Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Ugonjwa huu uliwai kuibuka duniani mwaka 1918 ambapo uliua watu takribani milioni 50 duniani, ulikuwa unaitwa Flu Influenza epidemiki H1 N1 ambapo wanasema ulianzia Uhispania na China baadaye...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
KILA mwanaume anaweza kupata mwanamke, akawa mpenzi, mke, mama wa watoto wake na wakajenga familia. Hata hivyo, kupata mwanamke wa maisha, inahitaji mwongozo wa Mungu. Kila mwanamke anaweza...
24 Reactions
35 Replies
7K Views
Mnamo miaka ya 1988 Mkoa wa Kagera ulikumbwa na janga la UKIMWI, wakati huo hakukua na elimu yoyote juu ya maambukizi na jinsi ya kujikinga, hakukuwa na kindomu hata watu waliotahiliwa walikuwa...
6 Reactions
40 Replies
9K Views
KABURI LA BI. TITI MOHAMED, KISUTU Siku tatu hizi zimekuwa ngumu sana kwangu na naamini na kwa wenzangu wengi tuliokulia Dar es Salaam kwa kuondokewa na wapenzi wetu. Juzi nikiwa nimesimama...
8 Reactions
23 Replies
8K Views
Marehemu Ndugu Edward Moringe Sokoine alizaliwa tarehe 01.08.1938. Alifariki tarehe 12 Aprili 1984 katika ajali ya gari iliyotokea katika eneo la Wami-Dakawa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
MAULIDI SHEIN MWANAMAPINDUZI, ''TRADE UNIONIST'' NA MWANA-ASP...USHAMSIKIA? Mazishi yana hulka ya kuwakutanisha watu waliopoteana kwa miaka. Leo nimebahatika kukutana na Mzee Maulidi Sheni sasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nafahamu aliwahi kuwa rais huko Zanzibar lakini sina taarifa nyingi za kumuhusu 1. Historia yake ya kuzaliwa, makuzi na elimu yake 2. Historia yake kwenye siasa 3. Kwanini alitawala kwa miaka...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Tanzania : The Quiet Revolution : Part 1 Right after the indepedence of Tanganyika and revolution in Zanzibar, leaders of Tanzania felt of the need to build a strong foundation for a united one...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chinese to English Subtitling Services are the best ones as it helps in providing the best quality of output for the easier communication of the audience to the video that is being displayed. This...
0 Reactions
1 Replies
622 Views
Ilikuwa ni ijumaa ya September 12, 2008 jioni ya saa kumi UTC ambapo ilitokea ajali mbaya ya treni ya Metrolink 111 mjini Chartworth, California US iliyosababisha vifo vya watu 25 na majeruhi...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Umaarufu wa box hili ulianzia katika mtandao wa kuuzia na kununua bidha wa eBay ambapo Kelvin Mannis aliliweka kwa ajili ya kuliuza mtandaoni humo September 2001, yeye alilinunua kwa mwanamke...
7 Reactions
25 Replies
5K Views
Wanajamvi naombeni hoja kwa mjadala huu. Leo nimemsikiliza MwL Nyerere hotuba zake pia mijadala iliyoandaliwa na vyombo vya habari wiki nzima kwa vipindi mbalimbali vikahitimishwa na masaa 4...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
''...nikapokea picha ya Salim Himidi na Nelson Mandela, Salim Himidi na Salim Ahmed Salim, Salim Himidi na Raisi wa Senegal Leopold Sedar Senghor, Salim Himidi na Rais Sassou Nguesso wa Congo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MTOTO mkubwa wa Waziri Mkuu wa zamani Hayati Edward Moringe Sokoine, Lazaro Sokoine, ameibuka na kutoa madai mazito ya kutaka mwili wa baba yake ufanyiwe uchunguzi, kubaini chanzo cha kifo...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Ndugu zangu Leo nikiwa natafakari kwa kina juu ya kumbukizi ya miaka 48 ya kifo cha mwanamapinduzi jabali wa siasa za kisiwa na Rais wa kwanza wa Zanzibar, nikapitia pia nyaraka mbali kabla na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Prof. Kigoma Ali Malima Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo ikiwa ni kumbukumbu ya Rais Karume, sio mbaya tukamkumbuka pia mwamba mwingine waliyeyasiasi haya mataifa Tanganyika na Zanzibar. Hapa ni mwalimu Julius Nyerere akiwa katika ziara huko kwa...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Wakuu............................................. Dear comrades, soldiers, sailors,and workers! I am happy to greet in your persons the Victorias Russian revolution and greet you as the vanguard...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Papa akiongoza misa Vatican ……. Coronavirus could trigger biggest fall in carbon emissions since World War Two Carbon dioxide emissions could fall by the largest amount since World War Two...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…