Wimbo huu kwa hisani ya emwandosya wa YOUTUBE:
Inatukumbusha jinsi Tanzania ilipokuwa kimbilio la wanamapinduzi wakaweka makazi yao Tanzania mfano Samora Machel, Eduardo Mondlane n.k na wazazi...
Silla (57 KK – 935 BK) (Tamka ɕilla) ilikuwa moja kati ya Falme Tatu za Korea, na moja kati ya nasaba iliokaa kwa muda mrefu sana katika historia ya Asia. Japokuwa ilianzishwa na Mfalme Park...
Arthur Schopenhauer (22
Februari 1788 - 21 Septemba
1860) alikuwa Mwanafalsafa wa Ujerumani. Yeye anajulikana kwa kazi yake ya
1818 (The World as will and Representation) "Dunia kama wito na...
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Monduli amegoma kuwaapisha mawakala wa Chadema waliowasilishwa na chama kwake ili kuziba nafasi ya mawakala waliokamatwa, kutekwa na wengine kurubuniwa na ccm hivyo...
Tukiweka ushabiki pembeni, na kuangalia ukweli ni kwamba wazungu walishangaa Sana aina ya utaratibu na muundo wa kiserikali waliokuwa nao wahaya kipindi wanakuja kutawala miaka ya 1800,
Ndipo...
Hakuna mtu yeyeto nchini eliyevileta na kuviruhusu vyama vya upinzani nchini ila Mwl. Nyerere rip kwa sababu zake.
Hatuwezi kamwe kusema tunafuata nyao za Nyerere bila kuvikuza vyama vya upinzani...
Habari wakuu,
Wazee wetu wa zamani waliishi kwa raha sana.
Hivi nikitaka kufufua hili gazeti kaa sasa naweza kupewa vibali?
Gazeti la jamii ya Wachagga lililokuwa likiitwa Komkya (likimaanisha...
JamiiForums ni mtandao wa kijamii maarufu zaidi nchiniTanzania ulioanzishwa rasmi mwaka 2006 mwezi Machi ikiwa na waanzilishi wawili, Maxence Melo na Mike Mushi ambao walijuana kupitia mtandao...
"Tuliamuriwa kutoka nje ya jengo kupitia mlango wa bustanini na majasusi wa shirika la ujasusi la Idi Amin.
Nje ya jengo kulikuwa na bustani nzuri iliyojaa miti midogo midogo na barabara zenye...
Mambo ya kuingia kwenye mifumo bila kujiandaa kunacost sana Taifa,mimi ni mtumishi wizara moja nyeti naomba nikiri kitu kua tunakurupuka mambo mengi sana.Hii swala la ku upgrade kutoka epicor 9 to...
Bandari Salama ya Dar es Salaam imeonesha utendaji wa kuridhisha siku hadi siku.
Katika mwaka 2017/18 Imeweza kupoke mizigo kiasi cha zaidi ya tani milioni 16.
#HapaKazi tu
Wakuu nimeona taarifa za kuuwawa kwa mmoja kati ya maofisa wa polisi Uganda
Jambo hili limenipa tafakuri kidogo kutaka kujua historia ya kiutawala ama kiuongozi ya Uganda tangu kupata kwao uhuru...
Habar za leo
Samahan
Kuna siku mwalimu wa History alikuwa anatufundisha kuhusiana na Nyerere katika harakati za kudai uhuru.
Katk mafundisho yake alisema.
Kulikuwa na mkutano wa chama cha TANU...
Wadau na Wabobezi wa Historia ya mapambano ya Ukoloni katika Tanganyika kuna hawa Mashujaa Wawili Waafrika ambao kwa namna tofauti na Wapigania Uhuru wengine wao wali sababisha usumbufu mkubwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.