Ee bwana wanyamwezi walikuwa na huyu mzee ambaye kwa sasa ni MarehemU, alikuwa jembe na nusu.
Huyu mzee alikuwa awe chief baada ya baba yake Andrea Sazia, lakini uhuru ndipo ulipatikana na hivyo...
Maelezo ya picha,Mfalme Philippe ameonyesha kusikitishwa na unyanyasaji wakati a ukoloni katika barua aliyomuandikia rais Félix Tshisekedi wa DR Congo
Mfalme wa Ubelgiji Philippe ameonesha...
Huyu mwamba alikuwa ni marine general,moja ya sifa zake ni kuwa mtu tafu na imara sana na kutokana na tabia zake walikuwa wanamuita shetani mzee butley
Lakini hakujali na wala hakuw na tabia ya...
Utangulizi
Juma Mwapachu alikuwa mwanafunzi wa shule ya msingi Nansio, Ukerewe wakati Abdul Sykes na Ali Mwinyi Tambwe walipokwenda Nansio mwaka wa 1953 kumuona baba yake, Hamza Kibwana Mwapachu...
Sewa Haji Paroo alijenga jengo la kutoa huduma za afya kwa watu mbalimbali. Picha na Charles Kayoka.
===================
Sewa Haji, soma historia ya mtu alietukuka. Ndie alietajwa katika moja...
Mwanamapinduzi wa Argentina na shujaa wa mapinduzi ya Cuba, Ernesto che Guevara, alitumia miezi minne nchini Tanzania kati ya mwaka 1965 na 1966.
Aliingia kwenye ardhi ya Tanzania karibu mara...
Historia ya mmoja wa wezi waliotikisa ulimwengu ni ile ya Pablo Escobar, ambaye alikuwa muuzaji mkubwa wa dawa za kulevya na kiongozi wa genge la Medellín Cartel huko Colombia. Escobar aliathiri...
Hili ni moja ya kabila ambalo linapatikana hapa hapa Tanzania hasa upande wa mashariki.
Japo habari na historia la kabila hili zilishaandikwa, hasa juu ya asili ya neno Uzaramo au Wazaramo. Kwa...
The Kennedy Curse:
Huu ni msemo unaorejelea Vifo tata vya wanafamilia wa Kennedy.
Wanafamilia wengi wa Ukoo wa Kennedy wamekufa vifo vyenye utata mkubwa na vya kuhuzunisha. Inaonekana kama kuna...
Ingawaje Wazungu waliijua Afrika kwa miaka mingi kabla ya Columbus kugundua Bara la Amerika, lkn Wazungu hawakuja Afrika kwanza mpaka baadaye sana badala yake wakaenda Bara la Amerika (Leo hii...
HISTORIA YA JULIUS NYERERE (1922 - 1999)
Kuadhimisha Nyerere Day In Shaa Allah kuanzia tarehe 1 Oktoba nitakuwa naweka video ambazo nimemzungumza Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
Hii ni vita iliyojulikana kama July War au 2006 Lebanon war unakuwa hujakosea kabisa, vita hii ilichukua takribani siku 34 tu, ni muda mchache tu, lakini kuna mengi ya kufahamu juu ya hii vita...
SHAJARA YA MWANAMZIZIMA:
Mjue Diwani (Chifu) Mwinchuguuni aliyewatimua Wakamba Bagamoyo
Na Alhaji Abdallah Tambaza
MNAMO karne ya 1600 ama 1700 hivi, kabla nchi hii haijawa Tanganyika tuijuayo...
SHAJARA YA MWANAMZIZIMA:
MJUE ‘MAMA KIZIMKAZI’ NA KWAO!—1
Na Alhaji Abdallah Tambaza
ILIKUWA ni Jumapili angavu yenye nuru tokea kulipopambazuka asubuhi, Agosti 21, mwaka huu, mbele ya jumba...
Muhammad Abdallah Kaujore
Tarehe 9 Septemba 1964, Kaujore aliua watu msikitini katika hali ya kuwa alikuwa amelewa akitokea kwenya baa moja karibu na Marikiti.
Kaujore hakuhukumiwa na aliendelea...
Kabla ya kauli ya Raisi coolidge,mtangulizi wake aliwahi kusema kwamba "binadamu wote ni sawa" lakini kauli hii ina mapungufu mengi sana na inaweza kupata ushindani mwingi.
Lakini maneno ya Raisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.