Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Leo imetimia miaka 80 tangu yatokee mauaji ya askari wa kiafrika waliotoka kupigana upande wa Ufaransa katika vita kuu ya pili ya dunia. Mauaji hayo yalitokea tarehe 1 Disemba mwaka 1944 katika...
0 Reactions
3 Replies
368 Views
https://youtu.be/dQtHPdH0THc?si=lJs-N8xVYcXAqRjc
1 Reactions
9 Replies
265 Views
IDHAA YA KISWAHILI YA BBC 1991 Nimetanguliza picha ya Chama Omari Matata ambayo nimeipata kwenye Dira ya Dunia siku chache zilizopita. Ilikuwa kwenye kipindi cha Dira ya Dunia ambacho Salim...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
''Hii ni London. Leo kwa mara ya kwanza kabisa BBC inawapa salamu wakazi wa Afrika mashariki kwa lugha yao. Asalaam Aleikum,"sauti tulivu ya Oscar Kambona ilisikika hewani miaka 65 iliyopita...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuta hayo hapo chini mahali na mimi nimeamua kuunga mkono kukumbisha siku ya kupokea uhuru Lindi: KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA TUJIKUMBUSHE HISTORIA YA BARABARA YA...
1 Reactions
0 Replies
282 Views
UCHAMBUZI WA KITABU *Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle* Mangi Petro Itosi Marealle Alikuwa Mangi Mwitori Wa Vunjo, Uchagga. Baba Yake Alikuwa Ni Mangi Ndegoruo...
16 Reactions
84 Replies
19K Views
Mfalme James I wa Uingereza (na VI wa Scotland) alikuwa mtu wa kipekee katika historia, si tu kwa mchango wake wa kidini na kisiasa bali pia kwa maisha yake binafsi na maandiko aliyoyaacha...
2 Reactions
14 Replies
793 Views
Ilikuwa mwaka 1927 ndipo chama cha AA kiliundwa kwa msaada wa Gavana wa Kiingereza nchini Tanganyika Sir Roland Davidl Cameron na Dr Agrey raia wa Ghana mwenye mtaa Kariakoo ya leo, huyu Mghana...
14 Reactions
868 Replies
93K Views
ANAANDIKA DADA CHEMI CHE MPONDA AKIWA MAREKANI... "Hawa ni wazazi wangu wakiwa na marehemu Bibi Titi Mohamed, takriban mwaka 1965. Bibi Titi alikuwa miongoni mwa wanawake mashuhuri katika...
4 Reactions
11 Replies
862 Views
Mwanamke wa karne ya 19 huko Yuropa ametajwa kuwa mwanamke mwenye sura 'mbaya zaidi' duniani. Jina lake ni Julia Pastrana. Uso mzima wa Julia ulikuwa umefunikwa na nywele kwa sababu ya ugonjwa...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Wengi tukisikia mbilikimo huwa tunawaza wale wa misitu ya Congo, lakini historia inaonyesha kusini yote ya Africa, yaani kuanzia misitu ya Congo, kuja Uganda, Kenya kidogo, Tanzania yote hadi...
3 Reactions
6 Replies
429 Views
MAREHEMU JUMA MNONJI ALIVYONISOMESHA HISTORIA YA LAWI NANGWANDA SIJAONA NA UDUGU WAKE NA SULEIMAN MASUDI MNONJI Utangulizi Adam Sijali Sijaona jana ameweka kumbukumbu ya baba yetu marehemu Lawi...
0 Reactions
3 Replies
395 Views
A History Timeline About Timeline From 7000bce To 3000 Bce Including The Creation Of Adam,bible Writings And Human Civillization In Africa The timeline from 7000 BCE to 3000 BCE marks significant...
1 Reactions
6 Replies
323 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoani Iringa kimewataka Wananchi kuchagua viongozi wa serikali za Mitaa wenye uwezo watakaofanya shughuli za kijamii bila itikadi cha siasa. Hayo...
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Habari wakuu, Leo nawaletea uzi unaomuhusu Gerald Ford aliyepata kuwa Rais wa 38 wa Marekani. Pengine huyu ni mmoja wa wanadamu wenye bahati zaidi kuwahi kutokea. Je, Tanzania tunaweza kupata mtu...
8 Reactions
10 Replies
4K Views
Kwanini Vita ya Kagera na Uganda haikuitwa Vita ya Tanzania na Uganda..?
1 Reactions
11 Replies
507 Views
UZINDUZI WA KITABU KIPYA CHA HISTORIA YA MAPINDUZI ZANZIBAR Speaker: Mohamed Said Chairperson: Hamza Zubeir Date and Time: SUTURDAY 17 August 2024, at 4.00 PM Venue: ZIRPP...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Ilikuwa mwezi April mwaka 1978 Niko likizo kwa mujibu wa kanuni za Huko Tukuyu Mbeya kwa wazee wangu. Kwanza sikufaidi likizo pale nilipopata simu naambiwa nirudi Kagera kimenuka Amini amevamia...
10 Reactions
47 Replies
2K Views
Jana wakati naangalia TBC Kwenye sherehe za Mashujaa zilizoongozwa na Rais nilipatwa na masikitiko makubwa sana hasa nilipouona ule Mnara wa MASHUJAA wa vita vya Kagera niliwakumbuka sana...
143 Reactions
582 Replies
185K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…