Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Realist believe that reality exist independent of the human mind...Idealism based on spiritual or mental world of appearance ...which is eternal .permanent order .regular and universal...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hugo Rafael Chaves Frias alizaliwa 28 July 1954 na alifariki 05 March 2013. Alikuwa mwanasiasa wa Venezuea ambae aliitumikia nchi yake kama rais wa 64 wa nchi hiyo kutoka mwaka 1999 mpaka 2013...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Kikosi kazi maalumu kilichoundwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe kupambana na tatizo la ujangili, kimetuhumiwa kutumika na baadhi ya wanasiasa na watumishi mbalimbali wa...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Hawa ni magaidi waliouteka ubalozi wa japani nchi Peru miaka ya katikati ya 90. Waliwashikilia watu zaidi ya 100 kwa miezi kadhaa. Utekaji uliisha kwa shambulizi la makomandoo wa kiperu baada ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Muhammad Saeed al-Sahhaf kwa mnaokumbuka vizuri alikuwa ni waziri wa habari wa serikali ya Iraq na alijulikana sana kwa propaganda alizokuwa anapiga. Wakati ule wa vita ya Marekani na Iraq...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Eneo ambalo linajulikana kama Morocco ya leo lilianza kukaliwa na binadamu Enzi za Zama za Mawe (Paleolithic times), huo ulikuwa kati ya mwaka 190,000 na 90,000 BC. Eneo la Maghreb lilikuwa na...
6 Reactions
13 Replies
4K Views
Makao makuu ya mkoa mpya wa Rift Valley yatakuwa Kondoa. Mkoa huu ulipangwa kuanzishwa mwaka 2000 wakati wa utawala wa Rais Mtukufu Mh. Benjamin William Mkapa. Bahati mbaya waziri Mkuu wakati ule...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanasayansi na watafiti wamepata ushahidi wa kipekee sana duniani kwa kupata nyayo Zaidi ya 400 za mwanadamu wa kale katika tabaka linalokadiriwa kuwa na miaka 5000 mpaka 19,000. Nyayo hizo ni...
5 Reactions
61 Replies
15K Views
Leo ni Ulimwenguni tuna Kumbukizi ya heshima Karl Landsteiner mgunduzi wa Makundi ya Damu (Blood Groups)mf. A ,B , O na AB ambayo yanatumika Mpaka leo katika Huduma za Afya ya Mwanadamu...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
ILIKUWA Alhamisi, Oktoba 21, 1999, pale Uwanja wa Uhuru. Ilikuwa siku ya mwisho kabla mwili wa Mwalimu Nyerere kusafirishwa Butiama kwa maziko. Inakadiriwa watu takriban milioni 3 walihudhuria...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
Tanzania ni jina ambalo limetokana na nchi mbili yani zanzibar na tanganyika ( kwasasa tanganyika wanatumia sana jina la ubatizo yani tanzania bara). leo nataka tujadili jina ambalo walipendekeza...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Tarehe kama ya Leo mwezi kama huu mwaka jana 25/10/2015 ndio watanzania tulifanya maamuzi ambayo kwa sasa tunatamani iwe kama ni njozi.... Tunaisoma namba kwa ukaribu zaidi..
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna watu wanadai mzee Dosa alifilisika kwasababu alitumia rasilimali zake kupigania uhuru wa Tanganyika. Yuko wapi mwenye ushahidi huo?
3 Reactions
88 Replies
14K Views
Habari wanajamvi Wakati tukimkumbuka Mwalimu Julius Kambarage Nyerere naomba pia tujikumbushe pia matatizo ambayo mwalimu amewahi kupitia. Moja ya tatizo ambalo Mwalimu alipitia nikutaka kuuwawa...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Meet The Forgotten "Hitler" Who Killed 15 Million Africans... - YouTube
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Julius Kambarge Nyerere, who was the first President of Tanzania and previously Tanganyika, from 1960 until his retirement in 1985 Zamana viongozi wa umma walikuwa wanajulika kwa maadili...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana JF, kwa anaejua historia ya huyo bwana (mahtma Gandhi) baba wa taifa la India, anisaidie, maana nikigoogle sipati historia kamili. Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
8K Views
BACKGROUND OF THE HAYA KINGDOM. The Haya are ethnic linguistic group based in the district of Bukoba, Muleba and Karagwe at kagera region in northwest Tanzania East Africa in 1991 the Haya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
tazama hii picha kwa makini....
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…