Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Zeppelin ni meli ndege iliyopewa jina la mbunifu aliyeiunda aliitwa Count Ferdinand von Zeppelin. Zeppelin ilileta mabadiliko makubwa katika usafirishaji wa mizigo kwa njia ya anga.
8 Reactions
31 Replies
2K Views
MWANAMKE MWANAMAPINDUZI Hiki ni kitabu kinachohusu maisha ya Biubwa Amour Zahor kilichoandikwa na Zuhura Yunus. Kitabu hiki kinahusu maisha yake Bi. Ubwa akiwa msichana mdogKio wa Kiarabu katika...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
KITABU CHA BIUBWA: KARUME, BIUBWA NA BARUA YA ENGEN Kitabu "Mwanamke Mwanamapinduzi," kinachohadithia maisha ya Biubwa Amour Zahor ni, "thriller," katika viwango vya James Bond. Zuhura Yunus...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
KITABU CHA BIUBWA: KARUME, BIUBWA NA BARUA YA ENGEN Kitabu "Mwanamke Mwanamapinduzi," kinachohadithia maisha ya Biubwa Amour Zahor ni, "thriller," katika viwango vya James Bond. Zuhura Yunus...
0 Reactions
3 Replies
882 Views
[emoji117]Ruby Bridges alizaliwa mnamo mwaka 1954 akiwa na umri wa miaka 6 alikuwa mtoto wa kwanza marekani mwenye asili ya Afrika alisoma katika shule mchanganyiko na wazungu. [emoji117]Mtoto...
7 Reactions
13 Replies
5K Views
Huyu ni mmoja kati ya watu wachache wenye uwezo mkubwa kuwahi kutokea duniani. Kazaliwa 15April 1452 na kufariki 2May 1519. Huyu jamaa hakuwahi kanyaga shule ila alijaliwa kila aina ya kipaji...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Mkataba huu ulitiwa sahihi miaka mitano baada ya kifo cha Archduke Franz Fernand aliyekua mrithi wa Ufalme wa Hungary, Bosnia na Austria, hii ilikua falme moja kabla ya mgawanyiko. Sababu ya...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
BI. TITI MOHAMED ALIVYONIKUTANISHA NA ISMAILI BAYUMI Tuwekeni kumbukumbu kwani kumbukumbu ikihifadhiwa hukumbusha. Leo ni siku yangu ya furaha kubwa sana. Nimekuwa nikiitafuta picha ya marehemu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KUMBUKUMBU YA UHURU WA TANGANYIKA 9 DESEMBA 1961 2 KISA CHA FUNDI MUASHI, FUNDI CHERAHANI NA WASOMI WA CHUO KIKUU CHA MAKERERE 1955 SEHEMU YA KWANZA Katika sehemu ya kwanza tumeoa jinsi wananchi...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Thomas sankara alikua ni raisi wa Burknafaso kati ya miaka ya 1983 hadi 1987 Haya ni moja ya machache yaliyo fanywa na Thomas Sankara enzi za uongozi wake[emoji116] [emoji117]Aliuza Mercedes Benz...
9 Reactions
15 Replies
2K Views
Naeleza mazishi yalivyokuwa kuanzia dakika ya 7. Labda unaweza kujifunza kitu kitokana na historia hii ambayo kwa hakika ni historia ya watu wa Dar-es-Salaam na utamaduni wao na vipi historia hii...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada kutoka mtu anayejua vizuri historia ya Zanzibar. Abdulrazak Gurnah aliyeshinda Tuzo la Nobel la Fasihi alizaliwa 1948 akaondoka kwenda Uingereza alipokuwa na umri wa miaka 18...
1 Reactions
2 Replies
780 Views
MASJID RAWDHA NA SOKO MJINGA KISUTU Masjid Rawdha ni huo msikiti kushoto ambao zamani ulikuwa ukijulikana kama Masjid Badawy na hili ndilo jina nililolikuta mimi wakati napata akili. Kulia ni...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
WAZALENDO HISTORIA IMEWASAHAU ABBAS MAX, AMINA KINABO, HALIMA SELENGIA NA FATMA BINT MATOLA
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…