Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

MAR 11 KITABU KIPYA KUHUSU ZANZIBAR NA HASSAN MKOKOLA CHIKUSA KIPO NJIANI KINAKUJA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
An-Nuur March 11-17, 2016 Unaweza kuisoma kwa urahisi hapa chini: Mohamed Said: PIUS MSEKWA NA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
0 Reactions
0 Replies
2K Views
There is more to the freedom struggle which some of us do not seem to have the inclination to talk or write about. For example, did you know that Abdul Sykes and the name you read in this Mtemvu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
PIUS MSEKWA NA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Mohamed Said Earle Seaton na Julius Nyerere ‘’Mwalimu Nyerere alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuridhisha watu kwa nguvu ya hoja zake...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Toleo la kwanza la kwa lugha ya Kiingereza 1998 Assalam Alaykum Sheikh Mohamed, Miaka saba iliyopita niliwahi kununua kitabu ulichokipa jina ‘’Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes.’’ Kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Historia ni mwalimu mwema. Historia inamulika kuonesha mwanadamu alikotoka, alipo kwa sasa, na inampa mwanga wa kujua anakokwenda. Ni historia inatuonesha kwamba chimbuko la mwanadamu ni jamii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SALIM AHMED SALIM ATEULIWA BALOZI AKIWA KIJANA MDOGO WA MIAKA 22 1964 NA HAMZAH RIJAL Salim Ahmed Salim na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 1964 Mara baada ya kuundwa kwa Jamhuri ya Muungano...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Mwanasheria wa kujitegemea nchini, Fatma Karume amemshauri Rais wa Zanzibar, Ali Mohamed Shein kuachia madaraka.& “Dk Shein lazima aondoke kwa sababu kuendelea kubaki madarakani ni kuwanyang’anya...
4 Reactions
20 Replies
6K Views
Hivi karibuni tutaadhimisha miaka 39 ya kuasisiwa chama kitukufu na tawala cha CCM . Ni tukio la kihistoria llofanyika nchini kwetu baada ya nchi mbili zetu kuungana kiserikali na kuukata mzizi...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
WAKUU NI KATIKA KUKUZA UELEWA WANGU JUU YA MASUALA YA KIMATAIFA NAOMBA KUJUA HISTORIA YA NCHI YA MALDIVES
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Shule nyingi nchini haziko kwenye mazingira ya kuridhisha, baadhi hazin madawati, madarasa ya kutosha, walimu wa kutosha pamoja na vitendea kazi vya kutosha. Hali hii hupelekea wanafunzi wengi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Angalia kipindi: Mohamed Said: WASIFU WA ABEID AMANI KARUME AZAM TV 2015
0 Reactions
0 Replies
5K Views
KAKA ZITTO NAOMBA UNIJIBU HAYA MASWALI. 1. Kwanini wewe unaakili sana hadi unakera? 2. Kwanini unatoa elimu bure bungeni bila kujali ugumu wa kazi ya kumuelimisha mtu kama Nape na genge lake...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jamvi!!! nimepata kukisoma kitabu cha mwalimu Nyerere kiitwacho UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA.katika kitabu hicho mwalimu anaelezea namna alivyopambana kufa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni kweli wanaimba injili lakini katika toleo hili naona kuna kilichojificha.Matha ameolewa Ok lakini katika wimbo wa pili kwa sehemu kubwa Mdogo wake Beatrice ametumia kuonesha umbile lake kwenye...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Wakuu heshima kwenu! Ikiwa Leo ni siku muhimu kwa taifa letu; Nimeamua kuwaandikia wale walio vijana sayansi ya kumudu kazi hii ya kizalendo. Ni taaluma kama ilivyo taaluma nyingine za fizikia...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mashujaa wa Uhuru Waliosahaulika Na Alhaj Abdallah Tambaza Abdallah Tambaza KATIKA taifa lolote duniani, kuna watu huwa wanaenziwa, wanatukuzwa na kutajwatajwa, kama namna ya kukumbuka...
4 Reactions
27 Replies
11K Views
Aman Thani ‘’….inataka ifahamike kuwa Ufalme wa Zanzibar ulikuwa ni Ufalme wa Katiba na Mfalme mwenyewe naye alikuwa Mfalme wa Katiba. Ni maarufu kua chama cha Afro Shirazi hakimtaki Mfalme...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
IKIADHIMISHA KUASISIWA JE CCM INA KUMBUKUMBU ZA MZEE KINYOZI MUASISI WA TANU SINGIDA 1954? Utangulizi Kushoto: Idd Faiz Mafongo, Sheikh Mohamed Ramiya, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Saadan...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…