Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHABOMOA NYUMBA ILIPOASISIWA TANGANYIKA AFRICAN NATIONAL UNION (TANU) CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) YAVUNJA NYUMBA ILIPOANZISHWA TANGANYIKA AFRICAN ASSOCIATION NA KUASISIWA...
1 Reactions
8 Replies
8K Views
https://youtu.be/Quxmi99MjhE Aisha ''Daisy'' Sykes katika makala ''Abdul Sykes Nimjuaye'' aliyoandika katika kumbukumbu ya miaka 50 ya kifo cha baba yake Abdul Sykes aliyefariki mwaka wa 1968...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
https://youtu.be/FxUtFHgXxDw ZIMA MOTO KATIKA UBORA WAKE Nimeikuta hii video mtandaoni na nikaiangalia kuanzia mwanzo hadi mwisho. Wakati mwingine nilikuwa nacheka peke yangu. Kwa nini nacheka...
2 Reactions
5 Replies
699 Views
Anachojaribu kukifanya huyu msemaji ni kutaka wasiokuwa Wakatoliki waamini kuwa Kanisa Katoliki bado lina nguvu ile ile iliyokuwanayo kabla ya sakata la "Waarabu" na Bandari ya Dar-es-Salaam...
8 Reactions
233 Replies
11K Views
Naweka hapo chini makala za historia ya Kilwa nilizopata kuandika katika nyakati tofauti katika kupigania uhuru wa Tanganyika: ABDULKARIM HAJJ MUSSA, MWINYI MCHENI OMARI NA JULIUS NYERERE KATIKA...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ilikua usiku wa tarehe 16/04/1989 ulikua pale Kicukiro safe house kama sikosei zilikuja taarifa kutokea Gisenyi safe house kua usipobadilisha circle ya watu wanaokuzunguka basi utaiingiza nchi...
16 Reactions
218 Replies
14K Views
_____________________ 1.Wamatengo ni kabila la watu wanaoishi na wenye asili ya mji wa Mbinga, katika mkoa wa Ruvuma. 2.Kabila hilo linasifika kwa ukarimu na uhodari wa kazi. 3. Wamatengo...
9 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa wale watoto wa Tambaza 1990 to 1993 mtakuwa mnakumbuka jamaa wakuitwa Puza. Huyu alikuwa ni miongoni mwa watukutu mashuhuri wa Tambaza. Mwaka 1992 Puza alijiua kwa kujinyonga nyumbani kwao...
27 Reactions
527 Replies
91K Views
Uandishi sio mzuri mjitahidi Kabla ya Julius Nyerere hajawa kiongozi wa TANU na hali ya siasa za Tanzania zilikua kama ifuatayo;- Changamoto kubwa ya TAA na baadae TANU ilikuwa ni power struggle...
14 Reactions
120 Replies
4K Views
Hi ni HISTORIA kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanzania kwa kushindwa kabisa KUWAKAMATA waliotenda UHALIFU huu 1.Waliompiga RISASI Mwanasiasa TUNDU LISSU 2.Waliomteka Mfanyabiashara MO DEWJI...
1 Reactions
3 Replies
523 Views
United Kingdom, island country located off the northwestern coast of mainland Europe. The United Kingdom comprises the whole of the island of Great Britain—which contains England, Wales, and...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa kweli hii ni moja ya AFYA YA AKILI. Hii kalenda niliisahau kabisa kwani nilipoinunua (Mzizima) nikaipeleka Nyanyembe na kuondoka. Jana nimeipata.
2 Reactions
7 Replies
577 Views
TUNAYOPENDA TUSAHAU Kuna mambo wala huhitaji kuyaeleza. Huhitaji kueleza historia ya Auschwitz. Dunia nzima inaijua. Kitabu hiki ni muhimu katika kuijua historia ya mauaji haya ya tarehe 26 na...
1 Reactions
51 Replies
2K Views
Mwaka wa 1952 Ahmed Rashaad Ali alimwandikia Gamal Abdel Nasser Rais wa Misri barua yenye kurasa sita kuhusu mateso yanayowakabili wananchi wa Zanzibar chini ya usultani. Rashaad alimuomba Nasser...
0 Reactions
4 Replies
564 Views
Ni story ambayo naisikia kwa muda mrefu sana tangu nikiwa shule ya msingi. Ningependa kujua ukweli wake wa uhalisia uliokuwepo. Kiutawala Uganda ilikuwa chini ya Tanzania hata baada ya Uganda...
1 Reactions
9 Replies
779 Views
SHEFFIELD UNITED FC MAGOMENI MAPIPA Dar es Salaam ya miaka ya 1960 ulikuwa mji wa vilabu vya mpira vya mitaani vya vijana wadogo wanaoinukia katika mchezo huo. Vilabu vilikuwapo na viwanja vya...
3 Reactions
2 Replies
522 Views
TUNU NA FAHARI ALIYO ACHA LUMUMBA BAADA YA KIFO CHAKE NA DHALILI YA WATESI WAKE. Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA) Sunday -3/07/2022 Marangu Kilimanjaro Tanzania. Mwaka huu Patrice Émery...
4 Reactions
17 Replies
6K Views
Ndugu zangu, Lini Tanzania ilibadili msimamo wake? Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ni kijana hodari mwenye kujua kuchagua maneno yake vyema. Hapo chini...
4 Reactions
90 Replies
3K Views
Mwaka 2021, baada ya zaidi ya miaka 100, Berlin ilikiri kufanya mauaji ya kimbari nchini Namibia. Wakoloni wa Ujerumani waliwaua zaidi ya Waherero na Wanama 70,000 kati ya 1904 na 1908...
0 Reactions
2 Replies
546 Views
Kuna watu hapa Afrika Mashariki wanabeza sana mapinduzi ya Zanzibar yaliyoongozwa na Mh Okello na kufanya miadhara kuyaponda! Wana ajenda gani nyuma ya pazia?
3 Reactions
574 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…