Habari waungwana,Leo tena naomba kuwasilisha hoja ifuatao:-
Katika historia ya ukombozi Wa bara la Afrika katika kujiondoa katika makucha ya Wakoloni na mabeberu waliokuwa wakinyonya bara la...
MAANDIKO kadhaa yamekuwepo kuhusiana na historia ya Wahehe na hasa ukoo wa Mtwa Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga, maarufu kama Mkwawa, lakini yote hayo hayakunizuia kuisaka historia hiyo.
‘Jicho...
Unaweza kushangaa kwanini nimeileta hoja hii upande wa jukwaa la HISTORIA, wakati ni jambo lililozungumzwa ktk mkutano wa kampeni za uchaguzi.
Kati ya mwaka 1964 na 71,Khassim Hanga, Idris...
leo nimeingia wikipedia na kusoma juu ya historia ya koloni la ujerumani ya afrika mashariki (deustche ostafrika) /(german east africa).
katika kusoma huko kilichonifurahisha ni kuona majina ya...
Katika kumbukumbu za ukoloni, sifa kubwa ya Hispania ilikuwa ujenzi. Walibuni na kujenga majengo ya kupendeza kama vile sifa ya Uingereza ilivyokuwa katika utawala bora.
Katika Afrika, Hispania...
SPUTNIK-1 SATELLITE YA KWANZA DUNIANI
Na Thabit Karim Muqbell
Sputnik-1, Rus: Спутник-1, Eng: Satellite-1.
Mwaka 1957 Historia ya teknolojia ilibadilika na dunia ilisimama pale USSR...
Magufuli kaminya upinzani mpaka unapotea kweli 😢😢
Imagine HAKUNA mbunge wa CCM aliyewahi kusumbuliwa na police, ila wangapi viongozi wa upinzani wamekuwa harassed na police?
Mnajua effect yake...
WAMAREKANI LEO WAKIKUMBUKA MKASA WA JAMES MEREDITH WANATINGISHA KICHWA NASI TUTATINGISHA TUTAKAPOKUMBUKA NEC/ZEC NA WIZI WA KURA
Mississipi ni Kusini na Kusini ndiko kulikoshamiri utumwa wa mtu...
FAHAMU HESHIMA NA HADHI YA SHEIKH PONDA KATIKA NYOYO ZA WAISLAM
''Allah ni Mjuzi Allah na ni Mbora wa kulipa.
Sheikh Ponda utayakuta malipo yako kwa Allah yakiwa makubwa kwa subra na...
Mtawala wa mwisho wa Zanzibar kwa mfumo wa ufalme ambaye alichukuliwa Uiengereza kwa madai ya kupinduliwa leo ametua nchini Oman kutokea London ikiwa ni mara yake ya mwanzo tangu azaliwe miaka 91...
KWAO CASTRO ALIKUWA CUBA NA CUBA ILIKUWA CASTRO.
Na.Comred Mbwana Allyamtu
Thursday -30/8/2018
Fidel Alejandro Castro Ruz alifariki usiku wa saa 4:29 siku ya tarehe 25/11/2016 huko Havana Cuba...
Katika pitapita zangu mtandaoni nimewahi kukutana na watu wengi wakilalamika kuhusu kufichwa kwa historia halisi ya Afrika na kufundishwa historia ya wakati wa ukoloni jambo hili nililipenda sana...
Fimbo ya Rais wa zamani wa Kenya, Hayati Daniel Toroitich Arap Moi ilijulikana sana kama ishara ya nguvu, uongozi na mshikamano wa kitaifa.
Fimbo hiyo liyotengenezwa kwa pembe za ndovu na...
Wengi tumeshuhudia katika mitandao tarehe 16 Oktoba, 2019, vinyago vya kustaajabisha sana kwa mtu yoyote ambaye anao uwezo wa kutumia akili yake vizuri. Tumeona ya mtu mmoja kavaa mavazi ya...
SHEIKH PONDA ISSA PONDA NA UCHAGUZI WA RAIS 2010
Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 nilikuwa naishi Tanga na ikawa nimekuja Dar es Salaam.
Nimekutana na Sheikh Ponda Msikiti wa Manyema baada...
Wengi wanapenda kulaumu "Waarabu" au "Wazungu" waliowatendea Waafrika vibaya kwenye siku za utumwa. Si wengi wanaozingatia haikuwa kawaida kwa hao wageni "kuwinda" watu (ingawa ilitokea hapo na...
Inaelezwa kuwa huu ni moja ya wimbo mkubwa zaidi wa kueneza propaganda iliyowahi kutengenezwa Afrika na Duniani kwa ujumla. Wimbo huu uliimbwa na Mwanamuziki Nguli wa Muziki wa Rhumba kutoka...
Leo nimeshuhudia OCD wa WIlaya ya Hai akisindikiza Mitihani kuelekea Moshi na kingora, Wapo wa chini yake kama OCS, OCCID ha hawa wasaidizi wake wote wana wasaidizi wao wenye nyota 1 hadi 2 pia...
Balozi Abbas Kleist Sykes juma hili tarehe 4 September amefikisha umri wa miaka 90.
Kwa kipimo chochote kile ni kuwa Allah kamjaalia umri mrefu na tunamuombea maisha marefu na afya njema.
Katika...