Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Mama yangu alichagua kutoolewa na baba yangu. Alimsihi, lakini alikuwa amependa mtu mwingine. Alijaribu kuwa sehemu ya maisha yangu nilipokuwa mdogo, lakini baada ya hapo, kimsingi alitoweka...
6 Reactions
38 Replies
1K Views
Baada ya kumaliza kitabu cha Maisha ya Malcom X sasa na tusome kitabu kuhusu historia ya Tanganyika. Vitabu hivi na vingine vingi unaweza kuvisoma bure ndani ya app ya Maktaba Sauti UTANGULIZI...
0 Reactions
5 Replies
915 Views
Katika video anaelezea kwamba jambo la kwanza lililotokea baada ya Mapinduzi printing press zilizokuwa zinatengeneza vitabu vya Kiislamu vilivunjwa. Ipo katika YouTube Hausemwi ila huu ndiyo...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Vitabu vya Apocalypse, ambavyo kwa kawaida huitwa vitabu vya Apokrifa au apokaliptiki, sio maandiko matakatifu ya Mungu kwa maana ya kuwa sehemu ya Biblia Kanoni. Vitabu vya Apokrifa ni maandiko...
0 Reactions
6 Replies
990 Views
Part 1: Ukisoma au kusikia balaa lililomwandama Alexander Litvinenko hadi kifo chake, waweza kudhani ni simulizi kutoka kwenye filamu au riwaya flani. Litvinenko alikuwa shushushu wa shirika la...
20 Reactions
65 Replies
3K Views
NI OPERATION JERUSALEM, ILIYO MUINGIZA IKULU YA AL-SENUSIA, NA NI OPERATION BENGAZI (UNIFIED PROTECTOR) ILIOMFURUSHA IKULU KIFEDHEHA; MUAMMAR GADDAFI KIONGOZI ALIYE IJENGA NCHI KUTOKA JANGWA MPAKA...
10 Reactions
24 Replies
8K Views
UDOGONI DAR ES SALAAM 1960s Kila nipitapo Maktaba hukutana na picha zinazonikumbusha mengi. Picha hii alinipa Abdallah Mgambo miaka mingi ilioyopita. Ilipigwa kwenye picnic mwaka wa 1965. Kulia...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
BURIANI MZUNGUMZAJI WANGU ABUU SHARIFF Taarifa ya msiba wa Abuu (na hivi ndivyo alivyokuwa akifahamika Dar-es-Salaam) nimeipata kutoka Tanga kwa shariff mwenzake, Shariff Mohamed Yahya. Wote...
3 Reactions
8 Replies
400 Views
MTEGO WA MWINDAJI ULIPOKAMATA CHUI Bahati nzuri familia zote mbili za Bi Khadija Baramia na Captain Meki Abdallah Ali Kayaya zipo. Meki ni mchanganyiko wa Wamanyema upande wa kiumeni na...
2 Reactions
4 Replies
351 Views
FAHAMU MAJINA YA SEHEMU ZA MIJI MAARUFU TANZANIA NA MAANA ZAKE. 1. KOLOMIJE Inasemekana mahali hapo alifika Mzungu aliyeitwa James, hivyo huyu Mzungu akataka watu wamwiite "J" badala ya kutamka...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
MTAA WA SALUM ABDALLAH WA CUBAN MARIMBA CHA CHA BAND Morogoro wamemuenzi mwanamuziki maarufu Salum Abdallah Yazidi kwa kumpa mtaa ambao yeye aliiishi katika uhai wake. Kumbukumbu yangu ya Salum...
3 Reactions
4 Replies
612 Views
Wanafunzi wa kizazi hiki wanakosa mambo muhimu hususani kujifunza kuhusu uzalendo na utaifa wao. Miaka ya 90 kulikuwa na nyimbo nyingi ambazo wanafunzi waliimba shuleni. Mnakumbuka wimbo huu...
1 Reactions
2 Replies
488 Views
KITABU CHA KWA BAMKWE KINAPORUKA ANGANI NA KUTUA Mikono inamtetema. Hii "tetema," ni msamiati wa sasa. Sie watu wa kale tunasema mikono inamtetemeka. Kwa nini nasema mikono inatetemeka kwa...
2 Reactions
0 Replies
306 Views
NYIMBO MOYO MADHULUMU NA HISTORIA YA KWA BAMKWE Siku ya kwanza alipouimba mwimbo huu "Moyo Madhulumu," hadharani marehemu Khadija Baramia hakuweza kumaliza katikati alianza kulia na hakuweza...
1 Reactions
8 Replies
482 Views
''MADHULUMU MOYO'' KHADIJA BARAMIA KATIKA KITABU "BARAZA YA MAJESTIC NA MACHINJIONI KWA BAMKWE" Katika mahojiano na Mohamed Ghassany kuhusu kitabu cha Ibrahim Hussein, ''Baraza ya Majestic na...
0 Reactions
0 Replies
380 Views
Wimbo wa taifa wa Tanzania "Mungu ibariki Afrika" ulibuniwa na mtunzi kutoka Afrika Kusini Enoch Sontonga. Wimbo huu asili yake ni wimbo Nkosi Sikelel’i Afrika aliotunga mwaka 1897. Tafsiri ya...
3 Reactions
3 Replies
796 Views
PYRAMID linalopatikana Misri lilikua ndio jengo refu zaidi lililojengwa na mwanadamu miaka 4000 iliyopita .Mojawapo ya pyramid refu zaidi huko Misri (Egypt) lina urefu wa futi 481 sawa na jengo...
7 Reactions
15 Replies
6K Views
Tafsiri ya kitabu The Autobiography of Malcom X. Unaweza kukisoma ndani ya Maktaba Sauti app. Muandishi: Malcom X(Alex Haley), 1965. Mtafsiri: Pictus Publishers ltd Email...
10 Reactions
155 Replies
15K Views
KITABU KINACHOHUSU MATESO KATIKA JELA YA KIINUA MIGUU BAADA YA KUUAWAKWA MZEE KARUME 1972 Toka jana baada ya kutoka taarifa ya kuahirisha uzinduzi wa kitabu kwa kuwa hakijapitishwa na BAKIZA...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
MUHIMU: jiji la Mbeya ni wilaya moja tu ndani ya Mkoa na sio wilaya zote za Mbeya WANYAKYUSA Hawa kwa asili sio wazawa wa wilaya ya Mbeya jiji, wametokea wilaya jirani za Rungwe (ulipo mji...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom