Kama unaijua au umewahi kuisikia Sodoma na Gomola, dhambi na ufuska uliokuwa ukifanywa katika kipindi hicho basi ndivyo ilivyokuwa katika mji wa Kowloon Walled City uliopo Hong Kong China kati ya...
OBITUARY FROM GENEVA: SALUM JUMA SHAMTE
Dear Mrs Shamte,
I was given your number by Jennifer Baarn. My name is Sean de Cleene.
I am writing from Geneva.
I was one of the joint initiators of...
Unajua huwa najiuliza Sana.Afrika ambako ni nyumbani kwa wanyama wakali Kama vile nyoka wakali Kama koboko, mamba, simba, chui na magonjwa ya kitropikia Kama malaria. Sasa huwa najiuliza huyu...
Hawa ni viumbe ambao inakadiriwa waliishi miaka mingi iliyopita kabla hata ya mwanadamu kuwekwa kwenye uso wa dunia. Kipindi hicho dunia ilikuwa haijagawanyika, ardhi ilikuwa sehemu moja na...
Universe yetu ina takribani miaka 93 Billion Light years. Ninaposema 93 Billion Light years ninamaanisha kwamba ili uvuke Universe yetu ni lazima kwanza usafiri kwa speed of light yaani Kilometre...
Kutoka na Hali mbaya ya Timu yetu sisi Watanzania katika Msimamo wa Ligi Kuu Uingeleza basi ninaombea sana Ligi hiyo Ifutwe ili kuinusuru Timu yetu sisi Watanzania tukiwakilishwa na Mwanetu...
Mwandishi Wetu|RAIA MWEMA,Toleo la 263 |17 Oct 2012
WATAFITI wengi wamejaribu kuelezea kwa kina Julius Nyerere alikuwa binadamu wa aina gani, lakini baadhi yao wanaamini...
Nipo Google natafuta lilipo sanamu la Henry Ford, napewa majibu kuwa lipo mji mdogo wa greenfield, Michigan mahali yalipo Makumbusho yake. Bado najichanga nifike ilipo lala akili kubwa ya magari...
Tanganyika takribani karne 4 zilizopita haikuwa na mwenyewe, haikukalika and was purely a virgin land same goes to Namibia (South West Africa) and Cameroon.
The secret behind this ni sababu ya...
ALLY SYKES, PETER COLMORE, ALBERT ROTHSCHILD NA OSCAR KAMBONA
Fred Nyaluchi ni kijana ambae ameonyesha hamu kubwa sana ya kutaka kujifunza historia ya uhuru wa Tanganyika.
Kwa kauli yake anasema...
TANU Youth League ya Tabora chini ya uongozi wa Abdallah Said Kassongo ilikuja kuwa tawi hodari sana na lenye mipango mikubwa Tanganyika nzima.
Kassongo na wanachama wengine wa TANU Youth...
Salim alikuwa hapendi tule kwenye migahawa yenye vyakula vya Kizungu na siku zote akinipeleka migahawa ya Kihindi na kuna mgahawa mmoja akiupenda sana.
Mwenye mgahawa huu alikuwa Mzanzibari ambae...
karne ya 20 inakumbukwa hasa kwa dhuluma za kidini zisizowahi kutokea: hasa Ukomunisti, ulioteka Urusi ukaenea polepole hadi kutawala theluthi moja ya binadamu wote, ulipiga vita dini kwa namna...
Sheik Saleh Al-Fawzan is a well-known scholar, leading Saudi Government cleric, and prolific author of the country’s religious curriculum. He believes Islam advocates slavery. Al-Fawzan argues...
Kwaheri compañero Ernesto Cardenal
-Mwana mapinduzi aliyekuwa tayari kutokubaliana na Kanisa kusimamia alichokiamini
NA MOHAMMED ABDULRAHMAN
Maisha yake yote alijitolea walio wengi, watu...
ALI MSHAM NA TAWI LA TANU LA MTAA WA JARIBU DUA YA KUMUOMBEA NYERERE SAFARI YA KWANZA UNO 1955
Picha hiyo na maelezo yake nimerushiwa na mmoja wa wasomaji wa makala zangu za historia ya TANU na...
SIKU MOJA NA PROF. TAJI AHMED MUHIDIN RAFIKI MKUBWA WA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Hakuna mwanafunzi wa marehemu Prof. Haroub Othman ambae hakupata kupewa rejea za Prof. Ahmed...
Hussein Amin Bicar 1913-2002
Hussein Amin Bicar alizaliwa mwaka 1913 huko Alexandria Misri. Baada ya kuhitimu masomo yake 1934 alianza kazi yake ya sanaa kuwa moja ya walimu wakubwa wa sanaa...
Utakumbuka kisa cha ajali ya ndege iliyotokea mwaka 1972 iliyoanguka Amerika ya Kusini kwenye milima ya barafu ya Andes iliyo Argentina na Chile, kati ya abiria na waendeshaji 50 wakiwemo...
WABENA ni kabila la kibantu linalopatikana katika eneo la Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania wilaya ya Njombe mkoa wa Iringa. Lugha yao inaitwa Kibena na makao yao makuu yanaitwa Ubena.
Makao...