Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Siti binti Saad alizaliwa katika kijiji cha Fumba, Zanzibari mwaka 1880. Alipozaliwa alipewa jina la 'Mtumwa' hii ni kwa vile alizaliwa katika kipindi cha utumwa wa Kiarabu. Jina la Siti alipewa...
13 Reactions
7 Replies
7K Views
By Malisa GJ Wakati wa uhai wake Kim Jong-il baba mzazi wa Kim Jong-Un, Kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini alioa wanawake wawili ambao ni Hong Il-chon na Kim Young-sook. Lakini aliishi kinyumba na...
7 Reactions
24 Replies
5K Views
2003 INVASION OF IRAQ: Kanisa Katoliki Vatican na ushawishi wake juu ya msamaha kwa Waziri Tariq Aziz. Mkristo kindakindaki na swahiba mkuu (Inner Circle) wa Saddam Hussein. Waziri wa zamani wa...
13 Reactions
106 Replies
14K Views
Aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zambia mzee Kenneth Kaunda amefariki dunia katika hospitali ya jeshi mjini Lusaka, alikokuwa amelazwa kutokana na kuumwa. Kuumwa na kuaga dunia kwa Mzee Kaunda, sio tu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
‘Seppuku’ au ‘Harakiri’ inamaanisha “kukata tumbo kwa kisu”, hii ni aina ya tamaduni ya kujikafiri kwa kujikata na kulichana tumbo kwa kisu iliyokuwa ikifanyika Japan ya kale. Mila hii ya kikatili...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Alizaliwa tarehe 10.7.1951 Elimu Alisoma shule ya msingi ya Mawenge Middle School mwaka 1961 hadi 1964 1965 hadi 1965 St. Francis College Pugu 1969 hadi 1970 Shinyanga Secondary ‘’A’’ Level 1971...
11 Reactions
29 Replies
8K Views
Haya ma basin yaliweka maji ya kunawia, vyoo vilijengwa karibu na chemichemi na kulikua na mtiririko wa maji unaosafisha uchafu.
15 Reactions
38 Replies
5K Views
TIMU YA TANGANYIKA GOSSAGE CUP 1961 Majina ya wachezaji wote na maelezo ya ziada kayatoa John Limo baada ya kumfikishia hii picha. Tumshukuru kwa kutufanyia hisani hii: Kutoka kushoto: Henrick...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
KENNETH DAVID KAUNDA NA ALLY KLEIST 1953 Leo Kenneth Kaunda katimiza miaka 97. Nimeangalia picha ya Kenneth David Kaunda na picha hii ikanikumbusha uhusiano wa Kaunda na Ally Kleist Sykes wakati...
6 Reactions
6 Replies
2K Views
Mpaka mtoto afikishe miaka miwili + ndiyo anaweza kutambua kuwa anahitaji haja kubwa au ndogo hapa ndipo anafundishwa kujistiri. Enzi tuna vaa magome ya miti watoto walitunzwaje ili kinyesi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
+ Katika Vitabu maarufu vya historia vinavyotolewa na "UNESCO World Heritage" kuna Makala ambazo huwa zinahusu orodha ya miji mikongwe ambayo mpaka leo inakaliwa na watu (List of oldest...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Siku moja nimepita ofisini kwa Bwana Ally Sykes na katika mazungumzo yetu akaniambia kuwa alikuwa siku ya pili anasafiri anakwenda London. Palepale ikanijia fikra nimpe Bwana Ally makala yangu...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Salute wakuu, Kuna muda huwa nakaa najiuliza kama wazungu (wakoloni) wasinge tutawala Afrika tungekuwa wapi leo na uchumi wengi ungekuaje ukilinganisha na maisha mengine kama India, Amerika...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wengi wamekuwa wakiuliza kama kuna Mtanzania mwenye ujasiri wa kukataa uteuzi wa Rais. Ukweli ni kwamba wapo na imepata kutokea kwa Mwalimu Mishael Muze ambaye alikataa uteuzi wa kuwa mkurugenzi...
6 Reactions
15 Replies
5K Views
Baada ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Rais wa Kwanza wa Tanganyika na pia Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) tarehe 14 Oktoba 1999 mengi yamesemwa na kuandikwa kuhusu...
13 Reactions
263 Replies
64K Views
Mama Samia leo asubuhi aliamkia Soko la Karikaoo kuangalia biashara inavyokwenda na kuzumgumza na viongozi wa soko. Allah ana rehma zake na hutukumbusha mengi kwa njia ambazo mtu huwezi...
15 Reactions
81 Replies
11K Views
KIFO CHA JOHN LENON 8 December 1980 Watu waliotumika kufanya mauwaji ya watu wakubwa , wengi wao ukiwafuatilia wanakua walipata mafunzo ya kijeshi. Au mafunzo na kufanyiwa unyama huu wa...
5 Reactions
33 Replies
6K Views
H Kumbukumbu ya wapagazi Waingereza kwenye Sanamu ya Askari, Dar es Salaam. Wapagazi Waafrika upande wa jeshi la Kijerumani Kikosi cha wapagazi (ing . Carrier Corps ) kilikuwa kitengo cha jeshi...
4 Reactions
3 Replies
8K Views
SALIM HIMIDI (1945 – 2020): JAHAZI LILILOZAMA NA SHEHENA YAKE YOTE YA VITO VYA THAMANI KUBWA Nimemfahamu Salim Himidi kiasi cha miaka 20 iliyopita kupitia kwa rafiki na ndugu yangu Mohamed...
10 Reactions
5 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…