Habari wadau, nimekumbuka mbali sanaaa baada ya kupita mitaa hii leo infact sijaamini nilichoona sababu ama kwa hakika muda unakimbia sana.
Mimi ni moja kati ya vijana wadogo niliyo wahi kuhish...
Kimondo cha Mbozi ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na mji wa Vwawa, Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kilianguka ndolezi, kijiji cha isela wilayani mbozi katika...
wanabodi,
Naomba nijuzwe tangu nchi zetu za kiafrika zipatiwe huu Uhuru wa Bendera tulio nao hivi sasa kweli kuna kiongozi wa nchi yoyote katika bara hili la Africa aliyewahi kupatwa na haya...
Inasemekana Nyerere si mtanganyika wa kwanza kuhutubia UN, na kwamba wapo waliomtangulia lakini wazee wakajikomba kwa babu wakapindisha historia......kuna mwenye data!
Kitambo nlipata kujuzwa...
WAKRISTO WA ZANZIBAR
HISTORIA FUPI YA MAKANISA YA MWANZO YA ZANZIBAR
WARENO 1500 1800
Ukiristo uliletwa kwa mara ya mwanzo Zanzibar na Wareno. Wareno wakielekea juu kutoka kusini baada ya...
UHASAMA WA KIANJA NA KARAGWE
Wakati wa utawala wa kijerumani ndani ya buhaya(bukoba),Omukama Kahigi wa Kianja alikuwa na nguvu sana kwa maana yeye aliwakaribisha Wajerumani katika utawala wake...
1.Uasi wa Nat Turner.
pia uitwao Ufufuo wa Southampton, labda ni uasi wa mtumwa maarufu zaidi katika Amerika ya Kaskazini. Uasi huo ulipangwa kwa uzuri na Turner na ulifanyika Agosti 1831...
Mohamed Said na uvurugaji wa historia ya nchi yetu
Na Prudence Karugendo
''Nimevumilia sana mpaka imefikia mahali naona niandike kuhusu uvurugaji wa makusudi wa historia ya nchi yetu unaofanywa...
MAZIKO YA ABDULWAHID SYKES 1968
Kulia: Abdul Sykes, Tewa Said Tewa aliyekaa kulia ni Chief Abdallah Said Fundikira, Hijja, 1964
Mazishi ya Abdulwahid Sykes yalifanyika siku ya Jumapili tarehe...
Kama unakumbuka vizuri mnamo DESEMBA 13 mwaka 1991 Mwalimu Julius Nyerere alizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Msasani, Dar es Salaam, juu ya kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa...
NIMESOMA HISTORIA YA UJERUMANI NA JINSI DIKITETA HITLER ALIVYOINGIA MADARAKANI.
1. ALICHAGULIWA BAADA YA KUONEKANA MTETEZI WA MASIKINI.
2. MAMBO MENGI ALIYOFANYA MWANZO WA UTAWALA WAKE YALIKUWA...
#Miaka19YaMwalimu
TUNAKWENDA KUADHIMISHA MIAKA 19 YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE, BABA WA TAIFA.
JE, KITU GANI UNAKUMBUKA KWENYE UONGOZI WAKE KINAKUFURAHISHA HADI LEO, NA JE ULIKUWA WAPI...
Hi wana JF.
Nimeona nilete mada hii hapa mbele yenu baada ya kukutana na mtanzania mwenzangu na kusema kabila lake ni moja wapo ya "endangred species" maana yake wapo labda chini ya 1,000.
So...
KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA KIFO CHA ABDUL SYKES
Ile kamati ndani ya kamati katika TAA ya Abdul Sykes, Ally Sykes John Rupia na Dossa Aziz walikuwa wameshakubaliana kuwa Nyerere lazima achukue ile...
Harakati za Sam Nujoma!
Kwa ufupi...
...Mamia ya wakimbizi kutoka kusini-magharibi mwa Afrika walifanikiwa kutoroka kwa msaada kutoka vikundi vya wapigania uhuru wa mataifa mengine lakini zaidi...
By: ROB WILSON
In the mid-nineteenth century, western Tanzania saw a leader rise who would revolutionise trade and power relations in the region in his lifetime.
One of the few known picture of...
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekutana na kufanya mazungumzo na Dr.Shein Mjini Zanzibar.
Mkutano huo uliofanyika ikulu mjini Unguja, tarehe 25 Septemba, 2018 ulilenga...