"OPERATION COLD CHOP" ILIYO RATIBIWA NA CIA, ILITAMATISHA UTAWALA WA OSAGYEFO KWAME NKRUMAH NCHINI GHANA.
Na.Comred Mbwana Allyamtu
Saturday -5/1/2019
"Operation Cold Chop" ndio ilikuwa code...
"OPERATION STORMED MENGO", NI OPERATION ILIOSUKWA NA MILTON OBOTE KUTAMATISHA UTAWALA WA BAGANDA, NA KUMPINDUA EDWARD KABAKA MUTESA II.
Na. Comred Mbwana Allyamtu
Friday -25/1/2019...
Habari zenu wakuu. Nimekuwa nikisikia habari kuhusu hii vita na jinsi Tanzania ilivyolisapoti hili jimbo katika kujitenga kutoka Nigeria. Nimepata kusoma mahali kuwa vita hivi vimepiganwa kwa muda...
HISTORIA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inakifanya kutumia taasisi za dola ikiwa ni pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama katika kutisha, kutesa, kunyamazisha na kudhoofisha upinzani wa kisiasa au...
Na Ahmed Rajab
ALIZALIWA Marekani katika mji wa Pittsburgh, Texas. Mama yake akiitwa Catherine Bell Miles na baba yake akiitwa Leo Clington Aldridge Sr. Wazazi hao, Wamarekani wenye asili ya...
Gazeti la Hoja (Ijumaa, 22- 26, Novembe 2019) kuna makala ya Suleiman Kumchaya kuhusu historia ya TAA na TANU ambayo ina makosa sawasawa na makosa katika makala ya Mzee Pius Msekwa iliyochapwa...
Mrima (kwa Kiingereza: Mrima Coast) ni jina la sehemu ya pwani ya Afrika ya Mashariki inayotazama Zanzibar. Wenyeji wake walijulikana kama Wamrima ilhali kati yao walikuwa watu wa makabila...
VITA VYA MAJIMAJI MPAKA JINA LA SONGEA
SEHEMU YA KWANZA
JINA la Songea limekuwa maarufu kiasi cha kuwafanya baadhi ya watu kudhani kuna mkoa unaitwa Songea.
Ukweli ni kwamba Songea ni wilaya...
Nimeona ni vizuri niandike Makala hii ili waungwana akina Pascal Mayalla na wenzake wa some na waelewe ninachokusudia. Viongozi na waandishi wengi nchini mwetu huwa hawana dhamira njema ya kutaka...
Sera hiyo ililenga kuvipatia Uhuru wa bandia na kuvitenga moja kwa moja na mwambao wa Kenya (Mombasa) na kuiviunganisha na Tanganyika. Lengo la Sera hii ya Uingereza ni kupunguza nguvu ya Waislamu...
Katika dini tulifundishwa kwamba binadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa Adam na Eva, na nilipokuwa shule, napo nilifundishwa kuwa chanzo cha binadamu ni nyani, halafu akawa anabadilika hadi kufikia...
Japo wengi wataguna lakini nina imani nitajitetea vizuri tu.
Historia ya Afrika na mtu mweusi ndio imekuwa gumzo tangu karne ya 17 na ndio iliyosababisha mgawanyo wa bara la Afrika. Ukarimu wa...
Kifo cha al-Baghdad: Marekani imeufunga ukurasa wa kitabu chake yenyewe.
Ibrahim Awad Ibrahim Ali al-Badri al-Samarrai huwenda likawa jina jipya kabisa kwa wasomaji na wafuatiliaji wa siasa za...
Salute!
Heshima yako mzee Mohamed Said natumai u mzima wa afya.
Mzee hongera kwa uwezo wa uandishi wako wa makala za historia ya taifa letu hili.
Mimi nimekua nikifuatilia sana mada zako hasa...
KITABU KIPYA: WATU MASHUHURI KATIKA UHURU WA TANGANYIKA - SALUM MPUNGA, YUSUF CHEMBERA NA PETER MHANDO
KITABU CHA PILI
Kitabu kipya kufuatilia cha kwanza kilichoeleza mchango wa Sheikh...
Nisiwachoshe sana kama kichwa kinavyo Sema humu yashazungumzwa mengi kuhusu Israel na palestina hizi ni nchi mbili tofauti kila mmoja anajivunia yeye ndo mzawa na mengine mengi Sasa mimi shida...
Tunaambiwa katika kipindi chake chote cha cha miaka 23 kama Rais wa Tanzania Mwalimu Nyerere alisaini hati chache sana za kunyongwa watu waliopatikana na makosa mahakamani na kupewa adhabu ya...
Mzee Kissinger baada ya miaka 16 kupita toka ilipotoka tafasiri ya Kiswahili cha kitabu cha Abdul Sykes ndiyo kwanza kakisoma sasa na ananieleza kuwa amekuwa akikisoma usiku hadi amekimaliza...
Miaka michache baada ya Tanganyika kupata Uhuru, nchi yetu ikabadili mfumo wa siasa na kuwa na siasa ya chama kimoja. Hivyo chama cha TANU kikawa ndicho chama pekee cha siasa nchini. Katika...