliyofanya kule utumishi,tamisemi wanazingua sana,imagine maombi ya uhamisho tena wa kubadilishana wamepokea toka juni sasa wanachakata nini mda wote...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za muda huu watanzania wenzangu..Nilikua napenda kufahamu chuo gani kizuri kwa kozi ya kutengeneza vifaa vya kielectronics mfano Simu,Computer na TV,ada yake pia itakua ni kiasi gani?
3 Reactions
8 Replies
838 Views
Wakuu habari vipi, kuna mwamba ni mwalimu wa secondary katika shule fulani ya kata. Ndoto yake kubwa ni kufundisha vyuoni hata kama vya kati, masomo yake ni HISTORY na KISWAHILI na overall GPA...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Ni rais pekee aliyehakikisha mwalimu analipwa stahiki hii ambayo imepuuzwa upande wa bara. Katika kada ambayo itaendelea kuwafanya viongozi wa bara waende na mzigo wa dhambi ni kuidharau kada ya...
2 Reactions
1 Replies
291 Views
Wandugu kuna mdogo wangu ambaye amehitimu kidato cha nne mwaka jana na wakati wa kujaza selform, alichagua kwenda chuo, sasa alikuwa anauliza ni kwa namna gani anaweza akapata connection hapo...
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Hope ni wazima. Wakuu nataka nifanye research itakayo tikisa dunia na ulimwengu wa sayansi kwa ujumla. Wakuu naomba mawazo yenu je nifanye juu ya topic ipi??
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Nina ndugu yangu anataka kusoma chuo cha nursing kwene hizi college lakini changamoto ni kujua kama kimesajiliwa au Laah!! Maana kuna watu kama wanne wamesoma vyuo havijasajiliwa hivo hawaajiliki...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habar natumai wazima nawaomba mnishauli Nimemaliza diploma TPSC (Tanzania Public Service College) course Record, information and archive management GPA 3.0 Natamani niombe mkopo ilinendelee...
3 Reactions
18 Replies
707 Views
Habari wana JF, Samahani naomba kuelekezwa tofauti ya kozi tajwa hapo juu. Mimi nimechaguliwa kusomea Ualimu ngazi ya Technician Certificate in P.Education lakini kwenye chuo husika kozi...
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Ukiwa kama mwandishi mchanga unajifunza nini kupitia Eric Shigongo? Waandishi wengi wanatamani kutoa vitabu lakini hawajiuliza kwanini Eric Shigongo hatoi vitabu kama zamani, kuna siri gani...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Vigezo vya kusoma IT
0 Reactions
3 Replies
354 Views
Hii shule kwenye matokeo ya necta mwaka jana na mwaka huu haipo? Shida nini? Hii ni moja ya shule kongwe zikiwa pamoja na shule kama Pugu sekondari!
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Je, ukimaliza shahada ya famasi na ukianza mwaka wa intern unakuwa unalipwa kiasi gani na Serikali?
2 Reactions
3 Replies
488 Views
Habari wakubwa natumaini ni wazima wa afya. Nami napenda kuchukua nafasii hii kuwaomba ushauri katika hii. Nimechaguliwa Bachelor of Science in Information Technology katika chuo tajwa apo juu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom