Limekuwa jambo la kawaida sana siku hizi wasomaji wangu kuniletea taarifa nyingi ambazo wao wanazo katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Taarifa nyingine pamoja na picha zinatoka...
HASSAN NASRALLAH (1964 – 2024)
Hassan Nasrallah alipokuwa mtoto mdogo sana alikuwa akiwachekesha watu wazima nyumbani kwao.
Ilikuwa pakiadhiniwa na kisha pakakimiwa yeye atatoka mbio kukimbilia...
ISSA SHIVJI NA ABDUL SYKES
Leo nilibahatika kukutana na Prof. Issa Shivji katika uzinduzi wa kitabu cha Abdilatif Abdulla, ‘’Voice of Agony.’’
Tulizungumza kidogo.
Nikakumbuka jinsi...
MUFTI SHEIKH ABUBAKAR ZUBEIR ATIA NENO HISTORIA YA WAISLAM NA UHURU WA TANGANYIKA
Kongamano la kuadhimisha mwaka wa Kiislam 1446 lilihitimishwa na Mufti Sheikh Abubakar Zubeir kwa kutia neno...
Picha hii ilichukuliwa mwaka 1930, hii passport walitumia raia wa India na Pakistan. Eneo lote Hilo liliitwa Indian Empire.
India na Pakistan zilipata uhuru kutoka Uingereza mwaka 1947, baada ya...
''VOICE OF AGONY" TAFSIRI YA "SAUTI YA DHIKI" CHAZINDULIWA MKUKI NA NYOTA DAR ES SALAAM
Sauti ya Dhiki kitabu maarufu cha Abdulatif Abdalla kimezinduliwa leo ndani ya duka la vitabu maarufu...
MAKTABA IMEPOKEA ZAWADI YA VITABU NA PICHA KUTOKA MAKUMBUSHO YA MAJI MAJI SONGEA
Ndugu yangu Abdulaziz Khamis kutoka Kenya leo kanitembelea na kuniletea vitabu kutoka Makumbusho ya Maji Maji...
https://m.youtube.com/watch?v=gRXjD7RXTPk
George Ayittey is a Senior Fellow at the Independence Institute; Founder and President of the Free Africa Foundation; and formerly a Distinguished...
Maktaba leo imetembelewa na Mwalimu wa Historia Dr. Francis Daud.
Kilichomleta ni yeye kutaka kusikia kutoka kwangu kipi nikijuacho kuhusu mwanamapinduzi huyu.
Sikiliza mazungumzo yetu...
MAKTABA IMETEMBELEWA NA MWALIMU WA HISTORIA YA TANZANIA
Maktaba imepata bahati kubwa sana na heshima ya pekee kwa kutembelewa na mwalimu anaesomesha somo la historia kiwango cha shule za...
UGENI WA TBC SAFARI CHANNEL MAKTABA
Leo asubuhi Maktaba ilibahatika kupokea ugeni kutoka TBC Safari Channel watayarishaji na Warushaji wa vipindi vya historia.
Walinifahamisha kuwa wapo katika...
Mufti Sheikh Hassan bin Ameir
Katika masheikh waliosomesha Tanganyika Mufti Sheikh Hassan bin Ameir ameacha historia ya pekee kabisa.
Licha ya kuwa Ulamaa mkubwa wa kutegemewa alikuwa pia...
Kwamjibu wa taarifa za ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu kwa Wakristo na Wayahudi), kitabu cha kwanza cha...
EAMWS ISINGEPIGWA MARUFUKU HAYA YASINGEWEZEKANA
Laiti EAMWS isingepigwa marufuku na serikali mwaka wa 1968 kuwa ni jumuiya haramu na Chuo Kikuu kikajengwa hayo utakayosoma hapo chini...
It is not a fiction we are used to like those authored by African writers; Ngugi wa Thiongo, Chinua Achebe, Ole Soyinka and other you know.. not, it is real life experience;
Kitabu cha The Dark...
Hili ni lango kuu lililokuwa likipitisha watumwa kwenda Marekani. Lango hili lipo baharini nchini Senegal [emoji1211]. Watumwa wakienda hawarudi maisha yao yote, ukipita tu hapo hata kama kwa...
Sheikh Mohamed Said akitoa muhadhara kwa vijana wa kiislamu kufahanu historia ya taasisi za kiislamu Tanzania na michango ya taasisi hizi :
https://m.youtube.com/watch?v=IvodWTgWpSM
East African...
NYERERE DAY: NYERERE NA WANAWAKE - MAMA MUNI: BI ZAINAB SYKES
Mama Muni, Bi Zainab Sykes ni mmoja wa akina mama waliomfahamu Julius Nyerere siku za mwanzo alipofika Dar es Salaam 1952.
Mama...
Ndege za Burundi zinazosadikiwa kuendeshwa na wafaransa zavamia vijiji vya Mkoa wa Kigoma.
Ilibainika baadae South Africa, Msumbiji, Ufaransa na Marekani walikuwa nyuma ya Burundi.
South Africa...
ZIJUE BAADHI YA KOO ZA KIZARAMO, ASILI NA MAANA YAKE.
Wazaramo/ wazaramu ni kabila linalopatikana mkowa wa Pwani, Daresalama na maeneo ya mkowa wa morogoro ( morogoro vijijini, hasa mvua na...