Musham Mzanda
7 hrs ·
KATIBA TULIYONAYO IKITEKELEZWA KWA 100% RAIS WETU ATALAUMIWA KUWA DICTATOR. . KUMBUKENI KATIBA HII ALIITUMUA BABA WA TAIFA KUWAWEKA DETENTION WAHAINI NA MAFISADI WENGINE BILA...
Marxism–Leninism ni mfumo wa siasa au uliojulikana duniani kama Marxism na Leninism, lengo lilikua kuanzisha serikali za kijamaa na kuziendeleza zaidi. Marxist–Leninists walihodhi mfumo huu na...
Julius Kambarage Nyerere alizaliwa tarehe 13 April 1922 na alifariki tarehe 14 October 1999, alikuwa rais wa Tanzania alieongonza nchi ambayo ilijulikana kama Tanganyika kabla. 1964 Tanganyika...
Katika Kuhakikisha anatokomeza Uchifu hapa nchini, Mwalimu Nyerere aliwaza kuwapa madaraka mengine makubwa zaidi Serikalini. Katika Kuhakikisha anafanikiwa aliwataka machifu wakagombee Ubunge...
Tarehe 04 July kwa Wamarekani ni siku ya kusheherekea uhuru wa nchi hiyo na siku hii ni ya mapumziko. Miaka 240 iliyopita 1776 tarehe 4 July Congress ilitangaza Uhuru wa makoloni 13 ya Marekani...
VUGUVUGU HILI LA KUTAKA DEMOCRACY IACHWE KUKANDAMIZWA SIO KWA TUNDU LISSU WA CHADEMA AU ZITTO KABWE WA ACT-WAZALENDO TU
HATA KIPINDI CHA UKOLONI NYERERE...
Mzee huyu(jina limehifadhiwa) ni miongoni mwa wanachama wa TANU mkoani mtwara kwenye miaka ya 1950. anaishi mtwara maeneo ya Kijiji Cha Kianga nje kidogo MJINI Mtwara. amehifadhi barua nyingi sana...
Binadamu wa kwanza katika historia ya Dubai aliishi hapo takriban miaka 3000 BCE (Before Christian Era) wakati huo waliishi watu wa jamii ya nomadic watu ambao ni wafugaji na wawindaji na...
NONDO NNE ZA MASWALI.
[emoji255][emoji253][emoji260][emoji116][emoji116][emoji255][emoji253][emoji260]
Swali la kwanza:
[emoji116][emoji116]
Ikiwa muanzilishi wa Madh-habu...
Napoleon Bonaperte kwa jina linginge Napoleone di Boungartealizaliwa 15 August 1769 na alifariki 05 May, 1821. Alikuwa mwanajeshi wa Kifaransa na pia kiongozi wa kisiasa aliejipatia umaarufu...
Kutokana na mabadiliko ya maisha pamoja na utandawazi Mila na desturi hasa majina ya asili ya kitanzania yanazidi kupotea! nimeona ni vizur kuanzisha Uzi huu ili tuweke kumbukumbu vizuri za Maana...
Rajab Athmani Matimbwa
Rajab Matimbwa katoka Chole, Uzaramo kaja Dar es Salaam kijana mdogo kutafuta maisha.
Rajab, Bi. Titi ni shangazi yake na akikaa nyumbani kwake Shauri Moyo.
Harakati za...
Huyu ndie rais wa kwanza duniani ni rais wa kwanza wa marekani 1789-1797 amevunja rekodi ya kuwa rais wa kwanza hapa duniani.
Kipindi anakuwa rais nchi nyingi zilikuwa zinatawaliwa kifalme na...
Mtangazaji wa Azam TV Faraja Kiongole na Mwandishi katika Kipindi
Maalum cha Mashujaa
Video itawekwa hivi karibuni In Shaallah...
Katika kipindi hiki nilijaribu kueleza historia ya baadhi ya...
Leo hii ukizungumzia nchi zilizopiga hatua kubwa kimaendeleo hawezi kuacha kuitaja Japani. Lakini iliwezaje kufikia hatua hii? Historia inasema nini kuhusu maendeleo ya Japani? Nitazungumzia...
Askari wa kikoloni wakifaransa waliwaua Waafrika wengi kwa lengo la kukusanya fuvu zao ili kuimarisha Makumbusho yao ya historia (Museums) na walikuwa wakiingiza fedha nyingi sana kwenye hayo...
Siku kama ya leo tarehe 16 Julai 1976 ni siku ambayo sherehe ya kukabizi shirika la Reli la Tazara kwa nchi za Tanzania na Zambia. Wana JF je kulingana na changamoto ambalo shirika hilo linapitia...