Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu. Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali...
9 Reactions
85 Replies
14K Views
MENGI BWANA ABBAS ALINIELEZA NA MENGI BALOZI AMEINGIANAYO KABURINI HAKUNAMBIA Tuko kwenye khitma ya Abbas Sykes Msikiti wa Makuti, Kisiwandui Zanzibar niko bega kwa bega na Sheikh Ibrahim Moeva...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Princess Midifershwork and Pincess Maryam 1945 Abebech Cheraos was a Patriot, the picture was taken in 1940’s
2 Reactions
4 Replies
812 Views
MASHEIKH WA AFRIKA YA MASHARIKI WALIPOKUSANYIKA KUMUOMBEA DUA ABBAS SYKES Nipo nyumbani baada ya Maghrib akaja Sheikh Mahdi kaniletea picha adhim kupita kiasi. Sheikh Mahdi ni mtoto wa Sheikh...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
SALUM ABDALLAH NA CUBAN MARIMBA CHACHA BAND NYIMBO ''MKONO WA EID'' Sikumbuki ilikuwa kitu gani lakini ninachokumbuka ni kuwa nilikuwa likizo Tabora niko uani na bibi yangu Zena bint Farijala...
4 Reactions
13 Replies
5K Views
Historia ya mji wa Tukuyu inaanzia enzi za Utawala wa Ujerumani nchini Tanganyika, Mji Mkuu wa utawala wa Ujerumani nchini Tanganyika ulikuwa ni Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani. Ujerumani ili...
9 Reactions
32 Replies
11K Views
Hili ndio swali ambalo wengi hasa Watanzani huliliza mara kwa mara na ni swali ambalo popote ukijitambulisha kama mwenyeji wa Mafia basi aghalabu kwa mtu aliewahi kukifahamu kisiwa hiki kwa...
17 Reactions
36 Replies
17K Views
Alikuwa Waziri Mkuu wa Israel mwaka 2001. Amekuwa mahututi tangu mwaka 2006 kufuatia mfululizo wa matatizo ya kiharusi. Ariel Sharon alikuwa askari wa vita na baadae kuwa kiongozi wa nchi...
6 Reactions
32 Replies
8K Views
PICHANI; Hii ilikuwa harusi ya Oscar Kambona na mrembo Flora Moriyo aliyekuwa Miss Tanganyika Tarehe 19.11.1960. Msimamizi wa harusi alikuwa Mwalimu na ilifungiwa London Uingereza,Kanisa la...
6 Reactions
63 Replies
9K Views
HILI NDILO BARAZA LA MAWAZIRI LA KWANZA KABISA KWA SERIKALI YA TANGANYIKA BAADA YA KUPATA UHURU MWAKA 1961. Baraza hilo lilikuwa na Waafrika 8, Wazungu 2 na Mhindi 1, Jumla Mawaziri walikuwa 11...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
HAPA NDIPO ILIPOJADILIWA BARUA YA JULIUS NYERERE KUCHAGUA SIASA AU UALIMU Hapo liliposimama jengo hilo ndipo ilipokuwa nyumba ya Clement Mohamed Mtamila katika miaka ya 1950 harakati za TANU...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Charles Maurice de Talleyrand, mmoja ya watu mashuhuri katika shitoria ya ufaransa na Ulaya Mwanamfalme wa Benevento na Dola, Mwanamfalme wa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Catholic persecution in the reigns of Henry VIII, Edward VI and Elizabeth I: By: Elenah Zwiegers Without doubt, the Tudor monarch most associated with religious persecution is Queen Mary I...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ever wondered where the term “Blowing smoke up your arse” comes from? A 1776 textbook drawing of a tobacco smoke enema device, consisting of a nozzle, a fumigator and a bellows A tobacco smoke...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
The Kailasa temple in Maharashtra, India. Carved out of one single rock, it is notable for being the largest monolithic structure in the world. Also known as ‘Cave 16’ of the Ellora Caves, the...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
ABBAS SYKES NDANI YA KITABU CHA ABDULWAHID SYKES Hesabu yangu ya wanachama watatu waliobakia wa siku za mwanzo za TANU na harakati za kudai uhuru mwaka wa 1954 imepungua baada ya kufariki Abbas...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
The Kalambo Falls on the Kalambo River is a 772ft (235m) single drop waterfall in Tanzania, very near the border with Zambia at the southeast end of Lake Tanganyika. The falls are some of the...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
BABU YANGU SALUM ''NDEGE MWEMA'' ABDALLAH NA KIGOMA CHA DAKU Naiaga Ramadhani kwa kutabaruku na babu yangu Salum Abdallah (Allah amrehemu yeye na wazee wetu wote waliotangulia mbele ya haki) na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Namuona Mwl akiwa mtu wa kawaida kabisa Huku Shk Suleima Takadiri na weziwe (SHEIKH SULEIMAN TAKADIR, JOHN RUPIA AND NYERERE 1955) wakionesha kuwa na lengo moja tuu. Kuikomboa Tanganyika. Lakini...
20 Reactions
58 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…