Meli ya RMS Titanic inaendelea kuoza polepole chini ya bahari tangu ilipozama mnamo 1912. Kwa sasa, Titanic ipo umbali wa mita 3,800 chini ya uso wa Atlantiki ya Kaskazini. Korosi, viumbe vya...
Neno mtemi asili yake ni kiongozi wa ufyekaji.
Zamani kwenye jamii ya Wasukuma na Wanyamwezi, vijana wakifika umri wa kujitegemea walikuwa wanachagua kiongozi na kwenda porini kufyeka eneo la...
KITANDA CHA SEMADARI
Picha hiyo hapo chini ni picha ya kitanda ambacho nimeamka leo asubuhi.
Jana usiku nilipopanda kulala sikukiangalia vizuri kwa mchoko wa safari.
Kitanda cha semadari...
Kwa miaka mingi suala hili lilikuwa ni SIRI.
Lakini ktk zama hizi za utawandawazi habari hizi zimeanza kujitokeza.
Kuna makala iliandikwa na Makwaia Kuhenga kuzungumzia tukio hili.
Jenerali...
Huyu ni mmoja wa wakuu wa vikosi vilivyopigana vita vya Kagera.
Kwa miaka mingi walikuwa wakitaka wakuu wa brigedi zilizopigana vita vya Kagera, lakini ndani ya brigedi hizo kulikuwa na vikosi...
Uhali gani kwa muda huu unaosoma post hii.
Nafurahi kushare nawe njozii hii ya utata kidogo
Nisiku kadhaa zilizo pita toka nilipoota njozi nisiyoielewa kwamba mimi ni marehemu
Maana yake nini...
Je unakumbuka mgombea wa zamani wa Urais wa Kenya, Mohammed Abduba Dida (49)?
Dida anatumikia kifungo cha miaka saba katika jimbo la Illinois nchini Marekani kwa makosa la kumfuatilia mtu na...
Habari ndungu zangu wana JamiiForums.
Ni matumaini yangu kuwa wana JamiiForums na watanzania wote popote mlipo mtakuwa mnaomboleza kifo cha ndugu yetu Ally kibao,
Taifa letu limefika mahali...
Sijali Sijaona anamzungumza baba yake.
SIJALI SIJAONA ALIPOTEMBELEA MAKTABA
Sijali Adam Sijaona mtoto wa Lawi Nangwanda Sijaona ametembelea Maktaba na tumejaliwa kufanya mazungumzo kuhusu baba...
JE, wajua au umepata kusimuliwa asili ya jina Kizimkazi? Mzee Said Ramadhan, mwanahistoria mahiri kutoka Kizimkazi, yupo hapa kukupa maana na asili ya Kizimkazi.
Kizimkazi jina linamanisha katika...
TUNDU LISSU AKUMBUSHA UCHAGUZI WA PRESIDENT WA TAA KATI YA ABDULWAHID SYKES NA JULIUS NYERERE 1953
Kila uchao tunakumbushana na kuazima ukurasa kusoma kutoka historia ambayo ilifutika.
Leo...
Katika mambo yaliyotokea yakawatisha waliokuwa wamemzunguka Julius Nyerere ilikuwa siku alipougua ghafla na kudhaniwa kalishwa sumu katika chakula nyumbani kwa Abdulwahid Sykes.
Angalia video...
September 7 ya 1996
MGM Grand, USA
Pambano la Ndondi
Tyson v Bruce Seldon
Pambano liliisha ndani ya Sekunde 109
Tyson alishinda.
Wahudhuriaji kibao walikuwepo ma-Celebrities pia
Mfano:
New...
Kuna watu walieneza maneno ya uongo kuwa Michael Jackson alivyotua nchini aliziba pua yake na kusema kuwa nchi ya Tanzania inanukaa.
Ukweli ni kwamba, MJ hakusema maneno hayo na pia kwenye ziara...
Mtu unayemzungumzia ni D.B. Cooper, jina la kufikirika alilopewa na vyombo vya habari, ambaye alihusika na tukio maarufu la utekaji nyara wa ndege mnamo mwaka 1971. Tukio hili limebaki kuwa moja...
Habari zenu wakuu.
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa wa historia hasa linapokuja suala la uwezo wa Mwafrika kutokupewa sifa zinazotakiwa kama ilivyo kwa hayati J.K. Nyerere na Nelson Mandela. Afrika...
Je unafahamu kua nchi hizi mbili zilishawai kupigana vita???
Nani alishindwa??
Je nchi hizi zitakuja zitapigana tena??
Upi utakua mwisho wa hizi nchi mbili hapa Africa...
Habari za wakati huu ndugu zangu wa humu JamiiForums.
Kulikuwa na uhalali gani wa Chief Mkwawa kutambulika kama "shujaa"? Kamwe hakuna askari anayeweza kuitwa shujaa kwa kuogopa adui kisha kujiua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.