Wakuu habari zenu.
Hatua ya kwanza ya BARRICK GOLD iLikuwa kuuza share zake zilizobakia kwa kwenye mgodi wake uliopo ARGENTINA kwa SHADONG MINING (China State owned company) 50/50 mine ownership...
*~ Afanya ziara ya kushtukiza na kubaini Madudu*
Na Mwandishi wetu,
Afisa Tarafa Mihambwe, Gavana Emmanuel Shilatu amekemea vikali suala la utoro na uzembe wa kufundisha unaofanywa na Waalimu...
"If after 50 years of independence you have not built the necessary infrastructure for your people, are you humans?
"If you sit on gold, diamond, oil, manganese, uranium... and your people don't...
wanabodi,
napenda kujua kwenye vita ya mwaka1978-79 kati ya tz na Uganda hakukuwa na visa vyovyote vya udukuaji wa mawasiliano ya wanajeshi wetu ikizingatiwa kuwa mawasiliano kati ya makao makuu...
Utangulizi
Francis Daudi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu Ulaya ambae akimaliza masomo yake atakuja kuwa mwalimu wa historia. Tumejuana na tunabadilisha mawazo katika historia ya Tanzania. Ameniletea...
Simulizi binafsi za Salim Said Salim
kama zilivyochapishwa na gazeti la Mwananchi la leo tarehe 26 Sept-18
Simulizi hii imenisisimua sana na imenikumbusha mengi kuhusu tamaduni za asili ambazo...
wanabodi,
napenda kujua kwenye vita ya mwaka1978-79 kati ya tz na Uganda hakukuwa na visa vyovyote vya udukuaji wa mawasiliano ya wanajeshi wetu ikizingatiwa kuwa mawasiliano kati ya makao makuu...
Jamani wana historia naomba mnifahamishe kuna utata umetokea kuhusu nani alikuwa raisi wa kwanza wa tanzania baada ya tanganyika.....
Kuna wana historia wanasema mwinyi ndo raisi wa kwanza...
Salaamu wanabodi!!
Wanyakyusa ni watu wajasiri sana katika kufanya mambo yao,hawaogopi mtu na wawazi sana hawajui kumficha mtu,wanapenda sana vitu vizuri, Anayejua historia ya watu hawa naomba...
Huyu bwana alikuwa emperor,mfalme wa dola ya ufaransa katika miaka ya 1800.
Alikuwa ni mmoja kati ya mashuja wa kipekee waliowahi kutokea katika historia ya ufaransa.Baada ya mapinduzi ya...
I am writing this personal experience not to get any sympathy from the reader but to raise awareness to the public out there not to fall Victim as I have. I wouldn't want to see or read any of...
Dola la Marekani kutoka kuiokoa Ulaya:
Mwaka 1917 isiangukie mikononi mwa Ujerumani;
Mwaka 1924 kupitia Dawes & Young Plan isiangukie kwenye Socialist Revolutions;
Mwaka 1941 baada ya Pearl...
Wanamajlis,
Itakapofika 12 Oktoba itakuwa miaka miaka 50 toka Abdulwahid Sykes kufariki.
Huu ni wakati mzuri kufanya tathmini ya historia ya uhuru wa Tanganyika kwa lau
kwa ufupi kumkumbuka yeye...
Katika chaguzi ndogo zilizopita Mbowe na Chadema yake waliwahi kujitoa kushiriki katika uchaguzi mdogo na uliofuata walirejea tena na kushiriki uchaguzi wa Buyungu na juzi wa Ukonga na Monduli...
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Monduli amegoma kuwaapisha mawakala wa Chadema waliowasilishwa na chama kwake ili kuziba nafasi ya mawakala waliokamatwa, kutekwa na wengine kurubuniwa na ccm hivyo...
Augusto alikuwa Kaisari wa kwanza wa Dola la Roma kuanzia mwaka 27 KK hadi 14 BK. Jina lake la kiraia lilikuwa Gaius Octavius akizaliwa Italia tarehe 23 Septemba 63 KK.
Octavius alikuwa mpwa wa...
Kuna baadhi ya wanasiasa kutoka Chama cha Mapinduzi(CCM) huwa ni wepesi sana kuongelea maswala ya uchaguzi mitandaoni kama vile kupost tweet za kupongeza ushindi wa wagombea wa chama chao huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.