Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Ee bwana wanyamwezi walikuwa na huyu mzee ambaye kwa sasa ni MarehemU, alikuwa jembe na nusu. Huyu mzee alikuwa awe chief baada ya baba yake Andrea Sazia, lakini uhuru ndipo ulipatikana na hivyo...
0 Reactions
0 Replies
481 Views
https://youtu.be/wjvIkkbJBR8?si=EDswkPWPt8TR6S1P
0 Reactions
0 Replies
123 Views
Maelezo ya picha,Mfalme Philippe ameonyesha kusikitishwa na unyanyasaji wakati a ukoloni katika barua aliyomuandikia rais Félix Tshisekedi wa DR Congo Mfalme wa Ubelgiji Philippe ameonesha...
3 Reactions
2 Replies
216 Views
Huyu mwamba alikuwa ni marine general,moja ya sifa zake ni kuwa mtu tafu na imara sana na kutokana na tabia zake walikuwa wanamuita shetani mzee butley Lakini hakujali na wala hakuw na tabia ya...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
https://youtu.be/J8X9FbMZMNI?si=4DR2OCqAO2aLQFAd
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Utangulizi Juma Mwapachu alikuwa mwanafunzi wa shule ya msingi Nansio, Ukerewe wakati Abdul Sykes na Ali Mwinyi Tambwe walipokwenda Nansio mwaka wa 1953 kumuona baba yake, Hamza Kibwana Mwapachu...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Sewa Haji Paroo alijenga jengo la kutoa huduma za afya kwa watu mbalimbali. Picha na Charles Kayoka. =================== Sewa Haji, soma historia ya mtu alietukuka. Ndie alietajwa katika moja...
21 Reactions
202 Replies
63K Views
Mwanamapinduzi wa Argentina na shujaa wa mapinduzi ya Cuba, Ernesto che Guevara, alitumia miezi minne nchini Tanzania kati ya mwaka 1965 na 1966. Aliingia kwenye ardhi ya Tanzania karibu mara...
3 Reactions
4 Replies
635 Views
Historia ya mmoja wa wezi waliotikisa ulimwengu ni ile ya Pablo Escobar, ambaye alikuwa muuzaji mkubwa wa dawa za kulevya na kiongozi wa genge la Medellín Cartel huko Colombia. Escobar aliathiri...
1 Reactions
1 Replies
615 Views
Hili ni moja ya kabila ambalo linapatikana hapa hapa Tanzania hasa upande wa mashariki. Japo habari na historia la kabila hili zilishaandikwa, hasa juu ya asili ya neno Uzaramo au Wazaramo. Kwa...
8 Reactions
23 Replies
47K Views
The Kennedy Curse: Huu ni msemo unaorejelea Vifo tata vya wanafamilia wa Kennedy. Wanafamilia wengi wa Ukoo wa Kennedy wamekufa vifo vyenye utata mkubwa na vya kuhuzunisha. Inaonekana kama kuna...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Ingawaje Wazungu waliijua Afrika kwa miaka mingi kabla ya Columbus kugundua Bara la Amerika, lkn Wazungu hawakuja Afrika kwanza mpaka baadaye sana badala yake wakaenda Bara la Amerika (Leo hii...
1 Reactions
53 Replies
13K Views
HISTORIA YA JULIUS NYERERE (1922 - 1999) Kuadhimisha Nyerere Day In Shaa Allah kuanzia tarehe 1 Oktoba nitakuwa naweka video ambazo nimemzungumza Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
0 Reactions
1 Replies
196 Views
Hii ni vita iliyojulikana kama July War au 2006 Lebanon war unakuwa hujakosea kabisa, vita hii ilichukua takribani siku 34 tu, ni muda mchache tu, lakini kuna mengi ya kufahamu juu ya hii vita...
46 Reactions
344 Replies
40K Views
Iwe biashara, kilimo, ufugaji, uvuvi nk. Lakini hakikisha unakua na uvimilivu wa kutosha lakini utakua upo katika nafasi kubwa ya kupata utajiri.
5 Reactions
4 Replies
393 Views
SHAJARA YA MWANAMZIZIMA: Mjue Diwani (Chifu) Mwinchuguuni aliyewatimua Wakamba Bagamoyo Na Alhaji Abdallah Tambaza MNAMO karne ya 1600 ama 1700 hivi, kabla nchi hii haijawa Tanganyika tuijuayo...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
SHAJARA YA MWANAMZIZIMA: MJUE ‘MAMA KIZIMKAZI’ NA KWAO!—1 Na Alhaji Abdallah Tambaza ILIKUWA ni Jumapili angavu yenye nuru tokea kulipopambazuka asubuhi, Agosti 21, mwaka huu, mbele ya jumba...
1 Reactions
0 Replies
287 Views
Muhammad Abdallah Kaujore Tarehe 9 Septemba 1964, Kaujore aliua watu msikitini katika hali ya kuwa alikuwa amelewa akitokea kwenya baa moja karibu na Marikiti. Kaujore hakuhukumiwa na aliendelea...
6 Reactions
15 Replies
675 Views
Kwa nini Mapinduzi ya Zanzibar huitwa "Mapinduzi Matukufu"...?
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Kabla ya kauli ya Raisi coolidge,mtangulizi wake aliwahi kusema kwamba "binadamu wote ni sawa" lakini kauli hii ina mapungufu mengi sana na inaweza kupata ushindani mwingi. Lakini maneno ya Raisi...
5 Reactions
9 Replies
377 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…