Katika watu wanaoendana kiutamaduni ni wameru na wamachame
Kwa mfano lugha zao zina maingiliano makubwa mno
Koo zao zinafanana sana mfano urasa,ndosi, nyari nk
Kuchapa kazi n,k
Kati ya wameru...
Aliwahi kuwa rais wa Iran 2005 mpaka 2013. Baada ya kuchaguliwa kuwa rais hakutaka kuhama kutoka katika nyumba aliyoishi. Ilibidi ashauriwe kuhamia Ikulu kwasababu za kiusalama. Alipofika ikulu...
CCM wanafanya hesabu hawapati jawabu hivi sasa na wakiangalia muda unatoweka kwa nguvu huku Jumuiya za kimataifa zikiwakodolea macho. Magufuli anaikimbia Ikulu ya Magogoni. Wengine wakipita Mkoa...
Upande wa Kusini wa Afrika inajulikana kwa jina maarufu kama Afrika ya Juu. Ukisoma kwenye maandiko na vitabu mbalimbali vya kihistoria wanasema juu ya Misri ya Juu na Misri ya chini. Niweke wazi...
Hakika inaonekana Watanzania tulio wengi hatukuelimishwa vya kutosha Majukumu ya mfumo wa siasa vya vyama vya upinzani wakati vinaanzishwa.Nadiriki kusema hivyo kutokana na watu wengi wanalaumu...
Svetlana Iosifovna Alliluyeva,
Later known as Lana Peters, was the youngest child and only daughter of Soviet Premier Joseph Stalin and Nadezhda Alliluyeva, Stalin's second wife. Wikipedia
Born...
Idi Amin Dada alizaliwa 1923 na alifariki mwezi wa nane 2003 alikua raisi wa tatu wa Uganda, alitawala 1971 mpaka 1979. Amin alijiunga na jeshi la kikoloni la Mwingereza likitumikia Kenya na...
Hoja ya nani mwafrika inaonekana inawagonga sana vichwa wasomi kitu ambacho kinapelekea watu wa kawaida tusielewe kabsa juu ya dhana hii tete nikaona acha niwaletee hii hoja ukumbi janvini hapa
Leo tujikumbushe mada hii inayovutia sana
Miaka 62 baada ya yesu kristo mlima mmoja unaoitwa mount Vesuvius ulilipuka volkano na ukafukia kabisa miji minne mikubwa enzi hizo mji maarufu ukiwa...
Mwanajeshi huyu ndie aliyejitokeza peke yake siku ya maadhimisho ya WWII kwenye Gwaride ambalo huandaliwa maalumu kwajili ya kuwaenzi, wenzake wote wameshatangulia mbele za haki, alijikuta akilia...
BTK ni kifupi cha Bind, Torture and Kill. Herufi hizi tatu zilikuwa zinawatia hofu kubwa wakazi wa Wichita, Kansas pale zilipotamkwa sehemu yoyote. Hizi herufi zilikuwa zikiwakilisha jina la mtu...
Wakuu!
Ulimwenguni kuna viongozi wengi walioongoza mataifa ama falme mbalimbali kwa weledi na ustadi wa hali ya juu hadi kupelekea wakumbukwe daima katika mataifa yao, mabara yao na duniani kwa...
Jobs in Uganda, Principal Veterinary Officer
Job Title : Principal Veterinary Officer
Salary Scale : U2
Reports to : District Production and Marketing Officer
Responsible for : Senior Veterinary...
Picha hii ilipigwa mwaka 1943, wakiwa vitani, India (Vita ya pili ya dunia), hawa ni Moja ya watu muhimu sana katika uanzishwaji wa chama cha TANU. Kushoto ni Ally Sykes (17) ambaye ndiye alikuwa...
Monday, 03 October 2011 13:51
CARL Peters,
Na Lawrence Kilimwiko
CARL Peters, yule mjerumani tapeli mkubwa aliyewazuga machifu na kupoteza uhuru wao aliwahi kutamka kwamba, "kuwapa uhuru...
Tangu kukamilika kwa Thirty Years War (1618 - 1648) na kusainiwa kwa Westphalia Treaty mwaka 1648, Nchi za Uingereza na Ufaransa zilitawala Siasa na Uchumi wa Ulaya. Uingereza kupitia Industrial...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.