Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

HISTORIA YA QUR'AN. SEHEMU YA KWANZA 01. Asalaam Alaykum Warahmatullah Wabaarakatuh, Kila Sifa njema anastahiri Mwenyezi Mungu Mola mlezi wa Walimwengu wote, na Sifa njema zimuendee Kipenzi...
19 Reactions
328 Replies
10K Views
Kiwanja palipojengwa hili jumba la Elimu ya Watu Wazima kilinunuliwa na John Rupia wakati wa harakati za TANU kudai uhuru wa Tanganyika kati ya mwaka wa 1954 hadi 1961. Mbele ya kiwanja hiki mtaa...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Huko Vietnam Sasa vita ilikuwa imezidi kuwa mtihani mkubwa zaidi kijeshi kuikumba nchi hiyo kubwa zaidi kijeshi Kwa miongo kadhaa. Vijana wa Kimarekani walikuwa wakiangamia vibaya sio kwasababu...
9 Reactions
33 Replies
1K Views
mwaka 1982 february taree 26 ipo miamba mitano ilihisi inaweza kuitikisa serikali kwa kuteka ndege ya Tanzania ATC. ndege hiyo ilikua inatoka mwanza inakuja Dar es salaam imetua saa 11 jioni, kwa...
12 Reactions
24 Replies
1K Views
Hivi ushawai sikia story za mtu kiumbe kiitwacho Unju bin Unuk? Basi ngoja nikusimulie kwa ufupi! Unju bin Unuk ni mtu aliepata kuishi zamani inakadiriwa aliishi karne ya 16-17 uyu jamaa kuna...
19 Reactions
75 Replies
26K Views
Tupo Hapa Mwananyamala Komakoma kwa Baharia Mani opposite na alipokuwa anaishi Makongoro Nyerere tukijadili Siasa za Nchi yetu Kwa hakika Kati yetu Hakuna aliyewahi kufikiria Freeman atakuja Kuwa...
6 Reactions
17 Replies
755 Views
In 2019, during a coordinated attack on civilians in the Westlands District of Nairobi, Kenya, this unidentified British SAS operator, who happened to be in Kenya to conduct training, rushed in to...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
https://youtu.be/vm8vLR6wjPE?si=f435piPZe4i3EU_F
1 Reactions
31 Replies
714 Views
Mustafa Kamal ataturk ni raisi wa kwanza wa Uturuki, atakumbukwa kuungana na dola za Uengereza na Ufaransa kuivunja dola ya kiislamu ya Khilafah tarehe 3 Machi 1924 , na kuigawanya dola hiyo...
13 Reactions
274 Replies
25K Views
Wengi hawajui kama Zanzibara hasa Unguja iliwahi kuwa na usafiri wa reli iliyojengwa mwaka 1905. Sauti na mlio wa treni hiyo ilipokuwa ikipita ikazaa jina bububu. Barabara katika eneo la...
9 Reactions
34 Replies
2K Views
Mwaka 1885 mwandishi H. Rider. Haggard aliandika kitabu King Solomon's Mines. Ndani ya kitabu hicho kuna kibibi kizee mmoja mwenye hila na katili sana. Jina lake Gagool. Mwaka 1966 kitabu hicho...
2 Reactions
2 Replies
232 Views
FAHAMU HISTORIA YA "WAPARE" WATU BAHILI ZAIDI TZ Wapare ni kabila kutoka milima ya Pare, Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini ya nchi ya Tanzania. Lugha yao ni Kipare ( Chasu). Wapare wanatokea katika...
25 Reactions
213 Replies
20K Views
Naomba nianze kwa kunukuu kidogo maelezo mafupi kuhusu wasifu wa Isaac Maliyamungu na kwa nini ataendelea kukumbukwa. Natanguliza samahani kwa wasiojua lugha ya Kiingereza katika huu utangulizi...
9 Reactions
31 Replies
14K Views
Mwaka 1850 wakazi waliokuwa wakiishi katika pwani ya afrika mashariki kuanzia mto juba nchini Somalia mpaka msumbiji, walikuwa wakiimba mashairi yao yenye kusifu viongozi wao na familia zao...
0 Reactions
4 Replies
372 Views
Inasemekana marehemu huwa haandikagi usia wa uongo maana anajua akishakufa habari yake imeisha na uongo hautamsaidia kitu Je, kuna ukweli wowote kuhusu hili? Tusubiri uchunguzi wa kitaalamu
0 Reactions
12 Replies
412 Views
Shambulio la Bomu Dhidi ya Balozi za Marekani (Kenya na Tanzania) Soma pia:FBI walivyomdaka Thomas Lyimo 1998 Imepita miaka 25 tangu shambulio la bomu la ubalozi wa Marekani jijini Nairobi na Dar...
1 Reactions
5 Replies
586 Views
Mpango wa Korea Kaskazini kuendelea kutumia na kukuza silaha za nyuklia umekuwa suala lenye mvutano mkubwa kimataifa kwa zaidi ya miongo miwili. Nchi hiyo, chini ya uongozi wa Kim Jong-un na baba...
2 Reactions
2 Replies
251 Views
Mgodi wa Mwadui 🧐 Williams Diamond Limited (WDL) Wafanyakazi wa sorting(wanaochambua madini) wakimaliza kazi walikuwa wakikaguliwa bila nguo 😢 Shinyanga tumetoka mbali sana😢 Yaliyopita...
0 Reactions
10 Replies
564 Views
Back
Top Bottom