Picha za video za hivi karibuni zilizokuwa zikionesha jinsi wanahabari wa kimarekani bwana James Foley pamoja na Steven sotloff wakikatwa vichwa na magaidi wa ISIS inanikumbusha stori ambayo...
Miaka ya 2000, msanii wa mtindo wa Hiphop kutoka Marekani #Nas alitamba kwa nyimbo ya i can. Nyimbo ambayo iliimbwa na inaimbwa na wengi pale tu wanapositia mdundo au kuskia kiitikio chake kitamu...
Miaka ya 2000, msanii wa mtindo wa Hiphop kutoka Marekani #Nas alitamba kwa nyimbo ya i can. Nyimbo ambayo iliimbwa na inaimbwa na wengi pale tu wanapositia mdundo au kuskia kiitikio chake kitamu...
MTOTO DAISY SYKES BURUKU ANAVYOMKUMBUKA BABA YAKE ABDULWAHID SYKES 1950s
''...nyumbani kwetu milango ilikuwa wazi siku zote kwa wageni.
Hivi ndivyo tulivyokuwa na wageni kutoka kila kabila...
Huyu bwana miaka mingi ya nyuma alipata kesi iliyovuma sana hapa nchini. Wakati huo akiitwa "jasusi wa kwanza Tanzania" nakumbuka alifungwa lakini sikumbuki ni miaka mingapi.
nilikua mdogo...
BABU YANGU NA KIGOMA CHA DAKU
Ilikuwa mwaka wa 1965 babu yangu Salum Abdallah katoka jela ya Uyui Tabora alikowekwa kizuzini mwaka wa 1964 baada ya maasi ya Tanganyika Rifles tarehe 20 Januari...
Nikijibu maswali niliyopokea kuhusu kitabu cha wasifu wa Mwalimu Nyerere:
Abdul Katalango kuwa na ustahamilivu kwani kazi yeyote ya mikono ya binadamu haiwezi kukosa kasoro.
Hawa waandishi ni wa...
DAISY SYKES BURUKU REMEMBERS
''...the open door policy prevailed at our home.
Which is how we always had visitors of all races, caliber and background.
But what has really stayed within my...
Polisi wa mji wa Old Orchard, Chicago US waliinunua gari hii mwanzoni mwa miaka ya 1980 kabla ya baadae kumuuzia mwanaume mmoja kwa matumizi binafsi baada ya kuona wameanza kutoielewa gari hio...
Mzee Dossa Aziz Ally wakati wa uhai wake alikuwa mtu mwenye utu, upendo, mkarimu, mwenye subra, mtulivu, mwenye imani,aliyejaa amani, mpenda haki, aliyetetea usawa akaishi salama.
Uzalendo wake...
Hitler’s antisemitism. Why did he hate the Jews?Antisemitism played a major role in Adolf Hitler’s thinking and in the Nazi ideology. Read here what inspired Hitler's hatred of Jews and what life...
Na Ahmed Rajab
TWAYIB! Imeingia Ramadhani na tupo barazani. Sijui kwanini Ramadhani hii inanikumbusha ya 1964 mwaka ulioiweka njia panda historia ya Zanzibar. Mapinduzi yalikuwa bado mabichi...
Carl Peters (27 Septemba 1856 - 10 Septemba 1918), alikuwa mtawala wa kikoloni wa Ujerumani, mvumbuzi, mwanasiasa na mwandishi na muasisi mkuu wa koloni la Ujerumani la Afrika Mashariki (sehemu ya...
Na Ahmed Rajab
TWAYIB! Imeingia Ramadhani na tupo barazani. Sijui kwanini Ramadhani hii inanikumbusha ya 1964 mwaka ulioiweka njia panda historia ya Zanzibar. Mapinduzi yalikuwa bado mabichi...
Kwa mara ya kwanza paka huyu aliyekuwa na rangi nyeusi na nyeupe alikuwa anamilikiwa na mwanajeshi wa Ujerumani Bismarck, na alikuwepo katika safari ya meli ya Ujerumani ya mei 18, 1941 wakati...
Jean-Paul Charles Aymard Sartre Mwandishi na mwanafalsafa kutoka nchini Ufaransa aliwahi kuandika kumuhusu Ernesto "Che" Guevara, kwamba; “ not only an intellectual but also the most complete...
K’naan (KEINAN ABDI WARSAME) ni msanii kutoka CANADA na pia ni mzaliwa wa SOMALIA mjini Mogadishu. Watu wengi wanamtambua kwa nyimbo yake maarufu ya waving flag ambayo aliitunga kwaajili ya...
SAFARI YAKE YA KWANZA NJE YA NCHI
By Livino Ngalimitumba Haule (Lingaha)
Nelson Mandela akiwa mwanaharakati wa kupigania uhuru wa watu weusi wa Afrika Kusini toka kwa serikali ya 'mkaburu.'...
SHEIKH HASSAN BIN AMEIR (1880 - 1979) NA WAISLAM WA BURUNDI
''Waislam walipoona juhudi zao zote hizi zinagonga ukuta wakaona waombe msaada kwa kutoka kwa ndugu zao Waislam wa Tanganyika kupitia...