JOSEPH STALIN NA VLADIMIR PUTIN, NI WAJEURI, WABABE NA MIAMBA INAYOFANANA URUSI, NI STALIN ALIYEINGIA IKULU YA KREMLIN KWA NGUVU, NA NI PUTIN ALIYEINGIA KREMLIN KWA KULAZIMISHWA LAKINI ANAYETAMANI...
WATAFITI KUTOKA KUMBUKUMBU YA NYUMBA YA MWALIMU NYERERE MAGOMENI WALIPONITEMBELEA
Jana Maghrib mimetembelewa na maofisa wawili kutoka Kumbukumbu ya Nyumba ya Mwalimu Julius Nyerere, Bi. Gilago...
NINAVYOMKUMBUKA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
MWALIMU MTU WA WATU 2
Mwalimu alikuwa mtu kutoka bara, Mkristo Mkatoliki.
Alianza siasa hasa za kudai uhuru wa Tanganyika katika...
HOTUBA YA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE MBELE YA WAZEE WA DAR ES SALAAM DIAMOND JUBILEE HALL TAREHE 5 NOVEMBA, 1985
Tarehe 5 Novemba, 1985 kabla hajastaafu urais, Baba wa Taifa...
"Kamuzu Banda alizaliwa karibu na Kasungu, Malawi iliyokuwa wakati ule sehemu ya eneo lindwa la Afrika ya Kati ya Kiingereza (baadaye Nyasaland).
Wazazi walikuwa Mphonongo Banda na Akupingamnyama...
MOHAMED SAID AKIELEZA ALIVYOFIKIA KUANDIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
https://www.facebook.com/100022121633704/videos/342910389789679/?sfnsn=mo&vh=i
I have been reading history books, but in sum ending up in despair and unsatisfied! I happened to be enthusiastic in thoroughly studying the history of Tanganyika, call it Tanzania as it is, its...
Hilo Raia Mwema la leo tarehe 9 Oktoba 2019 TOLEO MAALUM LA MWALIMU NYERERE Balozi Abbas Sykes anaeleza toka siku ya kwanza 1952 Nyerere kenda nyumbani kwao Mtaa wa Stanley na Sikukuu kaongozana...
NINAVYOMKUMBUKA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
MWALIMU MTU WA WATU 1
Miaka 20 iliyopita baada ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nilimwandikia taazia...
Wakuu natumai nyote mu bukheri wa afya, Nianze kwa kuwasabahi.
Mimi nimekuwa nikisoma thread zenu pamoja na michango mbalimbali za wadau. Leo nabisha hodi kwa kuwashirikisha jambo hili la...
Leo alfajir nilikuwa napitia maktaba yangu nikakumbana na shajara
(diary) yangu ya 1991.
Hapo juu ni ukurasa wa tarehe 9 May. Huyo niliyemtaja kama, ‘’Ahmed,’’
ni Ahmed Rajab wakati ule alikuwa...
41 years ago in 1978 A.D, arguably one of the most well respected African leaders of the era, President Jomo Kenyatta of Kenya, suffered a heart attack and died at the State House in Mombasa...
Mwaka 1958 Mao alitangaza maadui wanne wa taifa. Nzi, mbu, panya na Shomoro walitangazwa. Kosa la Shomoro lilikuwa ni kula nafaka. Sasa hawa shomoro hawawezi kuruka kwa muda mrefu bila kupumzika...
Leo jioni nimetembelewa na vijana wawili Muyuni Joseph na Comred Mbwana Cameroo Allyamtu.
Nimefanya mazungumzo na vijana hawa wasomi na waandishi wazuri ambao hatukupata kujuana ila katika...
Mazungumzo kuhusu barua ya Mwalimu Nyerere kujiuzulu ualimu ili awe mtumishi wa wananchi wa Tanganyika katika kudai uhuru:
Mswada alionipa Jim Bailey mmiliki wa gazeti la Drum...
SANAMU YA BABA WA TAIFA ILIYO TAABAN YA AZIMIO LA BUSARA LA TABORA (UAMUZI WA BUSARA)1958
''Wengi wamesahau athari na alama za harakati za TANU na uhuru; wanafaidi uhuru na matunda yake...
Barua ya Hamza Mwapachu kwa Julius Nyerere 1949
Hamza Kibwana Mwapachu
Balozi Hamza Mwapachu ameiweka hadharani barua ya baba yake Hamza Kibwana Mwapachu (1913 – 1962) aliyomwandikia Julius...
Wala haikuwa katika fikra yangu kuwa kitabu nilichoandika miaka 12 iliyopita na kuchapwa na Oxford University Press Nairobi (OUP) kama sehemu ya mradi wa vitabu vya kufundisha lugha ya Kiingereza...