Heshima sana wanajamvi,
Gazeti la Raia mwema limekuwa likichapisha makala ya Kachero wa jeshi la wananchi (JWTZ) aliyetekwa Uganda pamoja na wanajeshi wengine wawili ambao waliuwawa na majasusi...
NAKUSAHURI USOME KWA MAKINI SANA UJUMBE HUU UNA MAANA KUBWA SANA....
SIKU FERDINAND MARCOS ALIPOKUFA ILIKUWA SHEREHE YA KIHISTORIA NCHINI UFILIPINO.
Na Luqman Mloto.
Enzi nikisoma shule ya...
Shambulizi moja la bomu nchini Uturuki limewaua
wanajeshi 13 waliokuwa ndani ya basi na
kuwajeruhi wengine 48.
Mlipuko huo uliharibu basi hilo ambalo lilikuwa na
wanajeshi waliokuwa wameruhusiwa...
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon
amedokeza kuwa huenda akawania urais nchini
mwake, Korea Kusini.
Muhula wake Ban kama katibu mkuu wa Umoja wa
Mataifa unakamilika mwisho wa mwezi huu...
Attention attention kama una calenda ya mwaka 1995 basi haina haja ya kununua ya mwaka 2017 kwani zimefanana... Hii ni kwenda sambamba na bajeti ya uongozi wa awamu ya 5...chukua mark pen...
''And Julius Nyerere is the man who is going to lead us to independence...''
''Has any one of you ever heard of Nyerere?'' He asked. No one answered.
''Black stand for the people, green...
Ndugu zangu,
Moja ya ahadi za Mwana-TANU ilikuwa;
" Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko." Tatizo la fitina na majungu miongoni mwa viongozi wa TANU enzi hizo na sasa CCM ni moja ya mambo...
Nimesikia kuwa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mh.Ally Hassan Mwinyi aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.Nasikia Mzee Mwinyi alijiuzulu uwaziri Kwa kuwajibika.Nauliza in tukio gani lilisababisha...
KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA NCHI YA ZANZIBAR.
Maajabu ya serikali na chama cha mapinduzi CCM, ni kawaida kwao kuyatukuza mapinduzi ya Zanzibar na kuupuuza Uhuru wa nchi hiyo...
Nimegundua kitu kimoja katika tabia za watu wanaoishi kwa hofu ya kusema kweli wakiogopa labda wenye mamlaka wanaweza wakawadhuru. Wataujua ukweli lakini hawatausema hadi wasikie mtu mwingine...
Kilichofuata baada ya kupatikana uhuru ilikuwa ni kukamatwa, kuwekwa kizuizini na kuhamishwa kwa masheikh na Waislamu wengine waliodhaniwa kuwa wanapinga utawala wa Nyerere.
Mashuhuri miongoni...
Kuweka kumbukumbu sahihi..
Hakuna nchi inaoitwa Tanzania iliyopata Uhuru tarehe 9/12/1961, na hakuna Taifa huru duniani linaloitwa Tanzania-bara.
Nchi iliyopata Uhuru tarehe 9/12/1961 ni...
Wabembe ni kabila la watu ambao wanaishi katika nchi zote za Maziwa Makuu ya Afrika. Wanapatikana kwa wingi Fizi, Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia na wanaishi katika nchi tofauti kama: Kongo...
JE UMEWAHI KUJIULIZA HAYA KUHUSU MWALIMU NYERERE?
NA Comred Mbwana Allyamtu.
1-1955 mwalimu Nyerere alienda UNO kudai Uhuru kupitia article no 76 ya UN[emoji117]self determination na hii ilikuwa...
Hapa ni moja ya majengo ambayo wapigania ukombozi barani Afrika walikuwa wakiishi akiwamo Marais Mugabe wa Zimbabwe na hayati Samora Machel wa Msumbiji kama ilivyokuwa makazi ya wapigania haki...