Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Habari wanajamvi, Naombeni kama kuna mtu anaye fahamu au mwenye historia ya watu waliokuwa wanaishi katika eneo la Engaruka Wilayani Monduli Mkoani Arusha. Wenyeji/watu waliokuwa wanahishi eneo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
The Bunge can be a very interesting theatre for epic stories of which authors like Irving Wallace could be inspired to write best seller tantalising novels which film makers like Oliver Stone or...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
The Danube, known by various names in other languages, is Europe's second longest river, after the Volga. It is located in Central and Eastern Europe. The Danube was once a long-standing frontier...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Ukiachilia mbali kuwa Wilaya ya Manyoni kuna Kijiji kinaitwa Chisingisa ambapo ndio ipo alama ya kuonyesha pale ndio katikati kabisa ya Tanzania, lakini nimekutana na hichi kisa hivi karibuni...
6 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba mwenye kukumbuka anisaidie hiyo statement aliitoa Nyerere, mwaka gani na kwenye tukio gani. Ikiwezekana na kitabu chenye quotation ya hiyo statement nitafurahi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kati ya mwaka 1330 hadi 1355 duniani kuliibuka plague au tauni kali sana maarufu kama black death. Kitabu hiki kinaelezea chanzo, madhara na matokea ya Tauni hii huko ulaya. Tauni hii inasemekana...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Ninapenda kuwasilisha historia fupi ya 'double agent' Juan Pujol Garcia almaarufu 'Agent Garbo' au Alaric Arabel. Garbo ni mzaliwa wa Spain(Barcelona) katika familia ya...
11 Reactions
14 Replies
3K Views
Hivi ilikuwaje habari ya mzee Shekhe Suleiman Takadil alikuwa na nafasi gani katika kupambania uhuru wa Tanganyika
1 Reactions
23 Replies
4K Views
kwa wenye historia ya mzee Bakari Mfaranyaki alikuwa na mchango gani huyu mzee maana mi nimesikia habari zake juu juu tu sasa sijajua imekaaje historia yake
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Singida ni moja ya mkoa unaopatikana katika nchi ya Tanzania. Wakazi asilia wa mji huu ni Wanyaturu na Wanyiramba (habari zao tulishaandika). Mji wa singida ni moja ya maeneo yenye historia kubwa...
11 Reactions
37 Replies
19K Views
Kwa kuwa historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika haifahamiki na wengi hii imepelekea pia kwa wanawake wanachama wa mwanzo kujiunga na TANU kupigania uhuru wa Tanganyika wengi wao hawafahamiki...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Jean Bedel Bokassa alikuwa dikteta wa CAR, alikuwa na wake 17 na watoto hamsini. Alifanywa yatima wafaransa walipomuua baba yake akiwa na miaka 6. Baada ya baba yake kufa mama yake naye...
0 Reactions
190 Replies
52K Views
wala kuanzia mwaka 1885, yeye alikuwa mtoto wa Mt Kiyungi kama alivyokuwa Swetu Kalonga ambaye aliwaua nduguze wa tumbo la Fundikira ili tumbo la Kiyungi litawale kwa nafasi bila kuingiliwa na...
4 Reactions
15 Replies
11K Views
Katika kupenda kwangu kudadisi mambo na kukaa na wazee wa zamani nilipata kupewa simulizi juu ya vita ambayo haiku andikwa sana ya Wasambaa na Wajerumani. Ikumbukwe kwamba Chifu wa wasambaa miaka...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Hili kaburi liko Bagamoyo, nila Distritc Commissioner wa Kwanza wa Waingereza, Honorable William Francis Bamphylde, (1892-1930). Alijiua baada ya kugundua houseboi wake anafanya mapenzi na mkewe...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Jimbo la California kule marekani lilipata jina lake kutoka kwa Malkia mweusi aliye itwa Califia . Kwa mujibu wa historia, California kilikuwa kisiwa ambapo wanawake weusi tuu waliishi. Wanawake...
4 Reactions
10 Replies
5K Views
OLAUDAH EQUANO (1745 -1797) Ifahamike kuwa katika histori ya Afrika hasa kwa upande wa Afrika magharibi, biashara ya utumwa ilishamili kwa kiasi kikubwa sana. Kulikuwa na idadi kubwa ya Waafrika...
5 Reactions
7 Replies
7K Views
Siku ya leo nilikuwa najisomea kitabu changu kiitwacho THE HISTORY OF THE WANGONI kilichoandikwa na Father ELZEAR EBNER, OSB..Nitawaonyesha siku nyingine. Nachotaka kusema hapa ni kwamba mara...
1 Reactions
8 Replies
11K Views
*THE SOMALI EMPIRE IN 1000 worldwide Last week, my colleagues and I were traveling from Nakuru to Nairobi; and, along the way, we talked about the quarrel between Kenya and Somalia over their...
2 Reactions
41 Replies
7K Views
KUTOKA MAKTABA ZA KIJESHI Baada ya jaribio la mapinduzi kushindwa, Nyerere aliamua kuchukua hatua kadhaa zilizobadili taswira ya jeshi la Tanzania. Muhtasari. Ilikuwa jioni ya January 20...
22 Reactions
57 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…