wakuu humu ndani jf wasaalm,kama kichwa cha habari,katba ni kwa kila inchi ilie uhuru ila nilicho kigundua ikiwemo mimi mwenyewe kuna vipengele vingi ndani ya katiba yetu hatuvijui au kuvifahamu...
Ndugu zanguni mimi nimeangalia TBC taarifa ya habari ya jana
usiku tarehe 23 Novemba siku aliyozikwa Kleist Sykes.
Rambirambi zilikuwa na makosa.
Mtangazaji anampa Kleist sifa za kuasisi...
Wadau wa JF
Kwa miaka mingi sana vyombo vya habari vimeripoti mapigano ya watu wa jamii ya wakurya. Mapigano hayo yameacha watu wakijeruhiwa,wakipoteza maisha na kuharibu mali nyingi.
Mapigano...
UTUMWA WENYE FAIDA
Jua linapochomoza, nainua macho yangu na kuitazama mbingu jinsi ilivyopendeza, hakika ni uumbaji wa kustajabisha! Nina kila sababu ya kusema ‘Asante MUNGU kwa siku nyingine’...
The Irangi-Kondoa Rock Painting Sites of central Tanzania were named as a
World Heritage Site in 2006 on account of their great universal value. It lay on the eastern slopes of the Masai...
Kila nyakati katika historia inapita, Ina uthamani wake na ina utofauti wake. Nyakati moja inaweza ikawa ndio mwanzo katika mabadiliko kwa nyakati nyingine ya kibinadamu, kiutawala, kiuchumi...
Sarah Francesca (Hayfron) Mugabe alizaliwa tarehe 6, June 1931 na alifariki tarehe 27 Janurary 1992. Alijulikana kama Sally Mugabe na alikuwa mke wa kwanza wa Robert Mugabe rais wa Zimbabwe...
Wakati dunia ikisubiri kuona ni nini kitatokea baada ya Robert Mugabe kukataa kujiuzulu licha ya shinikizo kutoka kwa jeshi na chama tawala cha Zanu-PF party, tunaangazia baadhi ya mambo muhimu...
Wojtek ni mnyama dubu ambaye alinunuliwa na wanajeshi wa poland mwaka 1942 nchini IRAN akiwa bado mdogo sana.
Alilelewa na jeshi kisha kusajiliwa kama mwanajeshi.
Aliwasaidia wanajeshi wenzake...
TUKIO laKushambuliwa kwa kujaribu kuuawa kwa Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa wanasheria Tanganyika na Mwanasheria Mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo ( CHADEMA), yanarudisha...
Wakati nafanya utafiti wa kitabu cha Abdul Sykes nilikutana na matokeo manne ambayo wananchi walijikusanya na kufanya visomo au dua kujikinga na dhulma za ukoloni wa Waingereza.
Katika matukio...
MJUE GAIUS JULIUS CAESAR MWASISI WA DOLA HIMAYA NA MILIKI KUU YA ROMA AMBAYE JINA LAKE “CAESAR” LILIFANYWA CHEO KILICHOTUMIKA BAADAE KWA VIONGOZI WAKUU WA DOLA HIYO IKIWA NI PAMOJA NA KUTANGAZWA...
Hivi niulize kwanza, sisi ni wanachama wa jumuia ya Afrika Mashariki tulikubaliana tukasaini Mikataba ikiwemo ya Soko la pamoja na Uhuru wa wakaazi kusafiri sasa nauliza swali nikienda Kenya...
Hapa ndio chimbuko la Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania (KKKT) ukanda wa kusini ambayo hapo awali ilifahamika kama synod ya konde.
Wamisionari walifika katika fukwe za ziwa Nyasa wakitokea...
wadau kuna taarifa kuwa mwanaharakati maarufu na mpiganaji wa siasa za kikomunist Che Guevara aliwahi kufanya ziara hapa tz miaka ya sitini tena zaidi ya mara moja. mwenye taarifa kamili juu ya...
Wakuu nimeona huu walaka kwenye tovuti ya BBC ikanifanya nijiulize kidogo. Hivyo sisi Waafrika tunajitambuaje au tunajitambulishaje. Soma hii nakala uone jinsi wenzetu wa Kameruni wanavyo uana kwa...
1) TATIZO la Vijana wetu wa KIZAZI KIPYA kutojua Mambo Muhimu kuhusiana na HISTORIA YA NCHI YETU ni tatizo kubwa.
2) Kwa MAONI YANGU, KAZI YA ZIADA inatakiwa ifanyike KUIELIMISHA JAMII ambayo...