Leo Oktoba 29 Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amezaliwa. Mengi aliyoyafanya na anayozidi kuyafanya hakika anastahili Pongezi za kila namna.
Wengi wanatamani kumapatia Zawadi...
Tanzania ni Jamhuri, na ni muungano wa nchi 2, yaani Tanganyika na Zanzibar,kabla ya mwaka 1884, hapakuwa na historia ya nchi iliyoitwa Tanzania, isipokuwa zilikuwa ni tawala cha kichifu, kitemi...
Ramadhani Kingi anachangia makala yangu kuhusu safari ya Mwalimu Nyerere UNO 1955 hapo chini ndiyo aliyoandika:
''Hapa kuna kitu kikubwa sana hakijatajwa.
Ili kufanikisha safari hii ya Mwalimu...
GAZETI LA TAZAMA MRABA - NYUNDO YA WIKI
''MSEKWA AMECHANGANYA HISTORIA YA TANU''
Juma lililopita Naibu Mhariri wa JAMHURI Manyerere Jackton aliona mahali makala yangu ambayo nilikuwa nimefanya...
MZEE PIUS MSEKWA HAIFAHAMU HISTORIA YA TANU
Katika gazeti la Tazama la leo tarehe 14 Oktoba 2019 kuna makala iliyoandikwa na Pius Msekwa yenye kichwa cha habari, ‘’Mwalimu Nyerere kama...
SHAJARA YA MWANA MZIZIMA 3
Abdallah Tambaza
Kitabu kipya katika mfululizo wa Shajara ya Mwana Mzizima kimetoka.
Mfululizo wa vitabu hivi umefanikiwa kuhifadhi historia ya Dar es Salaam ambayo si...
HISTORIA YA TANU INAHITAJI MAREKEBISHO
Kunradhi: Hiyo picha katika gazeti ni ya Hamza Kibwana Mwapachu (1913 - 1962) si ya Abdulwahid Kleist Sykes (1924 - 1968).
Ni imani yangu kuwa hata wakati ule vyombo vya habari vilikuwepo, na nadhani kuna baadhi ya matukio hukidhi vile vigezo vya kuwa habari kwa wakati huo.
Swali langu ni, je hili liliandikwa? na...
NINAVYOMKUMBUKA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
MWALIMU MTU WA WATU 6
Mwalimu alikuwa anazungumza na Profesa Malima nyumbani kwake na katika mazungumzo Mwalimu akamsikitikia...
NINAVYOMKUMBUKA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
MWALIMU MTU WA WATU 5
Mwalimu siku moja katika kuwakumbuka rafiki zake wa zamani, akizungumza na Dossa Aziz na wageni wengine...
Nadhani mambo ya kibiblia huwa yanajirudia rudia katika vipindi mbali mbali, na katika maeneo mbali mbali in a small way.
Story ya Samson na Delilah inaweza kujirudia in a small way kwenye...
Ahmed Rajab na Rais Mstaafu Jenerali Ibrahim Babangida
Ahmed Rajab na Rais Mstaafu Jenerali Ibrahim Babangida
KAMA kuna mtawala wa kijeshi aliyewaweza Wanigeria basi alikuwa Ibrahim Badamasi...
AHMED ADAM – MNUBI ALIYEMKIRIMU NA KUMLAZA MWALIMU JULIUS NYERERE NYUMBANI KWAKE MIKINDANI 1955
Tukio dogo la kiburi cha askari mpumbavu wa mkoloni ndiko kulisababisha watu wa Mikindani...
TAAZIA: MOHAMED MLAMALI ADAM
MIMI NA MWALIMU WANGU
Mohammed Said
Sheikh Mohamed Mlamali Adam
Siku moja nimepita ofisini kwa Bwana Ally Sykes na katika mazungumzo yetu akaniambia kuwa alikuwa...
KIFO CHA IDDI FAIZ MAFUNGO 1987
Naamini bila ya chembe ya wasiwasi kuwa kwa sasa historia ya Iddi Faiz Mafungo inafahamika na wengi.
Iddi Faiz Mafungo Mweka Hazina wa TANU na Al Jamiatul...
MIAKA 20 BILA NYERERE:
MACHACHE KUTOKA HISTORIA YA SAFARI YA KWANZA YA MWALIMU NYERERE LINDI 1955
Kumbukumbu ya Miaka 20 bila ya Baba wa Taifa imeadhimishwa leo mjini Lindi lakini si wengi...
NINAVYOMKUMBUKA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
MWALIMU MTU WA WATU 4
Mwalimu ameingia kaburini kama mtu aliyekuwa hana majivuno si kwa cheo chake au elimu yake.
Huyu ndiye Mwalimu...
NINAVYOMKUMBUKA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
MWALIMU MTU WA WATU 3
Mwalimu kama vile alivyokuwa bingwa wa kupanga mikakati katika mchezo wa siasa dhidi ya mbinu za Gavana Edward...