Moabu , "Mbegu ya baba"; ni jina la kihistoria la eneo la milimani upande wa mashariki wa Bahari ya Chumvi ndani ya nchi ya kisasa ya Yordani. Ilikuwako kati ya Edomu upande wa kusini na Amoni...
Kuanzia mwaka 1968 mpaka mwanzoni ya miaka ya 70 taifa kubwa la Marekani lilikubwa na mtu mmoja hatari sana,si mwingine bali ni muuaji(serial killer) ambaye yeye kama yeye alipendelea kuitwa...
Christopher Cyrilo ameandika haya
Kushoto ni Fidel Castro, aliyekuwa Waziri mkuu wa Cuba kutoka mwaka 1959 hadi 1976, Rais wa nchi hiyo kutoka 1976 hadi 2008.
Kulia na Ernesto Rafael Guavara...
Wadau naomba kufahamu hivi mbali na kisarawe kukaliwa na wazaramo na baadaye kumpokea mgeni wa kijerumani na kumuuguza hadi akapona na baadaye kutaka kutawala wenyeji au bagamoyo iliyokaliwa na...
LEO SIKU YA VITABU DUNIANI 1
"The School Trip to Zanzibar"
Mwandishi Mohamed Said
Mchapaji: Africa Proper Education Network, Dar es Salaam
Hiki kitabu kimechapwa mwaka jana 2020 na kinawafaa...
KARUME DAY NA TBC
Leo nimetembelewa na TBC ili tufanye kipindi kuhusu Mzee Abeid Amani Karume.
Mtangazaji Bakari Msuya kaniuliza maswali mengi.
Nimemweleza Mzee Karume nikianza na uhusiano wake...
PICHA ADIMU ZA TANU, JULIUS NYERERE NA WAZALENDO WALIOSAHAULIKA KATIKA HISTORIA YA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA 1954 - 1961
Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania May 02, 2015 1...
Sofia Kawawa alisema Qur'an ibadilishwe kisa ni kuwa inaruhusu mwanamme wa Kiislam kuoa wake wanne na hili linadhalilisha wanawake.
Maneno haya Sofia Kawawa aliyazungumza Dodoma kwenye mkutano wa...
THOSE WERE THE DAYS...HAPO ZAMANI ZA KALE
Kifo cha Prince Philip.
Nimelisoma jalada la siku ya uhuru katika Nyaraza za Sykes.
Najuta hii leo.
Sikulipa umuhimu mkubwa akili yangu ilitekwa na...
“While Revolutionaries as individuals can be murdered, you cannot kill Ideas”, Haya yalikuwa ni maneno ya Thomas Sankara aliyoyatamka wiki moja kabla ya kuuawa.
Thomas Sankara alikuwa kiongozi...
Kuna tetesi na pia kuna mambo mengi yanayoonyesha kua siasa za Zanzibar zimekua zikiamriwa dodoma na dar es salaam toka 1972 specifically after the death of karume.
Tujulishane ishu ya rais Aboud...
Leo FB imenirushia kumbukumbu ya mkutano wa Tabora kuhusu Uchaguzi wa Kura Tatu wa mwaka wa 1958.
Uchaguzi huu nimeueleza kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes na katika mihadhara kadhaa...
Tarehe 17 April 1953 ulifanyika mkutano wa mwaka wa TAA Ukumbi wa Arnautoglo, Dar es Salaam.
Mkutano wa mwisho wa TAA ulifanyika mwaka wa 1950 na katika mkutano huu uongozi wa wazee wasomi wa...
Habari!
Mr Wiston Churchill ni moja ya muingereza maarufu kipindi cha karne ya ishirini na aliingoza uingereza wakati wa vita vya pili vya dunia.
Wiston Churchill alizaliwa mnamo 1874 na kupata...
Jina lake kamili ni Alexander Philip, wazungu wao humuita Alexander the Great (yaani Alexander mwenye nguvu) mtoto wa kwanza wa mfalme Philip II wa Macedonia (Ugiriki) na Malkia Olympias binti wa...
Hili swali anae weza kulijibu atatusaidia pia kutwambia kwanini kue kuna mgawanyiko wa rangi za wanadamu kama asili yetu ni moja?
Weupe/wazungu
Wekundu/wachina/waarabu/wahindi
Weusi/waafrika
Pia...
Jini mahaba ni moja kati ya majini waliokuwa na nguvu sana na waliopo karibu sana na ufalme wa Dajjal/Shetani/Ibilisi/Lucifer/ ambaye pia wengine humuita mpinga Christo.
Elewa ya kuwa ndugu yangu...
Kashfa kubwa imelikumba shirika la hifadhi la Taifa(Tanapa)na mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro(NCAA) baada ya baadhi ya maofisa wake wenye vyeo vya juu kukubali rushwa ya dola 20,000 Kutoka kwa...
RAMADHANI IN DAR ES SALAAM THROUGHOUT THE YEARS
By Mohamed Said
Observation of the holy month of Ramadhan in actual fact begins when the moon is sighted at the end of Shaaban.
Soon after Magrib...
Za jioni waungwana. Katika maisha nmejiwekea kila baada ya miezi mitatu huwa najitahidi kutembelea sehemu mbalimbali za nchi yetu ya Tanzania na kujionea vivutio tulivyonavyo.
Basi safari yangu...