leo akati napita pita mtandaoni nikaona hii kitu.
Inasemekana kwamba kuna watu waliongeza miaka ili wawepo kwenye histori ya dunia. Mfano
Julian calendar na Georgian calendar
[Julia caesur...
MJUE RAIS MTEULE WA MALAWI MH LAZARUS MCCARTHY CHAKWERA
Na Elius Ndabila
0768239284
Nchi ya Malawi wiki hii ilifanya uchaguzi ambao matokeo rasmi yametangazwa leo na kumpatia ushindi Mh...
HAZINA NILIYORITHISHWA NA MWALIMU WANGU MZEE KISSINGER
Wanafunzi wote duniani hurithishwa hazina ya ilm katika vitabu na mfano wa hivyo kutoka kwa walimu wao baada ya walimu wao kuondoka duniani...
Wachina wanasherehekea sikukuu ya Duanwu kwa njia mbalimbali za kijadi ikiwemo kuweka vifuko vidogo vilivyojazwa manukato na dawa za mitishamba kwenye nguo zao, kula Zongzi ambacho ni chakula cha...
Mwanachama mwandamizi wa Saigon Sheikh Aziz Salim akiagana na Dr. Mohamed Ali Shein aliyehudhuria kisomo cha kumrehemu Dr. Omari Ali Juma kilichofanyika Club ya Saigon Mtaa wa Narung'ombe na...
WASIFU WA JULIUS NYERERE:
USAJILI WA TANU, VIZINGITI VYA SERIKALI, KUSAKA WANACHAMA NA SAFARI YA UNO 1955
Naendelea kusoma kitabu cha pili cha maisha ya Mwalimu Nyerere.
Historia ya TANU na...
Mpaka ninapoandika uzi huu, kama sio lockdown ya corona, huko Misri kuna watoto wangekuwa darasani kwenye somo la historia wanajifunza habari za Mwebrania aliyeitwa Yusufu.
Huyu ndo yule jamaa...
Kuna somo muhimu sana hapa:
ALLY HASSAN MWINYI, BABA WA HEKIMA!
Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 1983 (kama sijakosea) nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka Zanzibar...
February 1936 mwili wa mwanaume Giuseppe Veraldi maarufu kama Pepe ulipatikana chini ya daraja huko Catanzaro Italia, ilionekana kuwa aliruka kutoka kwenye daraja na kichwa chake kujibamiza kwenye...
ADAM SHAFI KATIMIZA MIAKA 80: KALAMU YA SHAFI KATIKA KUIELEZA ZANZIBAR
Nilikuwa nimeanza kukisoma kitabu ‘’Haini,’’ cha Shafi Adam Shafi na haikunichukua muda kutambua kuwa mikononi mwangu nina...
WATAWA WA MAPINDUZI - The
Revolutionary Nuns
Mabinti VIPANGA na WAZURI wa sura waliokua wakichaguliwa na GADAFFI mwenyewe. Licha ya UREMBO na AKILI nyingi, Mabinti hawa walikuwa wamepikwa KUUA...
HISTORIA YA ALI MSHAM NA JULIUS NYERERE 1954
Kuna picha ya Mtaa wa Jaribu Magomeni iliyowekewa maelezo kuwa ni Mtaa wa Congo mwaka wa 1920.
Picha iko hapo chini.
Huu si Mtaa wa Congo wala si...
Habari za weekend wakuu?
Natumaini mko salama, kwa ambao hawako sawa Mungu awafanyie wepesi mrudi katika khali zenu nzuri za kila siku.
Ombi langu kwenu ni kwamba miaka kadhaa nyuma nilisoma...
WASIFU WA JULIUS NYERERE: MWALIMU NYERERE NDANI YA OFISI YA TANU ISIYOKUWA NA SAMANI 1954
Nasoma siku za mwanzo za TANU kabla Mwalimu hajajiuzulu kazi ya ualimu.
Waandishi wa kitabu wanasema...
Ibrahim Kaduma akizungumza katika kongamano la Mwalimu Nyerere
Mwalimu Nyerere Memorial Academy
Mwalimu Nyerere Memorial Academy zamani ikijulikana kama Chuo Cha Kivukoni jana tarehe 13 April...
Dale Carnegie aliwahi kusema kuwa *“If you want to Conquer Fear, Don’t Stay Home and Think About It, Go out and Get Busy* (Ukitaka kuishinda Hofu usikae nyumbani na kuendelea kuitafakari, toka na...
JAMES BRENNAN NA MAPENZI YAKE NA HISTORIA YA TANZANIA
“The Secret Lives of Dennis Phombeah: Decolonization, the Cold War, and African Political Intelligence, 1953–1974”
James R. Brennan...
WASIFU WA JULIUS NYERERE: SUALA LA KATIBA YA TANU NA BENDERA YA UINGEREZA KUPEPEA TANGANYIKA
Katika kitabu cha maisha ya Mwalimu Nyerere nimekutana na suala la bendera ya Muingereza, Union Jack...